Siri ya nguvu ya kiume!

Siri ya nguvu ya kiume!

endeleeni kutafuta soko la viagra ila siyo kwa gia hii mtaua watu aisee haya
Yaani uibe kabinti kwa watu usiku hadi magetoni, halafu ukarejeshe kwao alfajiri na chini ya round 8 kweli gentleman?

utakua ulikua unafanya wizi au hisani usiku huo kucha? Sijui lakini huko dar, but mikoani hakunaga mbambamba ya katika kupeleka motro 🐒
 
Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.

Bao la 6 na 7 unapizi upepo
Syo?
 
Kwa masaa 24 inawezekana kabisa bao Saba ingawaje unachoka sana na pia kuanzia bao la 4 kwenda mbele utatoa vimaji kidogo sana
Kuna muda utatoa upepo, kadiri unavopiga bao la kwanza na kuendelea volume inakuwa inapungua mzee.
 
Comments nyingi ni zako...
Ungeziweka kwenye Uzi mmoja tu tukajua unachomaanisha
 
Sasa kidume jabali goli saba unatoa wapi?Umekuwa kuku, au kila sekunde unakojoa. Mtoto wa kike analiwa goli mbili tu za maana.
 
Toa bei ya dawa nimnunulie Lucas Mwashambwa apate cha kumkeep busy
Mimi nipo Bize na CCM. Hata ephen_ Wifi yako ananiunga mkono katika Hilo .

Mimi Nikilala ni CCM na nikiamka ni CCM Yaani hadi jembe la kulimia na mpini wake vina nembo ya CCM Tuuu. Siku tukionana na wewe nitakupa maji kwenye Glasi yenye nembo ya CCM na picha ya Rais Samia ili uanze kujifunza itikadi na ilani ya CCM pamoja na mambo makubwa yaliyotekelezwa na serikali ya Rais Samia
 
Shemeji acha nkununulie madawa ukianza kupata bao sita utaachana na ccm
 
Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.
Labda uwe unaishi vijijini huko hii lifestyle utaiweza ila mujini ahh acha banah
 
Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.
Hizo shot ni kwa siku ila sio kwa kuunganisha nguvu inayotumika kila baada ya shot moja ni sawasawa umebeba bus moja sasaa ndugu yangu 8 una uwezo wa kubeba bus 8 wewe kwa siku
 
Kuna muda utatoa upepo, kadiri unavopiga bao la kwanza na kuendelea volume inakuwa inapungua mzee.
Mm hua naishia tatu, h n kwa wale tunaokutana gest chap na kuondoka, hapo nimeridhika 100% baada ya hapo naanza kutafuta sababu ya kuondoka

Hv h ishu ya kutoa upepo ni kweli? Sio kwamba utakuwa unatoa vitone vitone tuu?
 
Ni vitone vitone tu mzee
 
Back
Top Bottom