Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,554
Acha chuki za kipuuzi wewe. Kuna wanajeshi ambao pia ni wataalam wa afya so Obama amewapeleka pale ili kusaidia kuzuia Ebola kwa mbinu zote za ikiwa ni pamoja na za kijeshi. Mmarekani angekaa kimya mngeanza kulalamika kwamba hatoi msaada kwa sababu Liberia hakuna mafuta. Amejitolea timu ya kusaidia mnaanza kubwabwaja upuuzi. Ungeenda wewe basi kutoa msaada
We ndio wale vibaraka mnaotetea wapuuzi wanaotuletea maradhi ya kila aina.
We kwa akili zako zilivyo ndogo unategemea Wamarekani watatoa msaada wa kibinaadamu Bila LENGO maalum Kwa Faida yao?
Hebu subiri sasa uone nini kitatokea huko Liberia.
Eti Mjaluo Obama asingejitolea Tungelalamika, we ndo shoga kweli kweli.
Ni watu km wewe ndio wanaotegemea misaada kutoka kwa Wauwaji km Americans.
Hao mbwa wa kimarekania wakikaa mbali na Bara langu la Africa NiBORA KWANGU kuliko kusogeza makalio yao ya Kiliberali Kwenye Ardhi yetu.
Km na wewe uko km wao Nenda kajiunge nao wakuwowe kabisa.
Mnxsssssssssss