Kaka maasai
Senior Member
- Jul 26, 2026
- 104
- 275
Mimi huwanikianza gemu sichoki naweza kupiga hata bao saba au nane ikiwezekana. mm kivyangu nimezoea kula vyakula vya asil huwa sili vyakula vya kisasa hata kidogo. na kitu kingin usipende sana vyombo vya moto.jaribu hata uwe unatembea kias kufanyisha mwili mazoezi.