Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Unapozungumzia Makamanda unaitaja CHADEMA tulimtuma Kamanda mmoja ZITTO Kule Mwanza ,Mbeya na Songea kazi imeonekana tunahitaji Nchi iongozwe kwa Sera na nidhamu si muda wakuwaita viongozi wenzio Wajinga nani mjinga kati ya Mkapa na Dr Slaa maana kila anachosema Dr Mafisadi wanaona Ujinga tu,CCM Kaeni na PESA ZENU ZA UFISADI TUACHIENI NCHI YETU WALALAHOI.Hongera CHADEMACCM-Chama Cha Mafisadi na Majambazi kimeshindwa kihalali. Hakuna haja ya kutafuta mchawi na kulaumiana. Maana kama ni kulaumiana waanze na Mzee wa Ubinafsishai wa Kila Kitu-Mkapa mwenyewe, Waziri wa Usingizi-Steven Wassira,Meneja Kampeni na Kubaka wake za Watu-Mwigulu Nchemba,Lowassa Richmonduli na Nnape Nauye-Katibu wa Uenezi wa Uongo na Propaganda za Chama Cha Majambazi.
CCM hakika wamevuna walichokipanda kwa miaka 50 iliyopita huko Arumeru East. Hii ni indicator kwamba come GE 2015 wembe ni uleule!
Bravo CHADEMA. Hongereni sana Makamanda wa chama kwa kazi nzuri saaaana.
God bless you all.
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
Mwenyekiti JK Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,endelea kuongozwa na Mafisadi mwisho utauona GE 2015Mnaacha kumlaumu mwenyekiti wenu kwa uongozi goigoi mnakwenda kumlaumu Lowassa; je mkijashindwa huko Segerea bado mtamlaumu huyo mmeru? Kuna haja ya ccm kufanya tathmini ya uongozi wa Kikwete na kuchukua hatua za kurestructure chama kwani hicho sio chama chake na amekikuta hawezi kukihodhi!! Kuna umuhimu wa kutenganisha urais wa nchi na uenyekiti wa ccm ili serikali na chama vipate watu fulltime wa kuviongoza badala ya sasa.Mkiambiwa ukweli kuwa chama kitamfia mikononi mnakimbilia kusema watu wachochezi; ukweli ndio huo kuwa mwenyekiti hana uwezo wa kukiongoza chama yuko kwenye kukusanya mali zaidi.
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
Hakuna cha siri yoyote wala cha Lowassa, CCM kwa ujumla wake haikubaliki. Hata wangemuweka mwingine yeyote wangemwaga tu. Mbona huko kwingine kwenye udiwani bado wamemiminwa???na huko kunamvutano wa makundi???Hebu tuangalie beyond the curtains jamani, tusijinarrow sana in our thinking.habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
Kushindwa kushindwa hakuna cha siri lazima tuwe wakweli Chadema wameshinda wanaitaji pongezi.
habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
Kwani CCM hawakupeleka TOT, Mwigulu, Mkapa na fedha huko Arumeru?habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
Wakishindwa hawakosi sababu kama kikwazo ilikuwa ni Lowassa basi sasa ndo wakati muafaka wa kumvua gamba kwani wameshaona kuwa inawezekana ingawa kwangu naona nguvu kubwa ya cdm ndo hasa imewashinda magamba na kwao Lowassa ni mtume hawawezi mtosahabari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015