Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
hahaha ofisi IPI. Yaani hao nida walishanikera mpaka basi.
 
huyu jamaa pale mikocheni makao makuu ya NIDA amewapangishia jengo lake halafu kanunua mtaa mzima hapo mikocheni na nimesikia ana majumba mengi
Huo ni UONGO, majungu na fitna. Kabla ya kuandika pata uhakika usiandike kwa USHABIKI
 
Huyo dickson maimu ndie yule mwenye MRC pale mtaa wa regent estate na pia ana kesi iko mahakamani ya kuhusu plot mbili zilizopo mtaani hapa
 
jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
Aisee! kumbe hawa wafanyakazi kutwangana mimba nilidhani ni mikoani tu! kumbe hadi makao yao makuu!.Asalaaale! huko mikoani wengine hata ndoa zao zimeshavunjika kwa kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
 
Hizi taarifa nusu nusu hua zina niudhi sana aiseee......
Hivi huyo sijui nani..nani aliesema wamekutwa na mali nyingi kutokana na uchunguzi.
Kwanini asikamilishe kututajia hizo mali nyingi ili nasi wadanganyika tujiridhishe?
Kwani kulikua na umuhimu gani wa kutueleza mali nyingi pasipo kututajia hizo mali zenyewe?

Alafu.......
Swala la mtu kua na mali nyingi, inategemeana na mtazamo wa muhusika mwenyewe.
Mimi ukiniambia mali nyingi nitasema kuanzia thamani ya milioni100, Wakati Chenge anaona Bilioni 1 sio malinyingi
 
HII NDO TANZANIA BABAAKE WALIOWEKA MAPESA USWISS SIO MAFISADI ILA KUNA WEZI WA KUKU NDO MAFISADI
 
..Boss wa RITA alikua Saiboko huyu naye yalimkuta yakumkuta na Maimu RITA,Maimu apewa NIDA na yeye yamemkuta
 
Mimi nashangaa kuna Jipu kubwa sana juu ya KATIBA MPYA kwani kama suala ni fedha nyingi zimetumika lakini ufanisi wake ni mdogo au hakuna kabisa vipi kuhusu KATIBA MPYA? kwani zimetumika fedha nyingi lakini katiba hakuna na huku huyo mtumbua majipu akikaa kimya ni vema akatuambia juu ya hili na atumbue jipu hili.
Hatuitaji katiba kwa sasa ngoja tusawazishe mabonde yaliyojaa nchini. Katiba itasaidia nini ? tutengeneze kwanza nidhamu ya nchi hayo mengine yatafuata.
 
Hizi taasisi nyingine zilikuwa za ulaji tu, RITA na NIDA zingeunganishwa ipatikane taa sisi moja tu, haya majipu yanakomaa kwa kuwa pesa nyingi kazi hakuna zinazofanyika hapo NIDA.
Sio hivyo tu mkuu, ilitakiwa RITA, NIDA, na vitambulisho vya Taifa kuunganishwa kwa pamoja. Hizi ofisi zina Kazi zinazoshabihiana sana. Ngoja niandike proposal kuhusu hiyo kitu nami nile mpunga
 
huyu jamaa pale mikocheni makao makuu ya NIDA amewapangishia jengo lake halafu kanunua mtaa mzima hapo mikocheni na nimesikia ana majumba mengi
BWana Maimu ana kijiji kizima pale nyuma ya Shoppers Plaza ambapo pia amejenga ukumbi wa muziki wa kisasa kabisa. Huyu ni mjasiriamali kweli kweli.
 
BWana Maimu ana kijiji kizima pale nyuma ya Shoppers Plaza ambapo pia amejenga ukumbi wa muziki wa kisasa kabisa. Huyu ni mjasiriamali kweli kweli.
Kitakuwa mali ya Jamhuri ya Tanganyika hicho
 
Sio hivyo tu mkuu, ilitakiwa RITA, NIDA, na vitambulisho vya Taifa kuunganishwa kwa pamoja. Hizi ofisi zina Kazi zinazoshabihiana sana. Ngoja niandike proposal kuhusu hiyo kitu nami nile mpunga
Unajisumbua ndugu yangu maana kuna ripoti kadhaa zimepata kupendekeza hivyo lakini zilipigwa chini kwani huu mradi tangu ulipoasisiwa ulikuwa na harufu ya ulaji. Hebu fikiria kuwa Bwana Maimu alikuwa mmoja wa wataalamu washauri wa mradi wakati bado akiwa mfanyakazi wa Umma pale Idara Kuu ya Utumishi kisha akaja kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA. Unapiga kona unakuja kufunga mwenyewe. Angalia namba 3, 4 na 5 Kiambatanisho cha Fesaibility Study ya NIDA ya mwaka 2006.

Pia nimeamini kuwa Magufuli ni jembe maana amegusa mradi ambao ni chanzo cha kipato cha rafiki yake mkubwa wa tangia UDMS miaka ya 1985 Bwana John Kyaruzi ambaye awali akiwa mfanyakazi wa TIC alikuwa mmoja wa wataalamu washauri wa mradi huo na baada ya mambo kujipa akawa mshauri mtaalamu wa NIDA! Kyaruzi alionekana sana akihoojiwa kwenye documentary za kumwelezea Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi. Sasa wote tunaisoma namba. Big up Mzee Mpasua Majipu!
 
Attachments

  • Page_4.JPG
    Page_4.JPG
    9.1 KB · Views: 44
Uso wa nyoka asisahau kule Ngorongoro jipu linpakwa mafuta nimeiva sana litatumbuka wakati wowote Uso wa nyoka kuna sehemu nyingine yakutumbua inafanana na ngorongoro?
Hebu tiririka hapa hapa ili wengine wajue au ianzishie thread kwanza.
 
jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
Na kuhonga wahudumu wa baa zilizo karibu na NIDA
 
Back
Top Bottom