Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,359
- 28,006
Kama bodaboda anachepuka na mkeo akikupakia lazima akudondoshe!Ndio usafiri rahisi,kona kona dakika mbili nimefika ninapotaka kufika...
Ajabu wanaoongoza kupata ajali za bodaboda ni abiria wa kiume,hapa huwa sijui ni kwanini...
Hahahaaa..... Hao jamaa wana kero mpaka basi, sioni hata aibu kuwasema.umewapiga mkuu!.hatari
Hahahaa, kumbe wanawadondosha makusudi..Kama bodaboda anachepuka na mkeo akikupakia lazima akudondoshe!
wanapiga sana vipapa na mikofia yao mibaya!
wanatuchapia sana hawa! ukiwaona utafikiri mafala.hawaongei!
bodaboda boda lazima aendeshe kwa makini maana na wao hupewa nyangumi mara moja moja.Hili mimi nishajiuliza, ila nikapata jibu wanawake hawadadandii bodaboda yoyote,huwa wana mtu wao ambao anawaendesha vile watakavyo. Ila wanaume huwa wanakurupuka na kujidai wana haraka ndio huishia kwenye ajali.
noma sana kiongoziMkuu jiweke jirani na boda boda ujue machimbo ya mkeo au ingia kwenye hiyo kazi ujionee wanawake wasivo na maana hapa mjini..!
Sasa kama hivi mkipata ajali utamlaumu nani?Kama hivi
Swali zuri sana ni moja lakini lina majibu mengiSorry bro,hivi huko kwenye nyumba za wageni wenyeji wao wanakuwaga wanawake wenzao?
Hapo mbwa kala mbwa ,hakuna wa kulaumiwaSasa kama hivi mkipata ajali utamlaumu nani?