Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Steve Dii, May 29, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Duuh.. kama ndivyo hivi, basi kila mmoja wetu walau apate kuwa Rais mara moja maishani.....!!

  Kwa kweli mafao haya na marupurupu yote ni kama kufuru vile...haswa ukizingatia hali ya kiuchumi ya Taifa hili.

  Please read the following article courtesy of ThisDay, pension benefits have been highlighted in blue:


  A retirement benefits package to dream of: Why Mkapa didn`t have to do business at Ikulu:

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam


  FORMER President Benjamin Mkapa is already guaranteed a comfortable life after retirement, courtesy of taxpayers' money, according to legislation that he himself assented to while at State House.

  The current Political Service Retirement Benefits Act, passed by the National Assembly in 2000, spells out a generous package of retirement perks for the former president, including an annual pension granted monthly of a sum equal to 80 per cent of the salary of incumbent President Jakaya Kikwete.

  On top of that, Mkapa also now gets
  a monthly maintenance allowance also equal to 80 per cent of Kikwete's current salary.

  Furthermore, after leaving public office, he was entitled to receive a gratuity of a sum equal to 50 per cent of the total sum received by himself as salaries during his entire ten-year tenure as head of state from 1995.

  Mkapa also received a winding-up allowance of a sum equal to the amount that would be received as salary in 24 months by incumbent President Kikwete.

  Apart from this financial windfall, the legislation also allows the ex-president to continue using diplomatic passports for himself and his wife, plus the use of the VIP lounge at all airports.

  He was also given a health insurance policy that covers medical treatment within Tanzania, plus the services of two motor vehicles to be provided by the government, and two drivers.

  Also included in Mkapa's handsome retirement benefits package is a fully-furnished house of not less than four bedrooms, two of which shall be self-contained, with a furnished office and servants' quarters.

  The specific legislation also guarantees '
  'all necessary security and other protection services to himself and his immediate family.''

  Courtesy of taxpayers' money, the former president also gets one of each of the following: Personal assistant, personal secretary, office attendant, personal cook, laundry man, domestic servant, and gardener.

  And if he is requested to travel outside Tanzania on official (Kikwete) government business,
  only first class travel is appropriate for Mkapa, with the state also obliged to foot travel expenses for his spouse and two assistants.

  Overall, the perks listed in the legislation in question basically ensured that the ex-president would be well taken care of by the state for the rest of his life, after retirement in 2005.

  But still, Mkapa stands accused of aggressively seeking to acquire even more personal wealth during his tenure as president, regardless of the huge pension cheque he knew he would receive after leaving public office.

  Records show that the legislation in question was assented hardly a year after Mkapa and former first lady Anna Mkapa started their own private business company, ANBEM Limited, and operated it from within the Ikulu premises.

  ANBEM Ltd dealings included obtaining loans totalling 750m/- from the National Bank of Commerce (NBC) and CRDB Bank, some of this money reportedly being used to buy a two-storey building in Dar es Salaam's upmarket Sea View area, which has now been rented to Bank (M) Tanzania Limited.
  My Three words: Poor Tanzania, Shame!!!!!!


  SteveD.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Once again,the writing was on the wall.... "The current Political Service Retirement Benefits Act, passed by the National Assembly in 2000"

  Jamani, jamani, jamani... hivi hili Bunge letu liliingiliwa na kitu gani kipindi hicho?!

  Katika historia ya nchi yetu 'tukufu' ya Tanzania,mimi nadhani historia mbaya kuliko zote zimejengeka ndani ya matukio yaliyomo 1998 na 2005.

  Laana ya nchi iliyokubwa kuliko yote imejikusanya ndani ya kipindi hiki!!!
   
 3. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kwani hawawezi kufanyia mabadiliko hiyo act?? Zitto chukua peleka bungeni hiyo
   
 4. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Hivi kwa nini mshahara na marupurupu ya Rais yanafanywa siri? Mbona hata jirani zetu Kenya hawafanyi siri? au bado ni zile shs 4000 za Nyerere?
   
 5. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Jamani naombeni kuuliza je, sheria hiyo inatumika ''retrospectively'' ? nikiwa na maana kwamba na Mzee Ruksa naye anakunja 80% ya JK na marupurupu mengine kadhaa?? naomba kuwasilisha!
   
 6. J

  Jobo JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2008
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haya mafao mbona ya kawaida tu kama mtu angekuwa mwadilifu? Tatizo la huyo mzee ni kukosa uadilifu. Nyie mnataka Rais mstaafu akauze karanga ili aishi au aingie jikoni kujipikia? Give me a break! No country in the world will fail to give these to its ex-President.
   
 7. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zitto wamem-filibuster na muswada wake wa Ethics Amendment, bado anauhangaikia. Peke yake ni vigumu. Anahitaji support nzito ya wananchi kubadili sheria.
   
 8. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Katika hicho kipindi cha balaa, Andrew Chenge ndio alikuwa mshauri mkuu wa Sheria. Wazungu wanasema "nenda kafikiri..."
   
 9. M

  Mama JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Kufa kila mtu atakufa, lakini wao kutanua wakati wananchi wapata mlo mmoja kwa siku it is not fair and shame on them wanaojizidishia kwa kuiba kama kina mkapa. Hayo mafao yarekebishwe jamani, na sio mafao ya rais tu bali hata ya hao wabunge, yaani wanyonyaji na wanaorudisha nyuma maendeleo ni hao hao tunaowachagua watuletee maendeleo badala yake wanajilitea maendeleo wao binafsi!
   
 10. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  tuko nyuma yake
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Inawezekana tukawa tunawalipa Marais wetu mishahra na marupurupu kidogo ndio maana wengine waliamua kuwa wajasiriamali ndani ya white house yetu.
  Mwenye kujua salary slip ya President ikoje atupe data .Tujiridhishe tu.
   
 12. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hivi nilifikiri suala kama la mshahara wa Raisi kwasababu sisi wananchi ndiyo tunaomuajiri linatakiwa kutokuwa siri. Lakini kwa kifupi Rais anasaving ya 100% ya mshahara wake.kwasababu kila gharama yake iko paid for na serikali.

  Ila natamani niujue mshahara wake,naungana na mtoahoja kwamba inawezekana mshahara wake ni kiduchu hivyo unapelekea Rais kutafuta vyanzo mbadala vya mapato na hivyo kujikuta wakitumbukia kwenye ujasiriamali wakiwa hapo hapo white house.
   
 13. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  duuuh! wamesha lianzisha libalaa lingine hapa ... vichwa vyenu kweli vinafanyakazi sijui kesho mtafukuwa nini tena ???
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Rais anakula zaidi ya milioni hii wameweka siri ili wananchi msitamani nanyi kuwa marais hapo baadae wao wanasema siri ya jeshi mwananchi hapaswi kujua cha kujua mwananchi ni nani anapaswa kuingia white house kuishi kama mfalme.
   
 15. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Zaidi ya mamilioni ni billion. zinamtosha?
   
 16. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani siku hizi serikalini hakuna salary scales kwa watumishi wake? Kama zipo, raisi na mawaziri wote ni watumishi wa serikali na scale zao hazitakiwi ziwe siri. Utumishi hebu tupeni jibu
   
 17. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  WAziri Mshahara wake ni 1.6M.Mshahara wa Rais ni SIRI
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Tubuni, kwa kutumia basis ya waziri. Inawezekana ikawa mara mbili ya Waziri. na marupurupu say mil 15. Mwasemaje?
   
 19. m

  macinkus JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2008
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wakoloni walipo ondoka Tanganyika, walituachia kitabu kilichoitwa Staff List. Kilikuwa kinachapishwa mara mbili kwa mwaka na wizara ya Utumishi. Nilicho nacho cha mwish kuchapishwa ni cha 1972. Maafisa wote wa serkiali walikuwa wanaandikwa kwenye kitabu hiki. Taarifa zifuatazo zilikuwamo: mshahara, tarehe ya kuzaliwa, ya kuajiriwa, elimu, mahali alipo, jinsia, hali ya ndoa nk. Sijui kulitokea nini baada ya hapo, kwani sijakiona tena kitabu hicho tangu kufariki kwa ofisa aliyekuwa anashughulikia uchapishaji wake (marehemu Hussein Haji). Ukurasa wa Ikulu wa mwaka 1972 kwa mfano, unasomeka ifuatavyo:

  Basic Salary Appointment Name BirthDate Station Date of Appointment Remarks
  Per annum marital status
  48,000 President m Mwl J.K.Nyerere D'salaam 9.12.62
  M.A. LLD (Edin.) 1922
  56,000 1st VP mSheikh A.A.Kaarume Zanzibar 27.4.64
  48,000 Minister m A.Jumbe Zanzibar 27.4.64
  of State
  48,000 Minister of m Sheikh A.M.Mwinyi D'salaam 6.11.70
  State
  50,000 Princ Sec m D.A Nkembo B.A. D'salaam 13.3.56
  (Lond) 28.6.30
  Orodha hii ilikuwa nik kwa wizara zote.Wakati huo kulikuwa hakuna watumish hewa.

  Macinkus
   
 20. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  mhhhhhhhh!ufisadi mpya unataka kulipuka hapa.
   
Loading...