Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

Jamani naomba kuuliza swali,
zamani nilijifunza kwenye somo moja linaitwa government accounting kwamba ikulu au nisime ofisi ya rais huwa haifuati budget katika kutumia pesa toka kwenye lile fuko wao wanaita consolidated fund linalokaa pale BOT.

Hii ina maana rais anaweza kujichotea pesa na kutumia atakavyo bila maswali kutoka kwa yeyote.

Ukweli ni kwamba ofisi ya rais inatumia fuko letu tu bila hata kuulizwa na mtu. Sijui kama kautaratibu haka kalibadilishwa maana hii nilijifunza miaka mingi sana iliyopita.

Hivi bado ndivyo ilivyo hata leo?

Kama ni hivyo then huo mshahara ni wa nini?

Ila ni utaratibu mbovu unaotoa mwanya kabisa prezidaa na ofisi yake pale magogoni kuchezea kodi zetu. MNASEMAJE?
 
Bandugu ukishajua mwizi wako, what do you do? Tutafute solution ya kuwadhibiti waache kutuibia! Inawezekana ikatuchukua muda lakini la msingi ni kuanza kuweka mikakati ya kueliminate these self centred politicians. Kwao wanatumia siasa kama forum ya kujinufaisha na sio kuwatumikia wananchi kama wanavyojifanya kuimba. Hapa hakuna kudanganyana, wazungu walitutawala wakatunyonya mpaka watu kama wana JF walipodai uhuru ndipo wazungu wakatupatia wakabwaga manyanga, sasa hawa wenzetu ambao tumewaajiri sisi tutashindwaje kuwathibit?

Marais waliotangulia waliifanya mishahara yao sio siri, kama kweli hakuna kitu kinafichwa kwanini iwe siri? mbona mishahara ya akina Barrack inafahamika? mbona hiyo mishahara ya wabunge na mawaziri imewekwa wazi?
Ama kweli huyu JK hatukumfahamu, sasa tumemfahamu wana JF mnasemaje? kila mwana JF achukue hatua ya kuwaelimisha angalau wananchi 10 sifa za kiongozi bora ambaye anwaweza kuwatumikia wananchi. MUDA WA MABADILIKO NI SASA CHUKUA HATUA
ya kuwaelimisha
 
We treat them like bloody thin gods, they are free to misbehave and get paid it for 5yrs, that person can move from obscurity to a celebrity from an average Tanzanian to a multi millionaire no questions asked

Maybe mshahara wa rais hautajwi coz wanaharakati, hadi akina Bill Gates,Carlos,Mukesh ambani, Lakshimi mittali,Mo Ibrahim na akina Mengi wanaweza kuandamana.So for the sake of piece, let them keep his slary slip comfidential
 
Nataka kujua raisi wa Tanzania analipwa shilingi ngapi kwa mwaka, mwezi, kila wiki mbiki, kila wiki or whatever the frequency of pay is. Hivi kwa nini hatujui? Au ni mimi tu nisiejua? Nini kilicho siri? Si mtumishi wa umma huyu au?

Nitalishikia bango hili hadi nijue
 
He is paid a fiscally conservative salary, socially responsible bonus and personally accountable pension!
 
He is paid a fiscally conservative salary, socially responsible bonus and personally accountable pension!

mhh...kazi kweli kweli....

Shida hapa ni kutojua facts!
Haya...mwenyekiti wa Chadema analipwa kiasi gani?
Mwenyekiti wa CCM? - si Kikwete huyo huyo?
Kikwete anapokea total income ya kiasi gani? apart from his presidential salary

Au tuanze na mtoto wa mkulima...PM. Si alitaja mali zake. Kuna mtu mwenye data?
 
Mshahara wa rais kweli ni siri ..................hata intelijisia ya JF imeshindwa kuujua! na kwa nini iwe siri? wenzao Marekani kila mwisho wa mwaka Rais hutangaza amepata pesa ngapi ....kutokana na kazi yake ya urais na vitu vyengine kwa nini sisi kwetu ni siri?

aaa nimesahau kwetu Tanzania Rais ni Mungu, na Mungu huwa haulizwi wala hakosolewi.
 
Nemesis ni mkweli kuwa ukiangalia tu mishahara (basic salaries) ya Rais na hao viongozi wengine walioorodheshwa hautapata picha halisi ya kipato wanachopata kutokana na kazi zao (income from employment). Ukweli ni kuwa mishahara yao ni sehemu ndogo sana ya kipato chao. Ili upate picha halisi angalia allowances zifuatazo:-

1. Subsistence Allowance
2. Disturbance Allowance
3. Entertainment Allowance
4. Acting Allowance
5. Special Duty Allowance
6. Outfit Allowance
7. Furniture Allowance
8. Overtime Allowance
9. Lunch Allowance
10. Responsibility Allowance
11. Transport Allowance
12. Fuel Allowance
13. Sitting Allowance
14. Housing Allowance
15. Allowance for incidental expenses on journeys
16. Training Allowance
17. Perdiem Allowance
18. Presentation Allowance
19. HonorariaUtility Allowance
20. Mileage Allowance
Nachoka kabisa!
 
Code:
Kwani hawawezi kufanyia mabadiliko hiyo act?? Zitto chukua peleka bungeni hiyo
Code:

Unamzungumzia Zitto Kabwe?? Zitto na Kapuya wanatofautiana initials tu za salutation. Mmoja ni Prof mwingine sijui tumuiteje lakini IQ zao ni sawa sawa. Usifanye mchezo na kununuliwa bana!
 
Code:
Aliyeamua kufanya siri mshahara huo ni Mkapa baada ya kuuongeza mshahara huo na marupurupu mara tu alipoingia madarakani hakutaka Watanzania tuujue.
Code:
Ukishaujua ndo nini? weka wa kwako hadharani kwanza...................mshahara wa Rais mnautakia nini? Na wewe Gombea urais uujue!!
 
Hakuna cha kufanya siri, Raisi ni mwajiriwa kama walivyo wengine,spika na jaji mkuu kila mmoja ni 4,850,000.jaji mahakama ya rufaa ni 4,250,000.jaji mahakama huu ni 3,645,000. waziri ni 2.4 m. naibu waziri ni 2.05. RC ni 2.08, mbunge ni 1.92m, lete data nyingine
 
Hakuna cha kufanya siri, Raisi ni mwajiriwa kama walivyo wengine,spika na jaji mkuu kila mmoja ni 4,850,000.jaji mahakama ya rufaa ni 4,250,000.jaji mahakama huu ni 3,645,000. waziri ni 2.4 m. naibu waziri ni 2.05. RC ni 2.08, mbunge ni 1.92m, lete data nyingine

Kama hujui kitu bora kukaa kimya!
 
In addition presidential income is tax exempted

"The following amounts are exempt from income tax

amounts derived by the President of the United Republic or the President of
the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and
entertainment allowance paid or payable to the President from public funds
in respect of or by virtue of the office as President;" - Income tax act 2004
 
Back
Top Bottom