Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

Kuna watu hawana huruma na wananchi wenzao kama fisi vile ukiwakabidhi bucha watakula mpaka lile gogo la kucharangia.
eti gogo la kucharangia kyakyakyaaa ila si uungwana halafu huduma za hayo maofisi ya uma pamoja na kutafuna kodi zetu ni mbovu dunia yakatikati yaani unahangaishwa mpaka akili inachoka aisee
 
Hivi Membe yupo? Anajishughulisha na nini? Maana hasikiki tena!
Vipi na lile jibu sugu la ESCROW? Ilifikia mahali watu wakadharau hadharani kuwa 1 billion ilikuwa ni hela ya mboga!!!! Sasa sijui karudi tena kuchukua hela ya unga au laah!!!!!

hapo chacha sijui wako kipande gani by the way mama alikwaa ubunge huko bkb
 
eti gogo la kucharangia kyakyakyaaa ila si uungwana halahu huduma za hayo maofisi ya uma pamoja na kutafuna kodi zetu ni mbovu dunia yakatikati yaani unahangaishwa mpaka akili inachoka aisee
Sio maskhara ndugu yangu kuna watu walikuwa wanaishi utadhani sio tanzania hata mafua mtu anakwea pipa waqt huku uswazi juma nature anasema tunakomaa na head.
 
She..nz.i type na wakaamua kwenda mavyuoni kila mkoa ili kuandikisha watu, kummbe ni danganya toto.
 
sijawahi kupata kitambulisha mwaka wa 2sasa nauliza kwanini wasingefanya kama vya kura? simlpe na gharama less...
Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakaeinua mdomo kusema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo atakapojua Watanzania wa Mwalimu Julius Nyerere ni kina nani hasa!
 
sijawahi kupata kitambulisha mwaka wa 2sasa nauliza kwanini wasingefanya kama vya kura? simlpe na gharama less...
Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakayesema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo watakapojua Mwana ni nani hasa!
 
aiseeee jipu hili
 
Process yenyewe ilikuwa so complicated! Mpaka leo sijapata na nakaacha mcjhakato wa kikishughulikia ila nikasema ole wake ole wake atakaeinua mdomo kusema mimi si raia wa Tanzania kwa kukosa hicho kitambulisho ndipo atakapojua Watanzania wa Mwalimu Julius Nyerere ni kina nani hasa!
Miaka ileeee tunapata uhuru viongozi wengi hawakuwa wasomi ila walikuwa waadilifu mpaka nyerere akasema kuhusu madini yaacheni yakae hayata oza vijana wetu wakipata elimu watakuja kuyasimamia.
Leo hao wasomi ndo wanaingia mikataba mibovu kuliko mzee mangungo wa msovelo.
 
Can You imagine?!?! no inatakiwa raslimali zifaidishe wote. Tena wenye pesa si wana hayo macademy yao. Wananchi wanachotaka ni best free education na huduma za afya mambo megine kama chakula watajitafutia. Sasa hata hivyo vinashindikana haikubaliki. Mh. Magufuli kaza buti tuko pamoja na wewe !
 
Back
Top Bottom