Siri ya Marekani kuingilia uchaguzi mkuu Tanzania

Binti Sayuni Tz

Senior Member
Nov 25, 2015
156
238
Nawasilisha kama nilivyokuta Mahali mwandishi yuko hapo chini.
Hivi karibuni Marekani kupitia kikao cha 116 cha Bunge la Congress ilipitisha Azimio la kuitaka Tanzania kufanya uchaguzi huru na haki.

Azimio hili lilibeba kichwa cha habari kinachosomeka kama ifuatavyo:

"Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human, civil, and political rights and ensure free and fair elections in October 2020,and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."

Ukitazama kichwa cha habari cha azimio lile utaona limetaja serikali ya Tanzania na vyama vyote vya siasa nchini, lakini ajabu kilichoelezwa ndani kinailenga serikali ya Tanzania peke yake. Hapa ndipo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza maswali, kuna siri gani imejificha?

SIRI NI HII

Ukweli ni kwamba Marekani inaumizwa sana na jinsi serikali ya Tanzania chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ilivyoweza kuyabana makampuni makubwa ya uwekezaji ( Multinational Companies kwa kifupi MNCs) mfano kampuni ya Barrick Gold Mine ambayo kwa miaka mingi yaliifanya Tanzania kama mahali pa kuchota rasilimali bure bure. Hili linawauma mno.

Kuna watu wanaweza kusema Barrick ni ya wacanada, wakatazame wanahisa (shareholders) wa Barrick ni kina nani? Fidelity Management and Research Group (FMR) ni mwanahisa mmojawapo wa Barrick. FMR inatoka Boston. Vanguard Group inatoka Pennsylvania. Haya ni baadhi ya makampuni yenye hisa Barrick.

Suala la demokrasia ni kichaka ambacho Marekani imekuwa ikitumia kuficha mipango yake. Kwa nini nasema ni kichaka? Ili kuelewa hili ijue demokrasia halisi ya Marekani kutokea Djibouti.

Nani anaifahamu Djibouti?

Djibouti inaongozwa na Rais anaitwa Ismail Omar Guelleh tangu mwaka 1999 wakati huo Rais Magufuli hata hajawa Waziri kamili wa Ujenzi. Rais Guelleh maarufu kama IOG anaongoza Djibouti mpaka leo hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Mwaka 2010 Bunge la Djibouti liliondoa ukomo wa kumruhusu Rais Guelleh kugombea kwa mara ya 3 baada ya kumaliza awamu zake mbili za miaka mitano mitano kwa mujibu wa Katiba ya Djibouti mbele ya macho ya Wamarekani hali iliyozua maandamano na watu kupigwa.

Hapa tunapaswa kujiuliza, "Kama Marekani inapigania Demokrasia, kwa nini waliacha Katiba ya Djibouti ikachezewa?"

Djibouti ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo demokrasia haina nafasi kabisa lakini Marekani imekaa kimya miaka yote. Tumeshawahi kujiuliza ni kwa nini?

Kama hatujui jibu basi tutazame website ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani www.state.gov kwenye kipengele cha "US-Relations with Djibouti" tutakuta maelezo haya "The Djiboutian government is supportive of US interests."

Kwamba, "Nchi ya Djibouti inaunga mkono maslahi ya Marekani" au kwa lugha nyingine "Djibouti inalinda maslahi ya Marekani." Ni maslahi gani hayo? Kujua maslahi gani hayo msome DG Jamieson hapa chini.

Akiwa Kapteni wa Jeshi la Afrika Kusini katika kamandi ya Majini (SAND) DG Jamieson aliandika andiko la kiutafiti mwaka 2009 akitathmini uwepo wa kamandi kubwa ya kijeshi ya Marekani Afrika (AFRICOM) pale nchini Djibouti.

Andiko hili lilikwenda kwa jina la "AFRICOM: A threat or opportunity for African security?" yaani "AFRICOM: ni kitisho au fursa kwa usalama wa Afrika." Wasomi wetu, vijana wa kitanzania mnaweza kulisoma ili muwaelimishe na wengine pia.

Katika hitimisho lake Kapteni Jamieson alibaini mambo makuu mawili, mosi Marekani imeweka base ile ya kijeshi ya AFRICOM kwa lengo la kuongeza ushawishi Afrika na pili kulinda maslahi ya makampuni ya mafuta ya kimarekani ambayo yanachimba mafuta arabuni na kandokando mwa bahari (Offshore) na si kitu kingine. Hivyo kwa kifupi kwa mujibu wa Jamieson AFRICOM haiisaidii Afrika katika usalama hata kidogo.

Hivyo kwa Marekani ni sahihi kwa nchi ya Djibouti kutokuwa na demokrasia kwa sababu tu inalinda maslahi ya makampuni ya Marekani.

Kimsingi "maslahi ya makampuni ya Marekani" ndiyo sababu inayofanya Marekani iipende Djibouti na kuisifia huku ikiichukia Tanzania ya sasa. Huu ndiyo ukweli.

Kuthibitisha hili rejea Azimio lililopitishwa na Bunge la Congress kuna paragraph inasomeka hivi:

Whereas some United States companies operating in Tanzania have reported harassment, corruption, and lack of respect for contracts and business operations, which threatens future United States business investment and trade partnerships;

Azimio linadai kuwa baadhi ya makampuni ya Marekani yaliyopo Tanzania yameripoti kubughudhiwa, rushwa, kutoheshimiwa kwa mikataba na uendeshaji biashara hali ambayo inatishia uwekezaji wa makampuni ya Marekani Tanzania.

Tujiulize, kudaiwa kodi ambayo ni haki yetu watanzania ni kubughudhiwa?

Au kuzuiwa kwa mchanga wenye madini yaani makinikia kwa faida ya watanzania ni kutoheshimu mikataba?

Au huku kuibuka kwa Laizer kuwa bilionea ni rushwa?

Waseme kweli!

Ukweli ni kuwa Marekani wanaumizwa sana na hizi Bilioni 700 zinazolipwa na Barrick baada ya kubanwa kimkataba. Tena inawauma zaidi kwa sababu walileta wataalamu wa majadiliano (negotiations) 40 na wakashindwa, hii inauma zaidi. Huu ndiyo ukweli mchungu ambao Marekani unawakera sana, hawataki tu kusema kweli na kamwe hawatosema hadharani.

Ukitaka kuona wameumizwa na hizi bilioni 700 zinazolipwa rejea makubaliano ya azimio lile la Congress limeeleza ifuatavyo:

(3) urges the Government of Tanzania to foster a robust, market-led business environment conducive to continued United States trade and investment in Tanzania, including respect for the legal and contractual rights of United States companies operating in Tanzania;

Kwamba, "Tanzania iiwekee Marekani mazingira mazuri ya kufanya biashara Tanzania."

Ni mazingira gani mazuri wanayotaka Marekani ikiwa Tanzania tayari inatekeleza mpango kazi wa kuweka mazingira mazuri ya kibiashara ( Blueprint) ikiwemo ujenzi wa miundombinu, kupitia mikataba, na kuweka mfumo bora wa masoko tangu mwaka 2015.

Tuulizane kwa pamoja "Ni mazingira gani mazuri wanayomaanisha Marekani?"

Au mazingira ya kunufaika wao Marekani peke yao tu halafu sisi Tanzania hatunufaiki kisha baadae watuletee madawati waandike "Kutoka kwa watu wa Marekani" ilihali ni hela yetu iliyopatikana kiujanjaujanja?

Na hili napenda lieleweke wazi kuwa ni hela yetu kwa sababu ardhi yetu ndiyo inatumika kuwanufaisha raia wa Marekani.

Kuthibitisha hili kuwa ni hela zetu, Slaughter (2009) alipata kuandika "How US multinational companies strengthen the US economy" kwa Kiswahili "Ni namna gani makampuni makubwa ya Marekani yanaimarisha uchumi wa Marekani."

Katika kitabu hiki Slaughter anasema:

U.S. multinational companies are, first and foremost, American companies. As a group, U.S. multinationals perform large shares of America’s productivity-enhancing activities that lead to high average compensation for American workers.

Kwa kifupi alichoeleza Slaughter ni kuwa wafanyakazi wa Marekani wanafidiwa na hela inayopatikana kutoka katika makampuni makubwa mfano wa Barrick, je si hela yetu hiyo?

Sasa hii ndiyo sababu halisi ya kuingilia uchaguzi wa mwaka huu. Marekani imeona Tanzania imefumbua macho kutoka usingizini hivyo inajaribu kutumia kichaka cha Demokrasia ili kuhakikisha anapatikana mtu atakaelinda maslahi ya Marekani kama alivyo Guelleh pale Djibouti ili wafanyakazi wa Marekani waendelee kunufaika na madini ya watanzania.

Nasema ni demokrasia kwao ni kichaka cha kuficha mipango yao kwa sababu hata tafiti zinaonesha wazi.

Rejea utafiti uliofanywa juu ya mfumo linganifu wa Marekani uliochapishwa na Taasisi ya Kifalme ya Masuala ya Kimataifa ya London kama nilivyonukuu hapa chini:

A study of the inter-American system published by the Royal Institute of International Affairs in London concluded that, while the US pays lip service to democracy, the real commitment is to “private, capitalist enterprise.” When the rights of investors are threatened, democracy has to go; if these rights are safeguarded, killers and torturers will do just fine.

Tafsiri pana hapa ni kwamba; "Wakati Marekani inahubiri demokrasia, mkazo halisi upo kwenye makampuni yao ya kibepari. Pindi wanapoona kile wanachoita 'haki' za wawekezaji wao zikiwa hatarini basi demokrasia haina budi iondoke katika nchi hiyo, na ikiwa 'haki' hizo zitalindwa basi kiongozi anaweza kukaa madarakani atakavyo na wala hawatojali suala la kutokuwepo kwa demokrasia."

"Tujiulize ni haki zipi za makampuni ya Marekani zimebanwa kiasi kwamba wajidhihirishe waziwazi kuunga mkono mgombea fulani kwa sababu tu ameonesha kuyahakikishia makampuni ya Marekani kunufaika na rasilimali zetu?"
Tujiulize kwa makini?

Au tujiulize ni makampuni gani ya sekta binafsi ambayo yanabanwa Tanzania ikiwa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini TPSF imeipongeza serikali ya awamu ya Tano kwa ushirikiano?

Nawashauri watanzania wenzangu tuwe makini sana tusije tukajikuta tunaingizwa walipo Libya hivi sasa kwa sababu za ulafi wa baadhi yetu.

*Watu watumie wasaa huu kujiuliza, ikiwa Marekani inasapoti demokrasia Tanzania kwa nini hivi sasa imeacha Libya wakiuana ikiwa walidai hakukuwa na demokrasia? Lengo lao ni lipi?

Muhnu wa hano:

Zihnu Ditalitali.
 
Dikteta uchwala lazima apigwe chini!
#Niyeye Lissu 2020
 
Ni mwendawazimu pekee ndiye atakayeamini usemayo

1. Lissu kupigwa risasi wamarekani walihusika?
2. Marekani anahusika vipi watu kupotea hovyo na kuuwawa kikatili?
3. Marekani ndo alizuia mikutano ya kisiasa?
4. Marekani alishika kinywa cha magufuli na kutoa majibu ya kebehi kwa waliobomolewa kibaha na janga la tetemeko huko kaskazini magharibi?
5. Marekani anahusika vipi na kuliwa kwa pesa za wahanga wa tetemeko?
6. Marekani ameshika fedha zako ili usilipe mafao ya wastaafu?
7. Marekani ndio aliichukua ile Trilion 1.5 aliyoiibua CAG Asad?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ni mzito kuelewa mambo makubwa alafu bahati mbaya hataki kuuliza akasaidiwa! Kwa Marekani imeongelea na kutoa wito kuhusu suala zima la kuitaka serikali kusimamia haki katika uchaguzi huu!

Imeoimba na kuitaja serikali kusimamia suala hilo sababu serikali ndiyo inayoandaa uchaguzi na wala sio vyama vya siasa! Vyama ni wadau tu na haviwezi kuathiri haki kama serikali itaandaa mazingira ya haki! Sasa wewe unataka Marekani iwatakr CHADEMA kuendesha uchaguzi huru na wa haki, CHADEMA inahusikaje?

Hayo mengine sijui siri na vitu gani ni uzushi tu wa wanaccm mkishikwa pabaya ndio zenu hizo!
No way out! Ni kutenda haki tu ndiko kutaiokoa CCM na serikali yake! Dunia ya sasa sio ya mwaka 1995!
 
Nawasilisha kama nilivyokuta Mahali mwandishi yuko hapo chini.
Hivi karibuni Marekani kupitia kikao cha 116 cha Bunge la Congress ilipitisha Azimio la kuitaka Tanzania kufanya uchaguzi huru na haki.

Azimio hili lilibeba kichwa cha habari kinachosomeka kama ifuatavyo:

"Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human, civil, and political rights and ensure free and fair elections in October 2020,and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."

Ukitazama kichwa cha habari cha azimio lile utaona limetaja serikali ya Tanzania na vyama vyote vya siasa nchini, lakini ajabu kilichoelezwa ndani kinailenga serikali ya Tanzania peke yake. Hapa ndipo sisi watanzania tunapaswa kujiuliza maswali, kuna siri gani imejificha?

SIRI NI HII

Ukweli ni kwamba Marekani inaumizwa sana na jinsi serikali ya Tanzania chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ilivyoweza kuyabana makampuni makubwa ya uwekezaji ( Multinational Companies kwa kifupi MNCs) mfano kampuni ya Barrick Gold Mine ambayo kwa miaka mingi yaliifanya Tanzania kama mahali pa kuchota rasilimali bure bure. Hili linawauma mno.

Kuna watu wanaweza kusema Barrick ni ya wacanada, wakatazame wanahisa (shareholders) wa Barrick ni kina nani? Fidelity Management and Research Group (FMR) ni mwanahisa mmojawapo wa Barrick. FMR inatoka Boston. Vanguard Group inatoka Pennsylvania. Haya ni baadhi ya makampuni yenye hisa Barrick.

Suala la demokrasia ni kichaka ambacho Marekani imekuwa ikitumia kuficha mipango yake. Kwa nini nasema ni kichaka? Ili kuelewa hili ijue demokrasia halisi ya Marekani kutokea Djibouti.

Nani anaifahamu Djibouti?

Djibouti inaongozwa na Rais anaitwa Ismail Omar Guelleh tangu mwaka 1999 wakati huo Rais Magufuli hata hajawa Waziri kamili wa Ujenzi. Rais Guelleh maarufu kama IOG anaongoza Djibouti mpaka leo hii kwa zaidi ya miaka 20 sasa.

Mwaka 2010 Bunge la Djibouti liliondoa ukomo wa kumruhusu Rais Guelleh kugombea kwa mara ya 3 baada ya kumaliza awamu zake mbili za miaka mitano mitano kwa mujibu wa Katiba ya Djibouti mbele ya macho ya Wamarekani hali iliyozua maandamano na watu kupigwa.

Hapa tunapaswa kujiuliza, "Kama Marekani inapigania Demokrasia, kwa nini waliacha Katiba ya Djibouti ikachezewa?"

Djibouti ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo demokrasia haina nafasi kabisa lakini Marekani imekaa kimya miaka yote. Tumeshawahi kujiuliza ni kwa nini?

Kama hatujui jibu basi tutazame website ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani www.state.gov kwenye kipengele cha "US-Relations with Djibouti" tutakuta maelezo haya "The Djiboutian government is supportive of US interests."

Kwamba, "Nchi ya Djibouti inaunga mkono maslahi ya Marekani" au kwa lugha nyingine "Djibouti inalinda maslahi ya Marekani." Ni maslahi gani hayo? Kujua maslahi gani hayo msome DG Jamieson hapa chini.

Akiwa Kapteni wa Jeshi la Afrika Kusini katika kamandi ya Majini (SAND) DG Jamieson aliandika andiko la kiutafiti mwaka 2009 akitathmini uwepo wa kamandi kubwa ya kijeshi ya Marekani Afrika (AFRICOM) pale nchini Djibouti.

Andiko hili lilikwenda kwa jina la "AFRICOM: A threat or opportunity for African security?" yaani "AFRICOM: ni kitisho au fursa kwa usalama wa Afrika." Wasomi wetu, vijana wa kitanzania mnaweza kulisoma ili muwaelimishe na wengine pia.

Katika hitimisho lake Kapteni Jamieson alibaini mambo makuu mawili, mosi Marekani imeweka base ile ya kijeshi ya AFRICOM kwa lengo la kuongeza ushawishi Afrika na pili kulinda maslahi ya makampuni ya mafuta ya kimarekani ambayo yanachimba mafuta arabuni na kandokando mwa bahari (Offshore) na si kitu kingine. Hivyo kwa kifupi kwa mujibu wa Jamieson AFRICOM haiisaidii Afrika katika usalama hata kidogo.

Hivyo kwa Marekani ni sahihi kwa nchi ya Djibouti kutokuwa na demokrasia kwa sababu tu inalinda maslahi ya makampuni ya Marekani.

Kimsingi "maslahi ya makampuni ya Marekani" ndiyo sababu inayofanya Marekani iipende Djibouti na kuisifia huku ikiichukia Tanzania ya sasa. Huu ndiyo ukweli.

Kuthibitisha hili rejea Azimio lililopitishwa na Bunge la Congress kuna paragraph inasomeka hivi:

Whereas some United States companies operating in Tanzania have reported harassment, corruption, and lack of respect for contracts and business operations, which threatens future United States business investment and trade partnerships;

Azimio linadai kuwa baadhi ya makampuni ya Marekani yaliyopo Tanzania yameripoti kubughudhiwa, rushwa, kutoheshimiwa kwa mikataba na uendeshaji biashara hali ambayo inatishia uwekezaji wa makampuni ya Marekani Tanzania.

Tujiulize, kudaiwa kodi ambayo ni haki yetu watanzania ni kubughudhiwa?

Au kuzuiwa kwa mchanga wenye madini yaani makinikia kwa faida ya watanzania ni kutoheshimu mikataba?

Au huku kuibuka kwa Laizer kuwa bilionea ni rushwa?

Waseme kweli!

Ukweli ni kuwa Marekani wanaumizwa sana na hizi Bilioni 700 zinazolipwa na Barrick baada ya kubanwa kimkataba. Tena inawauma zaidi kwa sababu walileta wataalamu wa majadiliano (negotiations) 40 na wakashindwa, hii inauma zaidi. Huu ndiyo ukweli mchungu ambao Marekani unawakera sana, hawataki tu kusema kweli na kamwe hawatosema hadharani.

Ukitaka kuona wameumizwa na hizi bilioni 700 zinazolipwa rejea makubaliano ya azimio lile la Congress limeeleza ifuatavyo:

(3) urges the Government of Tanzania to foster a robust, market-led business environment conducive to continued United States trade and investment in Tanzania, including respect for the legal and contractual rights of United States companies operating in Tanzania;

Kwamba, "Tanzania iiwekee Marekani mazingira mazuri ya kufanya biashara Tanzania."

Ni mazingira gani mazuri wanayotaka Marekani ikiwa Tanzania tayari inatekeleza mpango kazi wa kuweka mazingira mazuri ya kibiashara ( Blueprint) ikiwemo ujenzi wa miundombinu, kupitia mikataba, na kuweka mfumo bora wa masoko tangu mwaka 2015.

Tuulizane kwa pamoja "Ni mazingira gani mazuri wanayomaanisha Marekani?"

Au mazingira ya kunufaika wao Marekani peke yao tu halafu sisi Tanzania hatunufaiki kisha baadae watuletee madawati waandike "Kutoka kwa watu wa Marekani" ilihali ni hela yetu iliyopatikana kiujanjaujanja?

Na hili napenda lieleweke wazi kuwa ni hela yetu kwa sababu ardhi yetu ndiyo inatumika kuwanufaisha raia wa Marekani.

Kuthibitisha hili kuwa ni hela zetu, Slaughter (2009) alipata kuandika "How US multinational companies strengthen the US economy" kwa Kiswahili "Ni namna gani makampuni makubwa ya Marekani yanaimarisha uchumi wa Marekani."

Katika kitabu hiki Slaughter anasema:

U.S. multinational companies are, first and foremost, American companies. As a group, U.S. multinationals perform large shares of America’s productivity-enhancing activities that lead to high average compensation for American workers.

Kwa kifupi alichoeleza Slaughter ni kuwa wafanyakazi wa Marekani wanafidiwa na hela inayopatikana kutoka katika makampuni makubwa mfano wa Barrick, je si hela yetu hiyo?

Sasa hii ndiyo sababu halisi ya kuingilia uchaguzi wa mwaka huu. Marekani imeona Tanzania imefumbua macho kutoka usingizini hivyo inajaribu kutumia kichaka cha Demokrasia ili kuhakikisha anapatikana mtu atakaelinda maslahi ya Marekani kama alivyo Guelleh pale Djibouti ili wafanyakazi wa Marekani waendelee kunufaika na madini ya watanzania.

Nasema ni demokrasia kwao ni kichaka cha kuficha mipango yao kwa sababu hata tafiti zinaonesha wazi.

Rejea utafiti uliofanywa juu ya mfumo linganifu wa Marekani uliochapishwa na Taasisi ya Kifalme ya Masuala ya Kimataifa ya London kama nilivyonukuu hapa chini:

A study of the inter-American system published by the Royal Institute of International Affairs in London concluded that, while the US pays lip service to democracy, the real commitment is to “private, capitalist enterprise.” When the rights of investors are threatened, democracy has to go; if these rights are safeguarded, killers and torturers will do just fine.

Tafsiri pana hapa ni kwamba; "Wakati Marekani inahubiri demokrasia, mkazo halisi upo kwenye makampuni yao ya kibepari. Pindi wanapoona kile wanachoita 'haki' za wawekezaji wao zikiwa hatarini basi demokrasia haina budi iondoke katika nchi hiyo, na ikiwa 'haki' hizo zitalindwa basi kiongozi anaweza kukaa madarakani atakavyo na wala hawatojali suala la kutokuwepo kwa demokrasia."

"Tujiulize ni haki zipi za makampuni ya Marekani zimebanwa kiasi kwamba wajidhihirishe waziwazi kuunga mkono mgombea fulani kwa sababu tu ameonesha kuyahakikishia makampuni ya Marekani kunufaika na rasilimali zetu?"
Tujiulize kwa makini?

Au tujiulize ni makampuni gani ya sekta binafsi ambayo yanabanwa Tanzania ikiwa Taasisi ya Sekta Binafsi Nchini TPSF imeipongeza serikali ya awamu ya Tano kwa ushirikiano?

Nawashauri watanzania wenzangu tuwe makini sana tusije tukajikuta tunaingizwa walipo Libya hivi sasa kwa sababu za ulafi wa baadhi yetu.

*Watu watumie wasaa huu kujiuliza, ikiwa Marekani inasapoti demokrasia Tanzania kwa nini hivi sasa imeacha Libya wakiuana ikiwa walidai hakukuwa na demokrasia? Lengo lao ni lipi?

Muhnu wa hano:

Zihnu Ditalitali.
Umeandika upuuzi. Kwa hiyo jpm atumalize tukose pa kuongelea? Wamepigwa risasi lisu na wengine kupotea. Sasa amepatikana wa kututetea ili tusionewe hata Kama anatetea mslahi yake tunamuona mkombozi kwetu.

Jpm anatuona vijana hatuna maana yeye ndege kwanza hata tukifa wote poa tu.

Issue ni kwamba vijana tumemchoka na Wala siyo wamarekani.
 
USA hawataweza Tanzania, na matamko yao ya mikwara mbuzi

Tanzania tuliikomboa Africa kutoka kwa mkoloni tuje tusumbuliwe na hii USA inayopumulia mashine
Tanzania ni maji marefu
Wewe unafurahi JPM aendelee kutufukarisha kisa ananunua ndege? Au kuchapa risasi watu na kuwapotezea wengine Kama akina Ben Saanane? Tunatafuta ukombozi na shukrani kwa Marekani kutuunga mkono la sivyo tungefikia hatua ya kupigwa risasi mchana kweupe!
 
Ni kama serikali na vyombo vyake inapohimiza utii wa sheria wakati wao ni wavunjifu wakubwa wa hizo sheria. Usishangae wakiwa hivyo pia.
 
Huo ndio ukweli na wameona kimbilio ni vyama vya Upinzani ili kuwatumia kama vibaraka na mawakala.
Watanzania tunaojitambua, tutamchagua Kamanda wetu JPM, Kiboko ya Mabeberu
 
Back
Top Bottom