Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Moto mkali wa ukweli unawatoa nyoka pangoni.Nilimwambia yeye na first lady wake kunakaribia kukucha na watajita wenywe bila hata kuulizwa.
Hebu nipakulie kidogo, Matunda yapi hayo amezaa?
Aise wewe ni bonge la mnafiki, wewe ndio kiongozi wa kumpondea Zitto humu JF ukisaidiana na Ben halafu sasa unajifanya kuwa uko nae.au umesahau alivyo kutoa nishai? Kweli vijana wa bongo wanaendekeza njaa.
Moto mkali wa ukweli unawatoa nyoka pangoni.
CHADEMA haimaliza vituko mpaka hapo uongozi wa kuviziana utakapoisha/kukoma kati yao.
Mkuu, Mungu alitupatia akili tuzifanyishe kazi kwa mambo yanayohitaji fikra pana!!.Halafu mbona timing za Saa8 na Dr kuingia kwenye hii post kama zinafanana! Kikao cha ushauri kilifanyika au?
What a concidence?
Zitto Zuberi Kabwe kama gazeti limeandika uzushi kuna hatua za kuchukua sio kuleta hapa Jamvini!
Mkuu, mimi nimesema. CHADEMA itatakasika tu pale viongozi wa CHADEMA watakapoacha kufanya kazi za kuviziana kwamba huyu kiongozi amesema hivi ngoja na mimi niseme hivi ku-counter attack, na huku wakitanguliza vijana wao ( proxy) kuja kupiga kelele mbele ya uwanja wa mapambano (Jamii forums)Amelog out kwanza anakwenda kuangalia kwenye ile ID nyingine kama kuna posts za kujibu. Mvumile kidogo.
Kazi ipo leo!
Timu imekamilika sasa, leo kazi ipo:
There are currently 1372 users browsing this thread. (199 members and 1173 guests)
Halafu mbona timing za Saa8 na Dr kuingia kwenye hii post kama zinafanana! Kikao cha ushauri kilifanyika au?
What a concidence?
wewe unashadadia nini kalale au kakunwe kama umechoka jamvini
Huyu jamaa hana kazi inayotambuliwa na CHADEMA kikatiba lakini unapoona watu kama 'First Lady' wa serikali itakayoundwa na CHADEMA wanampa nguvu na kukubali kwa kile anachokifanya, hapo ndipo unaanza kuelewa kwa nini anakuwa na ubavu wa kurumbana na kukwaruzana Mh. zitto.
Haya chini ni maneno ya 'First Lady'. Sasa sijui kama naye 'First Lady' ni PROXY.
kutoka kwenye thread hii,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nza-nape-mchange-na-mwampamba-wahojiwe-6.html
Tusubiri tuone na Kwa Mwigulu.
Mkuu Zitto , nitafurahi sana kama utachukua Uamuzi wa Kulishtaki hilo Gazeti litoe Hicho chanzo chake