chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Ni ukweli usiopingika kwamba mwenge ni ushirikina wa CCM kuwapumbaza wananchi na kufanya ibada kwa mizimu kwaajili ya taifa hata mwenge wa olympic nao ni ushetani mtupu fuatilia utajua.Nimekudharau sana kuanzia leo.
soma report hii Yeremia 22:18-19' ;kwakuutetea mwenge mungu mto wa wafilist na magrikia,utakufa kifo kibaya hutaliliwa hat na nduguzo,wakisema aa ndugu yaangu,aa dada yangu,wala hawatasema aa bwana wangu;aa utufu wake,utazikwa kwakuburuzwa kama punda na kutpwa nje ya ufalme wa Mungu;Yerusalemu,pole ng'ang'ania kutetea miungu isyoumba mingu na nchi,Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Mimi naongelea concept ya mwenge sio kama jamaa anavyo wandanganya watu mchana kweupe kuwa ni ibaada ya mashetani. Inamaana Watanzania ni mashetani?
Mkuu, ni Mungu aliye kufunulia hili! Mwenge ni laana kubwa! na ni ibada kwa mzimu wa nyamurunda, tutake tusitake ni hivyo! mwenge unawekwa na wasionaufahamu wanauzunguka huku wanaselebuka daah! unauzunguka moto huku unacheza? hee! Taifa lisipoomba toba tutaangamia hakika!
Kichwa cha kufugia nywele akili za masaburi!!Rombo ndio kuna nini cha maana?potezea kama huna hoja!
Wale jamaa zetu siku hizi wanatumia magari aina ya Nissan private No.Huwa wanaichukua hiyo tochi wanaenda nayo chemba kuibadirisha tambi na kuongeza wese,infact mmoja wao ni shemeji yangu alishawahi kuniambaiaga kuwa katika ile tochi kuna siri kubwa sana ya kiuchawi na mizimu iliyoachwa na........ aliniambia kuwa siku tukiupuuza ndiyo itakuwa mwisho wa SISIEMU,
Mimi ndiye bwana mungu wako usiabudu miuungu wengine. Je tochi ile ni sanamu,muzimu,nyoka wa shaba,au Msukule?????????????????????????????????????????????????
unachosema mkuu acheche kina ukweli, nakumbuka 2007 nilikuwa najitolea kufundisha shule flani kijijini kwetu, mwenge ukaja kuzindua jengo la bweni la wasichana, nilipewa assignment ya kuandaa ndoo ya mchanga na kuupeleka staff room, baada ya mwenge kufika ulioelekwa ofisini kisha ukazungukwa na wanajeshi, then ulizimwa halafu wakamwaga majivu na(mchanga?) kwenye mfuko, kisha wakaweka tena mchanga kidogo kutoka kwenye ile ndoo kwenye ule mwenge, ukawashwa shuguli za uzinduzi zikaendelea. nilipouliza hakuna aliyenipa jibu zaidi ya kusema kuwa baada ya kuhitimisha mbio za mwenge mchanga ule na majivu yale yaliyokusanywa nchi nzima huwekwa kwenye chombo kimoja na kusemewa vineno hv, then hutupwa baharini, ati ili kudumisha muungano...
mimi niliwahi kumuuliza baba nikiwa mdgo ya maana ya mwenge na faida zake,, nikaambulia kofi kali la mdomo na kuniambia unataka tufungwe!! nikashangaa tufungwe??!!!
Salaam wakuu,
Leo hapa maeneo ya Mlandizi tunategemea Mwenge upite na uzinduliwaji wa miradi kadhaa ya maendeleo. Nimesikia myths nyingi kuhusu mwenge kama vile hauzimiki mpaka ufikie destination point na pia ikitokea bahati mbaya umezima basi wahusika hujificha kwenye chumba peke yao na kuuwasha kwa siri bila watu kuona. Some say una mikono ya mizimu nk. Naomba kufahamu kidogo kuhusu Mwenge
mkuu,eti!kuna uhusiano upi kati ya mwenge na mashetani?
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Cardinary Pengo,Maaskofu mapadre,wachungaji kama kina Mwingira,Mzee wa upako,kolola,na wengine wengi ambao mnaanza na utumishi wa Mungu,Shehe mkuu wa Tanzania Simba wanamapinduzi wa kiislamu kama Ponda na kikundi chako waumini wa dini zote kasoro wapagani kwanini mmekaa kimya wakati taifa linapokea laana ya Mwenyezi Mungu kila mwaka kwa kulipeleka kwenye madhabahu za shetani anayetembea kuabudiwa na kusujudiwa na CCM aitwaye MWENGE WA UHURU.
Wakati anaambukiza ukimwi watu wetu, anawatesa wazazi wetu huko vijijini na kusimika viongozi mashetani katika taifa hili?Hivi mmewahi kujiuliza kwanini taifa hili haliendelei?Ni laana zitokazo kwa mungu wa Ccm itwaye mwenge hivyo kama kweli mnalitakia mema taifa hili Hubirini waumini wenu wakatae ibada ya mungu-mwenge na kasisi wake Ccm ili tuokoke na balaa hili!Wabilah tofiq asalaam aleykum wallahmatullah wabarakat!Atukuzwe baba na mwana na roho mtakati Aaaaaamen!!!!
Pitia huu Uzi kuna kitu utajifinza!
Google uone original yake ndo utajua ni jinsi gani watu wanaabudu mizimu
Hata ukristo ibada zote mnazofanya zina asili ya kuabudu ushirikina mtupu, tena ni copy and paste ya asili ya dini ya mithra ya kishirikina tupu! so acheni kujifanya eti mwenge ni ushirikina wakati mnajua fika asili ya pasaka, xmass, misa zenu na yale mamishumaa ni full ushirikina. acha kuuponda mwenge wakati huijui asili ya ibada yako