Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Jamani naomba kuuliza swali,
zamani nilijifunza kwenye somo moja linaitwa government accounting kwamba ikulu au nisime ofisi ya rais huwa haifuati budget katika kutumia pesa toka kwenye lile fuko wao wanaita consolidated fund linalokaa pale BOT.
Hii ina maana rais anaweza kujichotea pesa na kutumia atakavyo bila maswali kutoka kwa yeyote.
Ukweli ni kwamba ofisi ya rais inatumia fuko letu tu bila hata kuulizwa na mtu. Sijui kama kautaratibu haka kalibadilishwa maana hii nilijifunza miaka mingi sana iliyopita.
Hivi bado ndivyo ilivyo hata leo?
Kama ni hivyo then huo mshahara ni wa nini?
Ila ni utaratibu mbovu unaotoa mwanya kabisa prezidaa na ofisi yake pale magogoni kuchezea kodi zetu. MNASEMAJE?