Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

BM Pesambili

Senior Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
102
Reaction score
626
Shetani ametupofusha na kutufanya tusione wala kusikia, ametuteka nyara na kutupumbaza kiasi kwamba tumeshindwa kuutambua ukweli. Ni nani asiyejua shetani ndiye mshitaki wetu? Ana orodha ya dhambi ya kila mwenye dhambi; Hutoa hati yake ya makosa mbele Mungu wetu. Ndiye adui yetu mkubwa, malaika mkuu aliyeanguka ambaye amejaa chuki, fitina, dhuluma, ukatili, husuda, Utapeli, uongo, tamaa, udanganyifu, unafiki, ushirikina, mateso, magonjwa n.k

Shetani ni mtawala wa roho katika ufalme wa giza, hivyo adui wetu ni wa rohoni, basi ni lazima tutumie silaha kuu za roho dhidi yake. Baada ya Yesu kutabiri juu ya kifo chake kule Yerusalemu, Simoni Petro akasema " Hasha, Bwana , hayo hayatakupata" Yesu akamjibu Petro " Nenda nyuma yangu, Shetani; ukikwazo kwangu, maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu" (Mathayo 16: 21-23). Bwana Yesu hamkemei Petro bali anakemea nguvu za pepo zilizoko nyuma ya maneno ya Petro. Shetani alizungumza kupitia kwa mawazo na sauti ya Petro.

Leo shetani anazungumza kupitia kwa mawazo na sauti ya watu waliojipachika majina makubwa, wanaojiita "mitume na manabii" Baadhi yao wamegeuka kuwa wafanyabiashara wa mafuta ya upako, maji, chumvi na vitambaa. Naomba nizungumzee juu ya siri ya mafuta ya upako ambayo wamekuwa wakiyauza kwa gharama kubwa sana.

"Upako" ni neno la Kiebrania katika Agano la kale yaani " Masah" lenye maana Kuwekea mafuta kwa kumimina, kupaka au kutia kwa kusukuma na kueneza kwenye kitu au mtu mwenye kupakwa. Mazoea ya kupaka mafuta yalikuwepo katika makabila mengi ya mashariki ya kati ya awali. Mazoea haya yalikuwa na matumizi ya kawaida na pia matakatifu. Kwa mfano kumpaka mgeni mafuta kama tendo la ukarimu, Kulifanyika hata kwa Yesu (taz. Yohana 12:3, Luka 7:46 , Zaburi 23: 5). Mazoea haya ya kupaka mafuta yalikuwa na maana kubwa sana kwa watu wa Israeli, katika Agano la kale. Tukisoma habari ya Yakobo alipoweka kumbukumbuku ya kukutana kwake na Mungu mara ya kwanza. Yakobo alimimina mafuta juu ya jiwe alilokuwa amekalia, kichwa chake akilala na kuota ndoto (Mwanzo 28 : 10-18). Baadaye mafuta yalipakwa kwenye madhabahu na vitu vingine vilivyotumiwa katika ibada. ( Kutoka 30:26-29, Walawi 8:10-11). Mazoea ya kutia mafuta yalipanuliwa kwa wafalme mpaka kwa manabii (1 Samweli 9:16). Kwa upande wa Agano jipya, kila neno lilidhihirisha namna tofauti ya upako. Kwa mfano "Aleipho" hili ni neno la kiyunani lenye maana ya kupaka na kusugua mafuta mwilini (Marko 6:13, Luka 7:38-46). Upako haukuhusu uponyaji wa ugonjwa, ila upako huu ulikuwa ishara ya uwepo wa Roho mtakatifu na kumweka wakfu mtu aliyekuwa mgonjwa ili amuombe Mungu uponyaji katika imani.

Nazungumza na hawa matapeli waliogeuza maandiko kwa upofu wao kwa sababu ya tamaaa ya mali, umaarufu na Pesa, kugeuza kanisa kuwa duka la biashara ya mafuta ya upako. I have seen on television and heard on radio fake prophet selling oil and water; These are false things, miracles are free. Many people are following this trend because of lack of knowledge; Jesus Christ never sold oil, where in the Bible do we see people selling oil? There is no power in those oil and water no matter where they come from whether from Israel or Jordan.

1470763791150.jpg

Ndugu zangu hawa watu hawatofutiana na waganga wa kienyeji. Je wajua hayo mafuta yao ya upako yanatokana na nini? Mafuta haya yanatokana na mchanganyiko wa Mafuta ya "Mzeituni" Mafuta ya "Vituguu swaum" mafuta ya "Nguruwe" pamoja na mafuta ya "Alizeti". Hakuna ubishi mafuta haya wanatumia hata waganga wa kienyeji, kuondoa mikosi, kuzuia wachawi kuingia ndani kwa kunyunyuzia pande nne za nyumba, kufukuza majini ndani ya mwili, kupaka mwilini kuondoa maumivu na magonjwa mengine.

1470763947928.jpg

Hatuwezi kuruhusu shetani kutuchezea kiasi hiki. Nabii au mtume Yeyote anayeuza mafuta haya ni tapeli; inabidi tumkemee. Haijalisha ni nani, wauza mafuta mnawajua. Wengine wamefungua maduka makubwa ndani na nje ya nchi. Majina yao yanajulikana na yako wazi. Ni wakati wa kuwafunua hawa matapeli, wanafiki, wafitini, waongo, wapiga ramli, waganga wa kienyeji, wauwaji wa roho na wenye tamaa ya Mali, vyeo na pesa. Na sasa wameukwaa utajiri wa ajabu kwa biashara isiyolipiwa hata kodi.

Tunatakiwa kusimama imara dhidi ya mbinu za shetani. Ni wakati wa kumkabiri adui. Na silaha yetu kubwa ni maombi, maombi ndio njia ya pekee katika pambano la kiroho. Mwana wa Mungu aliyejazwa roho, anapoanza kuomba kwa dhati, Shetani hutetemeka. Shetani hawezi kushinda katika silaha ya maombi. Elewa kuwa maombi ni vita, kuomba ni zaidi ya pambano, ni jambo zito. Maombi ni mwito wa kujiami, kupitia kwa maombi tunagusa mbigu, ni ushindi dhidi ya magonjwa, laana, mikosi na umasikini(Waebrania 13:14). Shetani anajua nguvu iliyo katika maombi ndio maana anapinga vikali maisha yako ya maombi. (Waefeso 6:10-12).
 
Hujui biblia,kupaka mafuta ni sawa kabisa na sii mafuta pekee hata kitambaa chaweza kuombewa na akapelekewa mgonjwa akapona.kuwa mwangalifu na kazi za Mungu,kuna watumishi wa Mungu ukuwanenea vibaya waweza hukumiwa,tulia kimya mwache Mungu awahukumu kama unafikiri ni matapeli.
 
Mlishazoe kutapeliwa, mwezako katumia maandiko, wew ujatumia hata neno moja la biblia kusibitisha juu ya mafuta hayo ya upako. We unaleta porojo hapa. Yani watanzania hakika Magufuli anakazi ya ziada juu ya wajinga kama hawa.
 
nyakat zilizotabiliwa uwez zizuia kwa kutuabarisha ukweli. wa mungu atawatwaaa na wa shetani atajiokotea bure.
 
Shetani ametupofusha na kutufanya tusione wala kusikia, ametuteka nyara na kutupumbaza kiasi kwamba tumeshindwa kuutambua ukweli. Ni nani asiyejua shetani ndiye mshitaki wetu? Ana orodha ya dhambi ya kila mwenye dhambi; Hutoa hati yake ya makosa mbele Mungu wetu. Ndiye adui yetu mkubwa, malaika mkuu aliyeanguka ambaye amejaa chuki, fitina, dhuluma, ukatili, husuda, Utapeli, uongo, tamaa, udanganyifu, unafiki, ushirikina, mateso, magonjwa n.k

Shetani ni mtawala wa roho katika ufalme wa giza, hivyo adui wetu ni wa rohoni, basi ni lazima tutumie silaha kuu za roho dhidi yake. Baada ya Yesu kutabiri juu ya kifo chake kule Yerusalemu, Simoni Petro akasema " Hasha, Bwana , hayo hayatakupata" Yesu akamjibu Petro " Nenda nyuma yangu, Shetani; ukikwazo kwangu, maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu" (Mathayo 16: 21-23). Bwana Yesu hamkemei Petro bali anakemea nguvu za pepo zilizoko nyuma ya maneno ya Petro. Shetani alizungumza kupitia kwa mawazo na sauti ya Petro.

Leo shetani anazungumza kupitia kwa mawazo na sauti ya watu waliojipachika majina makubwa, wanaojiita "mitume na manabii" Baadhi yao wamegeuka kuwa wafanyabiashara wa mafuta ya upako, maji, chumvi na vitambaa. Naomba nizungumzee juu ya siri ya mafuta ya upako ambayo wamekuwa wakiyauza kwa gharama kubwa sana.

"Upako" ni neno la Kiebrania katika Agano la kale yaani " Masah" lenye maana Kuwekea mafuta kwa kumimina, kupaka au kutia kwa kusukuma na kueneza kwenye kitu au mtu mwenye kupakwa. Mazoea ya kupaka mafuta yalikuwepo katika makabila mengi ya mashariki ya kati ya awali. Mazoea haya yalikuwa na matumizi ya kawaida na pia matakatifu. Kwa mfano kumpaka mgeni mafuta kama tendo la ukarimu, Kulifanyika hata kwa Yesu (taz. Yohana 12:3, Luka 7:46 , Zaburi 23: 5). Mazoea haya ya kupaka mafuta yalikuwa na maana kubwa sana kwa watu wa Israeli, katika Agano la kale. Tukisoma habari ya Yakobo alipoweka kumbukumbuku ya kukutana kwake na Mungu mara ya kwanza. Yakobo alimimina mafuta juu ya jiwe alilokuwa amekalia, kichwa chake akilala na kuota ndoto (Mwanzo 28 : 10-18). Baadaye mafuta yalipakwa kwenye madhabahu na vitu vingine vilivyotumiwa katika ibada. ( Kutoka 30:26-29, Walawi 8:10-11). Mazoea ya kutia mafuta yalipanuliwa kwa wafalme mpaka kwa manabii (1 Samweli 9:16). Kwa upande wa Agano jipya, kila neno lilidhihirisha namna tofauti ya upako. Kwa mfano "Aleipho" hili ni neno la kiyunani lenye maana ya kupaka na kusugua mafuta mwilini (Marko 6:13, Luka 7:38-46). Upako haukuhusu uponyaji wa ugonjwa, ila upako huu ulikuwa ishara ya uwepo wa Roho mtakatifu na kumweka wakfu mtu aliyekuwa mgonjwa ili amuombe Mungu uponyaji katika imani.

Nazungumza na hawa matapeli waliogeuza maandiko kwa upofu wao kwa sababu ya tamaaa ya mali, umaarufu na Pesa, kugeuza kanisa kuwa duka la biashara ya mafuta ya upako. I have seen on television and heard on radio fake prophet selling oil and water; These are false things, miracles are free. Many people are following this trend because of lack of knowledge; Jesus Christ never sold oil, where in the Bible do we see people selling oil? There is no power in those oil and water no matter where they come from whether from Israel or Jordan.

View attachment 378647
Ndugu zangu hawa watu hawatofutiana na waganga wa kienyeji. Je wajua hayo mafuta yao ya upako yanatokana na nini? Mafuta haya yanatokana na mchanganyiko wa Mafuta ya "Mzeituni" Mafuta ya "Vituguu swaum" mafuta ya "Nguruwe" pamoja na mafuta ya "Alizeti". Hakuna ubishi mafuta haya wanatumia hata waganga wa kienyeji, kuondoa mikosi, kuzuia wachawi kuingia ndani kwa kunyunyuzia pande nne za nyumba, kufukuza majini ndani ya mwili, kupaka mwilini kuondoa maumivu na magonjwa mengine.

View attachment 378648

Hatuwezi kuruhusu shetani kutuchezea kiasi hiki. Nabii au mtume Yeyote anayeuza mafuta haya ni tapeli; inabidi tumkemee. Haijalisha ni nani, wauza mafuta mnawajua. Wengine wamefungua maduka makubwa ndani na nje ya nchi. Majina yao yanajulikana na yako wazi. Ni wakati wa kuwafunua hawa matapeli, wanafiki, wafitini, waongo, wapiga ramli, waganga wa kienyeji, wauwaji wa roho na wenye tamaa ya Mali, vyeo na pesa. Na sasa wameukwaa utajiri wa ajabu kwa biashara isiyolipiwa hata kodi.

Tunatakiwa kusimama imara dhidi ya mbinu za shetani. Ni wakati wa kumkabiri adui. Na silaha yetu kubwa ni maombi, maombi ndio njia ya pekee katika pambano la kiroho. Mwana wa Mungu aliyejazwa roho, anapoanza kuomba kwa dhati, Shetani hutetemeka. Shetani hawezi kushinda katika silaha ya maombi. Elewa kuwa maombi ni vita, kuomba ni zaidi ya pambano, ni jambo zito. Maombi ni mwito wa kujiami, kupitia kwa maombi tunagusa mbigu, ni ushindi dhidi ya magonjwa, laana, mikosi na umasikini(Waebrania 13:14). Shetani anajua nguvu iliyo katika maombi ndio maana anapinga vikali maisha yako ya maombi. (Waefeso 6:10-12).
Umeponya wangapi kwa mchanganyiko huo? Hizi ni mada zilizojaa chui na fitna.
 
Nilisubir ile wiki moja nione kama utakua umekufa... Kumbe bado upo , basi mshukuru Mungu.

......... Wanapotea kwa kukosa maarifa......
 
Hujui biblia,kupaka mafuta ni sawa kabisa na sii mafuta pekee hata kitambaa chaweza kuombewa na akapelekewa mgonjwa akapona.kuwa mwangalifu na kazi za Mungu,kuna watumishi wa Mungu ukuwanenea vibaya waweza hukumiwa,tulia kimya mwache Mungu awahukumu kama unafikiri ni matapeli.
Kwa hiyo Nabii akitaka kunipaka masizi usoni nimkubalie tu? Kwa sababu anaitwa/anajiita Nabii? Big No!! Watajulikana kwa matendo yao!! Matendo yao tumeyaona! Na tumewajua!! Kwaherini,Tumeshtuka!!
 
Na huyo shetani ndo amekuwa wa kurushiwa kila jiwe la uovu!
kama anawatendesha kwanini muwekwe kwenye makosa..?
 
Kuna wengine[watumishi], wanadiriki kutaja kiwango cha fedha kabisa..., utaskiaa,.....mwenye elfu kumi aje mbele apakwe mafuta.........na wengine hohehahe mnakaa tu mimacho kodooooooo.....
MIMI SINA AMRI YA KUHUKUMU, YOTE NAMWACHIA MUNGU, IPO SIKU MAMBO YATAWEKWA WAZI.
 
tutanunua tu...haitupi shida mbona kwa waganga tunanunua zaidi ya hayo mafuta? ntanunua na wakinitapeli ni sawa pia ila kwa upande mwingine neno la mungu ntanufaika nalo wakat naendelea na hayo mafuta ya upako
Why sell it if is God's oil, why not just anoint people for free. They sell it because they want to make money. It shows that people are starting churches to make business.
 
Hujui biblia,kupaka mafuta ni sawa kabisa na sii mafuta pekee hata kitambaa chaweza kuombewa na akapelekewa mgonjwa akapona.kuwa mwangalifu na kazi za Mungu,kuna watumishi wa Mungu ukuwanenea vibaya waweza hukumiwa,tulia kimya mwache Mungu awahukumu kama unafikiri ni matapeli.
Hahahaa my friend, truth does not reside in a place where there is a blind faith. Where there is truth , there is no need of faith.
 
Back
Top Bottom