gazeti yawezekana limemnukuu ndivyosivyo.kumbuka story za mwanzo za hawa mnawaita masalia ilikua ni kwamba zito akimkwepa ben na hawakuwahi kutana.Kasome tena gazeti,limemnukuu Juliana akisema alikuawa na ZZK kwenye hiyo bar,
Naona kijinga cha moto kimewatoa nyoka pangoni mwao.Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu
Hajamsfundisha bali amemshauri. Hakuna mtu asiyeshauriwa, huenda wewe utakuwa wa kwanza. Hata rais ana rundo la washauri.Toka lini MODs ( Invisible ) akafundishwa kazi yake?.
Mkuu, Kama unataka kufanya kazi za MODs, apply within.
Nimezisikia hizi habari zikishabikiwa na kiredio fulani kama sikosei ni clouds fm wameishabikia hii mada utadhani siyo professionals, as if ni wamama fulani wamekaa kibarazani wanajadiri umbea. Clouds FM inajipotezea sana status yake kushupalia uzushi tena kwa upendeleo, uzushi unaokichafua CCM wanakuwa kimya ila uzushi wa kuichafua CHADEMA utamsikia Geladi Hando, Kibonde na watu wa level hiyo jinsi wanavyo ishupalia kimbea,
Namshukuru Mungu kwa kuniepusha na aibu ya kutumika na wanasiasa.
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
We mlamba miguu wa Nape hujambo?Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
Hizi ndio akili za Mwandishi wa Mtanzania, actually ndo akili za waandishi wengi.Matendo ya mtu mmoja yasigeuzwe propaganda ya taasisi.
Ben saanane na slaa huwa mnafanya unyama kwa manufaa ya nani???
Chadema?
Josephine?
Urais?
Kwa wale wenye akili finyu, hawataielewa hii statement ya mh. Zitto. Watabaki kushabikie kwa upofu wa maino yao.
It's powerful statement ambayo ameielekeza kwa wanaCHADEMA na viongozi wake
Wabaya wake hawatakuwa happy at all kwa hii statement.
Statement inaonyesha kuna migawanyiko ndani ya CHADEMA na kwa maana hiyo, kama wanataka CHADEMA ikabidhiwe nche, hiyo migawanyiko lazima imalizike.
Nani wa kuimaliza iwapo hata 'First Lady' naye ameishayavulia maji nguo na kilichobakia ni kuyaoga?.
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
Kuna uwezekano mkubwa watu wanaokuchukia wakatumia jina la Dr Slaa kukutishia maisha na hii ni ndani na nje ya chadema.
Mie binafsi sijawhi kukutana nawe ila tumeongea mara nyingi kwenye simu na ningekupa ushauri tu
Kila unalolisikia litilie maanani, kwa sababu tayari mtu kapakwa tope basi mwingine anaweza kuja kukumaliza halafu wakasema si mnakumbuka ilivyoandikwa before? Yale yalee ya afande mshutiii!
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
Haya mambo si ya kupuuzwa
Zito ni mvumilivu sana
Ujumbe umefika lakini nina uhakika iko siku tutasikia kitu hapa.
Mie binafsi siamini kuwa kuna njama za kumuua Zito .
Mambo mengi huanzia hapa JF, hivyo nina uhakika iko siku tutasikia jingine.
Ni vigumu sana kondoo kuishi kwenye nyumba yenye simba wenye njaa, iko siku watamtafuna tu.
NA UKIONA SIMBA ANAKUKENULIA MENO USIDHANI ANAKUCHEKEA.
Mbona hawakukutafuna wewe ULIYENONA?
Mkuu, wengine walienda huko kwa kuzamia meli za wagiriki. Si unajua walichokuwa wakifanyiwa ndugu zetu waliozamia meli za wagiriki kipindi kileeee.Kukaa kote ULAYA haya ndio mawazo yako?
Kukaa kote ULAYA haya ndio mawazo yako?
Hahhahaa. Na yule mzee wa tibiesi. Nimemsahau jina lake.Huyu atakuwa wale wanaonyemelea ile tender ya kukagua magari kwa KIGODA