Twakukaribisha mwenge mgeni wetu uringe.
Na wenyeji tukuchunge huku tukushangilia.
Kwetu ukitoka mwenge uendelee mahenge
Ila mwakani upange kuja kututembelea
Kwanini uwe mjinga? Kwanini usitumie akili? Kwanini ufikirie kuwa kunamashetani?
Mwenge wa Uhuru haunaconnection na imani ya aina yote.
Halafu baadae utasema kumpigia saluti raisi ni kumuabudu.
Dhana ya mwenge wa uhuru ni kuwamulika wanyonyaji wote na kuleta mshikamano.
Hivi umezaliwa mwaka gani vile?
Ondoa imani potofu ndani ya akili zako.
Kwani wazee kuchinja mbuzi au kondoo ndio kuabudi mashetani?
Hiyo ni ishara ya furaha na Mlima kilimanjaro ndio mrefu kuliko yote Africa.
Purpose ya Mwenge kulingana na uanzilishi wake imefikia kikomo. Kama Kuunganisha Watanzania ni kwa kuwapatia maisha bora na kuwafanya wajisikie kwao. Kuondoa chuki na wanachuki na kulinda katiba.Mwenge huu ambao ulitakiwa uwe ishara ya kuunganisha Watanzania wote, sasa hauna maana tena kwani ni chombo kinachotumiwa na ccm kiaina kujitangaza. Tungependa kujua wanaokimbiza huo mwenge wanachaguliwa vipi na ni mada zipi wanazoziongelea huko mikoani wanakokwenda.
Hizo habari ya kuwa huu mwenge autufai na wakishirikina mnazo wewe na huyo mzee malamsha, sisi wengine tuna ona there not enough act of Patriotism in the nation.
Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.
Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mablimbali ili kulinda viongozi wa nchi.
Taarifa zinaonesha kuwa kuna Wazee maalum wameandaliwa kule Rombo kwa ajili ya matambiko haya kila mwaka.Mmoja wa wazee hao aitwaye Mzee Malamsha amenithibitishia hicho.
Kwenye matambiko hayo,kafara hutolewa.Na kadhalika na kadhalika.Ndio maana,kila mwaka Mwenge wa Uhuru lazima ukimbizwe Mkoa wa Kilimanjaro na kufika Wilaya ya Rombo.
Mwenge huu ni wa kuupiga vita. Unaleta laana zaidi ya baraka. Unatubakisha kama nchi kwenye kuabudu mizimu badala ya kusonga mbele kimaendeleo.
Laana za Mwenge huu ndizo zinazotufanya tusieendelee. Ni muda sasa wa kuachana na imani hizi za kishirikina kwa kuachana na Mwenge huu.
Hao hao waliokufa kuna watu wamewachangia kwenye misiba au kuwatolea damu waliopelekwa mahosptialini. Kila mtu anahitaji maendeleo lakini lazima tujikumbushe utaifa wetu now and then. Maana wanaochangia misiba na harusi si wote ni ndugu bali ni katika hali ya ujirani mwema. Tunahitaji rituals ambazo zinashirikisha jamii at the fore front na si sikukuu za muungano na uhuru tu pekee ambazo ni kama za kum-parade Mr President na walinzi wake.Mi niliacha zamani kushabikia haya mambo ya kipuuzi na ushirikina, leo hii uniambie mwenge unawapa matumaini wafiwa (mfano wa Gongo la mboto) hali mimi najua Mungu pekee ndiye mfariji wangu lol...crazy bussiness.What is wrong when we open up new public buildings of hospitals, schools,roads/bridges without extending illogical public expenditure by the so called nation torch (mwenge)? Sunlight and moonlight are not sufficient?
Walewale wa JKT inaleta uzalendo!Hizo habari ya kuwa huu mwenge autufai na wakishirikina mnazo wewe na huyo mzee malamsha, sisi wengine tuna ona there not enough act of Patriotism in the nation.
.
JKT inaweza ikawa inaleta uzalendo kwa walioshiriki, na hatuwezi pima the extent of that uzalendo maana viongozi wengi wamepitia huko na hali ya uzalendo hawana. Hila mpaka hapo vita itakapokuja tutaweza elewa matunda ya JKT, well that's if the reserve army will be willing to run into the front line easily should they be required to do so.Walewale wa JKT inaleta uzalendo!
Uzalendo unakuja pale nchi inapoongozwa kwa haki na misingi ya sheria. Pale wananchi wanapopewa vipaumbele zaidi ya wageni. Pale raslimali zinaponufaisha wananchi na si wageni.
Huko Japan na Marekani wote ni matajiri na serikali zao zinajaribu kutoa enough handouts to their ppl, they both have good economies; nevertheless their patriotism differ.Mpaka itakapofikia wananchi kuwa na imani na viongozi wao na kuuvua unyonge wa kujiona watumwa katika nchi ya Baba zao uzalendo itakuwa hadithi tu!
Wakati umefika Mwengu upelekwe pale jirani na IFM.
Hatuwezi kutumia pesa zetu kwa useless work like this!
Unatupotezea muda tu huo mwenge mkuu. Achana nao tuKwani Mwenge ni kitu gani