Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba

ha haa haaaaaaaaa! aaaaaaah!. Kweli dada zetu wote tutawabariki kwa kuwapatia jina la "Dada Huruma"
 
Mimi nashangaa kuna Jipu kubwa sana juu ya KATIBA MPYA kwani kama suala ni fedha nyingi zimetumika lakini ufanisi wake ni mdogo au hakuna kabisa vipi kuhusu KATIBA MPYA? kwani zimetumika fedha nyingi lakini katiba hakuna na huku huyo mtumbua majipu akikaa kimya ni vema akatuambia juu ya hili na atumbue jipu hili.
Linakaribia kuiva hilo
 
...hahahahaha...Maimu kimemnukia aseee..MRC pale alinunua nyumba kadhaa
..yeye mwenyewe akajenga jumba zuri tu regent
..sasa akaimbe na bendi yake ya UTALII
Huyu jamaa kazi anayo aisee
 
Pamoja na wewe!, labda kama unakataa kwa nje mpaka kwenye moyo wako. Lakini wengi wenu mnakataa kwa nje lakini ndani mmejaza "YES" kwa kila hoja
sawa kaka huruma yaani unatuita hivyo kweli aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr sawa tuu
 
arioba, post: 15189837, member: 302612"]tambazi.....[/QUOTE Tambazi la makalio na jipu uchungu mm yaani jana ndio nimepata ID imepauka sana
 
jela inawahusu mi nilishajua mwisho wa mradi huu ni jail.... tangu ulipoanza

na wafanyakazi wanakula shushu wana mimba karibia ofisi yote hahahahahaha hawana kazi ni kutiana mimba
Ina maana vitambulisho vilikuwa vingi kuliko idadi ya watz waliohai hivyo ikabidi waanze kutengeneza wengine ili udadi ikidhi ile ya vitambulisho? Kweli hao ni wachapa kazi. Duuuuuuuuuuuu!
 
Hizi taasisi nyingine zilikuwa za ulaji tu, RITA na NIDA zingeunganishwa ipatikane taa sisi moja tu, haya majipu yanakomaa kwa kuwa pesa nyingi kazi hakuna zinazofanyika hapo NIDA.
Binafsi taasis kama NIDA, RITA, ile inayo simamia mifuko ya hifadhi ya jamii (nasahau hata jina lake though mkuu wake nadhani anaitwa Iren Isaka), Ewura, na ile ya nauli za mabasi na meli (Nayo nimesahau jina lake) kwangu hazina umuhimu wowote zaidi ya kutafutiana ulaji na ajira tu with our own cost.
 
huyu jamaa pale mikocheni makao makuu ya NIDA amewapangishia jengo lake halafu kanunua mtaa mzima hapo mikocheni na nimesikia ana majumba mengi
Kumbe umalijua hilo Mkuu? Ana kijiji huyu jamaa.
 
12647052_1030033883727736_8402821518826890262_n.jpg
 
Back
Top Bottom