Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

"My people are destroyed for lack of knowledge, because you have rejected knowledge, I reject you from being a priest to me" (Hosea 4:6).
Now, better seek that knowledge, rather than speaking lies
 
Katika vitu ambavyo sijawahi kuviamini ni hayo yanayoitwa mafuta/maji ya upako...!
 
Now, better seek that knowledge, rather than speaking lies
Truth is truth and will always be truth regardless of our attitude towards it or ignorance of it. But may I suggest to you that when it come to spiritual matters there is an absolute and objective truth, and that truth is very must attainable and understandable. It is the truth of God's word and we have that truth preserved for us right her in the Bible.
1470772811573.jpg
 
We ndo akili huna wanzako wapo mirembe we unaendelea kutusumbua tu, nmekufatilia kwamakin nmegundua dishi limeyumba ngoja tukusamehe bure
 
Siri iliyopo ktk mafuta tunaifahamu wachache.

Hapa nilipo tukijilanga watu watano na kuamua kufungua kanisa la miujiza tu amini nakwambia ndani ya miezi mitatu mpaka minne kila mmoja atamiliki gari la maana ila kwanini tumchokoze Mungu?

Haya mafuta kuna vitu vinachanganywa bila maombi yoyote ukijipaka mapepo yanalipuka na kutoka sawa na mafusho.

Sijawakataza kununua mafuta ila kuweni macho.

Kama ambavyo mchungaji wako hajui uyafanyayo ww, vilevile pia wewe huyajui afanyayo mchungaji wako akiwa gizani.
 
Mwacheni shetani naye apumzike..tumien akili zenu loh! Kila kitu shetani shetani....dah...shetan gan mkubwa kuliko nafsi yako mwenywew?!
MR UNINFORMED; Lucifer tried to take over heaven. Predictably, he failed and was kicked out. Now, he seek vengeance, he can't hurt God, but he can harm you who God dearly loves. So, he lies to you, seeking to destroy you and separate you from your loving father.

1470773563050.jpg
 
We ndo akili huna wanzako wapo mirembe we unaendelea kutusumbua tu, nmekufatilia kwamakin nmegundua dishi limeyumba ngoja tukusamehe bure
Hahahahaaaa Rafiki yangu maandiko yanasema " Stupid people always think they are right. Wise people listen to advise. When a fool is annoyed, he quickly lets it be known. Smart people will ignore an insult. (Proverbs 12:15)
 
Hujui biblia,kupaka mafuta ni sawa kabisa na sii mafuta pekee hata kitambaa chaweza kuombewa na akapelekewa mgonjwa akapona.kuwa mwangalifu na kazi za Mungu,kuna watumishi wa Mungu ukuwanenea vibaya waweza hukumiwa,tulia kimya mwache Mungu awahukumu kama unafikiri ni matapeli.
 
Mlishazoe kutapeliwa, mwezako katumia maandiko, wew ujatumia hata neno moja la biblia kusibitisha juu ya mafuta hayo ya upako. We unaleta porojo hapa. Yani watanzania hakika Magufuli anakazi ya ziada juu ya wajinga kama hawa.
Wajinga ndo waliwao wameshamezeshwa sumu na manabii wao fake basi kwao kila kitu ni ndio tu
 
Kuna wengine[watumishi], wanadiriki kutaja kiwango cha fedha kabisa..., utaskiaa,.....mwenye elfu kumi aje mbele apakwe mafuta.........na wengine hohehahe mnakaa tu mimacho kodooooooo.....
MIMI SINA AMRI YA KUHUKUMU, YOTE NAMWACHIA MUNGU, IPO SIKU MAMBO YATAWEKWA WAZI.
Mkuu nimeshuhudia mimi mwenyewe, Nabii aliita watu wenye 50000 wanaenda wale wenye nazo, wengine macho kodooo... Au utasikia nyoosheni mikono tuwaombee
 
Mtumishi umenena vyema sana, kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa. Hawa manabii wanapitia katika ujinga wetu kupata utajiri wa ajabu. Mimi niliwa kwenda kununua hayo mafuta pale Miracle center kwa Mtume Peter Nyaga, nilinunua kichupa kidogo laki moja(100000). Nilipokunywa Yale mafuta, nilikuwa na mimba ya miezi 3 ikatoka. Niliugua sana sikujua kwa nini ilitokea kwangu. Tokea kipindi hicho mume wangu alinizuia kabisa kukanyaga katika makanisa hayo.
 
Mtumishi umenena vyema sana, kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa. Hawa manabii wanapitia katika ujinga wetu kupata utajiri wa ajabu. Mimi niliwa kwenda kununua hayo mafuta pale Miracle center kwa Mtume Peter Nyaga, nilinunua kichupa kidogo laki moja(100000). Nilipokunywa Yale mafuta, nilikuwa na mimba ya miezi 3 ikatoka. Niliugua sana sikujua kwa nini ilitokea kwangu. Tokea kipindi hicho mume wangu alinizuia kabisa kukanyaga katika makanisa hayo.
Vivian Kikubwa atusomi neno la Mungu huko ndiko yanapatikana maarifa ya kutambua hila za shetani. Sasa watu wajanja wanaojua kutafuta pesa wanatumia nafasi hiyo kikamilifu. Kikubwa tusimtegemee mwanadamu au mafuta ya upako, tumtegemee Mungu pekee.
 
Matapeli Sana hawa siwezi kwenda kwa wajasiriamali.juzi wife anaambiwa Na ndugu yake ampeleke mtoto wetu kubarikiwa Na alipie form mapema nafasi anaweza kosa Na atayarishe sadaka kabisa.hapo ni kwa nabii fake Mwingira nikamwambia wife sitaki mtoto wangu umpeleke huko.
 
Back
Top Bottom