Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

Siri Ya Wanajeshi Wa Obama

Hilo swali obama ameshalijibu, ni kuwakitu cha msingi huko liberia ni mambo ya logistics kwanza, ujenzi wa vituo vya afya na humo humo kuna wataalam wa mambo ya afya,.

Good comment, wakati mtu akiwa na akili iliyotulia huwaza positively wengine hapo wametafakari negatively. Huu uduni wa fikra utaisheje jamani.
 
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?

Pangekua na angalau asilimia 1 ya waAfrica wenye akili kama hizi nafikiri huu umaskini usingekuwepo.
Mkuu, utaumiza kichwa tu. Humu ndani wengi wana fikra kama za Babu msemaovyo na yule aliosema Wamarekani ni zawadi toka kwa Mungu. (Nafikiri ni Mungu wake yeye.)
Anyways endelea na critical thinking yako itakusaidia hata kuchangamsha akili yako.
 
Good comment, wakati mtu akiwa na akili iliyotulia huwaza positively wengine hapo wametafakari negatively. Huu uduni wa fikra utaisheje jamani.

People if you know your history well Liberia is made up of returned black american slaves and currently most Liberians have dual citizen of america including their president.
 
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?

Nenda Kasome Historia Ya Liberia Na Black America Na Utumwa Kwa Ujumla Utapata Jambo.
 
Wamarekani wana stategy moja ya Problem= Reaction = Solution

Wanatengeneza tatizo na kulitatua ku farther ajenda zao za siri. Ukiangalia world events kwa makini utagundua parttern of events inayoendana na hiyo equation hapo juu

Mfano mzuri ni ISIS. Waliwapa silaha na bado wanaendelea kuwapa silaha alafu wanawapiga mabomu

Case ya hii ya ebola kwa mara ya kwanza dawa imepatikana kutokana na "mlipuko" huu
 
hekima ya tajiri usikilizwa kuliko ya maskini....................ushanifahamu hapo???
 
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?

Kumtoa daktari marekani na mafundi ujenzi kwenda kurisk maisha yao huko ni gharama kubwa sana sio rahisi kuwapata, lakini jeshi ambalo limesheheni taaluma mbalimbali ni rahisi na sio gharama sana, kule jeshini ni kupangiwa kazi tu (kuamrishwa) hakuna mambo ya kuelewana bei
 
China hana msaada itokeapo magonjwa au maafa duniani
 
Kumtoa daktari marekani na mafundi ujenzi kwenda kurisk maisha yao huko ni gharama kubwa sana sio rahisi kuwapata, lakini jeshi ambalo limesheheni taaluma mbalimbali ni rahisi na sio gharama sana, kule jeshini ni kupangiwa kazi tu (kuamrishwa) hakuna mambo ya kuelewana bei

marekani imepeleka wanajeshi wake huko ili kufanya research ni jinsi gani watakabiliana na ugonjwa kama huo wa ebola pindi watakapo uachilia huko kwao hii nia agenda iliyofichika na inaonekana kitatokea kitu kama hiki america ili waweze kujua ni kwa kiasi gani wana weza waka kabiliana na watu walio katika taharuki ya kufa au kupona
 
malumbano yote kuhusu wanajeshi wa marekani kwenda kupambana na na ebola ni kutojuajua mfumo wa kijeshi! jeshi lo lote lina idara zote, idadi kubwa kwa hali kama hiyo huwa madaktari, kwenye mafuriko miundombinu ikiharibiwa wanaokuwepo kwa wingi ni wahandisi, nk, nk, mpo?
 
Nenda Kasome Historia Ya Liberia Na Black America Na Utumwa Kwa Ujumla Utapata Jambo.

sio Liberia tuu hata Sierra Leone ni nchi ambazo zamani niko olevel mwalimuwangu wa history alikuwa anaziita nchi zisizo na wenyeji
 
Mkuu mimi ni mmarekani.
Je! Una dada wa karibu ili unipongeze na Taifa langu?

Utanzania nimeuweka kushoto.

mimi ni veteran wa vita vya kwanza vya Irak (tulimtimua Sadam kutoka Kuwait). wewe ndiyo unapaswa kumleta dadako anipongeze..
 
Sasa mheshimiwa muanzisha huu uzi, unafikiri hapa jamvini kuna mtu anaweza kuwa na jibu? Kila mtu atasema na lake angalau mwenyewe Obama ameshasema ni kwanini anapeleka wale wanajeshi kule west Africa.
Unajua sisi waafrika ni tabu sana!! balaa likitokea tunalialia tu hata waafrika kwa wafrika hatusaidiani, akija marekani tunaanza theory za ajabu ajabu, na marekani huwezi kumkwepa kwani ndio baba wa dunia hii!! mfano mzuri ule mzozo wa C.A.R, watu wameuana wee, viongozi wa afrika wamekaa tu hadi ufaransa ndio anaingilia na kusaidia kidogo hali, huku mnaibuka ohoo wazungu wanatuingilia mambo yetu!! watu wa ajabu sana.
 
Wanao amini kwa Marekani imekataa kupeleka ground troops Iraq lakini inapeleka wanajeshi kupambana na Ebola Siera leon hiki ni kihekesh8o cha mwaka,
Wajinga ndio waliwao.Mimi adhani iko namna,lakini TIME WILL TELL. Maana sisi Waaafirika tumekuwa kama Majongoo,Hatuoni twendako mpaka tugonge ukuta.
We need to have a critical thinking ang fore sight.
Hivi unadhani hawa Majeshi hawawezi kupatwa na ebola?
Kwa nini asitume timu ya madaktari na washauri wa kiafya?
Kwa nini asipeleke zana za kitabibu na vifaa?
Wanajeshi 3000 ni wengi mno wanaweza hata kuipindua nchi na kuikalia kimabavu au kutengeneza boko haramu wengine.
Kwani Wamarekani kazi yao duniani ni kutengeneza resistant groups katika kila nchi na kuigawaia silaha na information za kukoleza propaganda .ili kuandaa mazingira ya vita na yeye auze silaha.
Vita vyote duniani vina tengenezwa kwa uchochezi nahatimae wao huuza silaha .
Hata Alshabab hupokea silaha kutoka kwao.
Wamarekani ni kama NGE (SCORPION) Hutafuna nyuma na mbele
Wake up Africans
Blind,
Pipets,
Lack of vision and mision

Acha chuki za kipuuzi wewe. Kuna wanajeshi ambao pia ni wataalam wa afya so Obama amewapeleka pale ili kusaidia kuzuia Ebola kwa mbinu zote za ikiwa ni pamoja na za kijeshi. Mmarekani angekaa kimya mngeanza kulalamika kwamba hatoi msaada kwa sababu Liberia hakuna mafuta. Amejitolea timu ya kusaidia mnaanza kubwabwaja upuuzi. Ungeenda wewe basi kutoa msaada
 
What people are saying in Liberia

Th simple mathematics of US fight against ebola: US $ 500,000,000 ÷ 3000 marines = US $ 166,666.66
how does the military equate to the fight against a deadly virus like ebola? Why not send medical teams or even the medical unit of the military? Why send the Africa Command? The WHO says we need foreign medical practitioners who will join forces with the national medical staff, not military.........Still making sense of the offer though.
If the US and any other foreign governments or donors are really interested in the fight against ebola in West Africa, and for this matter in Liberia, they must provide expert medical human resource capacity to back up the national medical staff, and they must invest in the existing hospitals and clinics in Liberia to contain the virus. This will help strengthen existing insitutions, and build the foundation for long term national capacity in fighting such outbreaks.
Naomba Kufahamishwa Kuna Siri Gan Ya Marekan Ya Hawa Wanajeshi Elfu Tatu (3000) Wa Obama Aliowatuma Huko Siera Leon Na Liberia Ni Madaktar Au Ni Wapiganaji, Na Je Wameenda Na Dawa Au Na Bunduki Kupambana Na Ebola,sio Kwamba Kuna Lao Jambo?
 
Marekani ni zawadi Dunia iliyopewa na Mungu. Dunia hii bila Marekani itaangamia ...

.........ni nani mwenye nguvu za kuangamiza ambaye Marekani anamzuia asiiangamize Dunia !? Cynic
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom