Raisi wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kwanini anaishi Maisha ya Hali ya chini, alijibu Kiongozi anatakiwa kuishi ya Maisha ya watu wake

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,594
4,345
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president.

The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the university, receiving $250 a month, and lives modestly in his house. When he stays at a hotel, he asks for a simpler room, maybe even without a bed, because he likes to sleep on the floor on one mattress under a blanket, he gets around by bus, the President of Iran sold his maintained Peugeot.

To questions about why he, being president for two terms, could have seriously improved his financial situation, but did not, Ahmadinejad answers that a real leader must live the way his people live. 🇮🇷
 
Jamaa alikuwa lecturer alipomaliza akarudia kazi yake na anapanda usafiri wa umma anasimama hakuna anayempisha seat kwa sababu wamezoea si huku eti kiongozi akipanda bajaj au bodaboa au usafiri wa umma anajirekodi ili aposti aonekane mzalendo kwa sababu wanaona ni ajabu kuwa kama wale wanaowaongoza.
 
To questions about why he, being president for two terms, could have seriously improved his financial situation, but did not, Ahmadinejad answers that a real leader must live the way his people live. 🇮🇷
Ila hawa wa kwetu wakiingia tu madarakani unaanza kuwajua mpaka watoto wao kwa majina .... oooh Hussein, Rizwan, Jesca ... ABDUL ......!!
 
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president.

The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the university, receiving $250 a month, and lives modestly in his house. When he stays at a hotel, he asks for a simpler room, maybe even without a bed, because he likes to sleep on the floor on one mattress under a blanket, he gets around by bus, the President of Iran sold his maintained Peugeot.

To questions about why he, being president for two terms, could have seriously improved his financial situation, but did not, Ahmadinejad answers that a real leader must live the way his people live. 🇮🇷
taifa la iran lina maisha ya ujamaa ambao ni wapamoja sio ule wa kiduku anakataza pombe kumbe anakunywa chumbani na baga za kfc
 
Ni njinsi alivyo zaliwa ujue nini ? Watu tuna tofautiana sana.

Ndio maana kuna waafrika weusi, kuna wazungu kuna, wajapan kuna wahindi, kuna wachina n.k

Ndio maana kuna Nyerere, kuna Mwinyi, kuna Mkappa, kuna Kikwete, kuna Magufuli, kuna Samia.

Hawa wote ni watu wanaotofautiana sana.
 
Huku ukiwa kiongozi ni kama umetoa favor kwa wananchi hivyo ni lazima tuwanyenyekee maana wanatusaidia tu na hatuna chakuwalipa maana wao wanaakili sana, wako busy sana, Wanahela sana nk.

Kwa wenzetu kiongozi ni mtu aliyejitolea kutumikia umma na kusaidia kutatua shida za watu huku akitegemea kolipwa/kujilipa chochote.
 
Ni njinsi alivyo zaliwa ujue nini ? Watu tuna tofautiana sana.

Ndio maana kuna waafrika weusi, kuna wazungu kuna, wajapan kuna wahindi, kuna wachina n.k

Ndio maana kuna Nyerere, kuna Mwinyi, kuna Mkappa, kuna Kikwete, kuna Magufuli, kuna Samia.

Hawa wote ni watu wanaotofautiana sana.
Lakini nina kitafakari tunafundishwa nini ?? Na tunachagua viongozi namna gani . Mfano wa sasa atasema mnakula Kwa urefu wa kamba zenu, .... Mtavimbiwa, lakini mwisho wa siku anawaachia wavimbiwe, huku Janabi anatutaka tule kwa kiasi na dini zetu zinatutaka tusimkufuru Mungu.
 
taifa la iran lina maisha ya ujamaa ambao ni wapamoja sio ule wa kiduku anakataza pombe kumbe anakunywa chumbani na baga za kfc
Mimi nafikiri tuchukue katiba ya Iran katika kupata wabunge ili tuondokane na malimbukeni na chawa. Watu waone ufahari kwa kutenda mema kwa nchi yao sio familia yao, Kwani tukiwa na misingi mizuri, hawa watoto na wajukuu wataweza kuishi kwa adabu.
 
Kuna combination Fulani tuna I miss Sana pale kwenye vikao vya Baraza la usalama la umoja wa mataifa. Hugo shavezi, Robert Mugabe, Mahmoud Ahmedinajad na Muhamar Gadaf. Hawa watu walikua na uthubutu wakuongea live namna Gani nchi mabeberu wanavyojimilikisha Kwa kura ya veto nk nk. Vikao vilikuwa na msisimko na mtu unataman kuvifuagilia ila sio hv vya kina mnanangwa, Ramapesa,
 
Ex-President of Iran (2005-2013) Mahmoud Ahmadinejad , peacefully herding sheep after he resigned as president.

The ex-president renounced his presidential pension, returned to teach at the university, receiving $250 a month, and lives modestly in his house. When he stays at a hotel, he asks for a simpler room, maybe even without a bed, because he likes to sleep on the floor on one mattress under a blanket, he gets around by bus, the President of Iran sold his maintained Peugeot.

To questions about why he, being president for two terms, could have seriously improved his financial situation, but did not, Ahmadinejad answers that a real leader must live the way his people live. 🇮🇷

Ila hii tabia mbaya kabisa, tabia ya kuukumbatia umaskini kama ufahari, umaskini sio sifa hata kidogo, kujitia kuishi kiumaskini ni ujinga
 
Huku kwetu ndiyo kwanza Tundu Lisu anakamua walala hoi akanunue gari la kifahari!!
Hili suala la Lissu linawahusisha wajinga Tu. Haiwezekani CHAMA kishindwe kumnunulia gari....ety achangiwe na walalahoi.
Hapa wamepuyanga mbaya sana
 
Back
Top Bottom