Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

mnyamiwono

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
708
71
WANA JF.....................................

Imebainika kuwa ushindi wa CCM katika jimbo la kalenga ulikuwa rahisi kuliko tulivyodhani kutokana na chama kikubwa cha upinzani (CDM) kukosa mambo yafuatayo:

1. Kukosekana kwa zzk ndani ya CDM na mchakato huu kwa ujumla
2. Kukosekana kwa umoja ndani ya wanaCDM wenyewe
3. Kamanda mawazo na lema hawana hoja na umaarufu wa kushawishi wapiga kura
4. CDM kuendekeza siasa za mazoea na lawama katika chaguzi zote
5. CDM kushindwa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathimini (M&E) wa siasa unaotumika ktk ujezi wa vyama na chaguzi.

ARI YANGU kwa viongozi wa CDM............. wajenge chama kwanza ili wapate matokeo mazuri katika chaguzi.
 
2015 yaja,hakuna wa kumlaumu,kuna wakati ni lazima kujifunza kuwa chaguo la piga kura ni muhimu likaheshimika.Chalinze ndio itakatisha tamaa kabisa
 
WANA JF.....................................

Imebainika kuwa ushindi wa CCM katika jimbo la kalenga ulikuwa rahisi kuliko tulivyodhani kutokana na chama kikubwa cha upinzani (CDM) kukosa mambo yafuatayo:

1. Kukosekana kwa zzk ndani ya CDM na mchakato huu kwa ujumla
2. Kukosekana kwa umoja ndani ya wanaCDM wenyewe
3. Kamanda mawazo na lema hawana hoja na umaarufu wa kushawishi wapiga kura
4. CDM kuendekeza siasa za mazoea na lawama katika chaguzi zote
5. CDM kushindwa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathimini (M&E) wa siasa unaotumika ktk ujezi wa vyama na chaguzi.

ARI YANGU kwa viongozi wa CDM............. wajenge chama kwanza ili wapate matokeo mazuri katika chaguzi.
Leo wamekulipa buku saba cash nini?.
 
mawazo yako hayana tbs, si kweli ulichosema, kumbuka chadema wanachama wake wengi hawajaandikishwa kwenye daftari la wapiga kura,
 
Fred hivyo visingizio, watanzania na umasikini wawo lakini wapo macho wanajua kuchambua chuya na mchele, chadema si chama cha kuongoza Tanzania, kinamabo mengi ya kutugawa, udini, ukabila, ukanda, uroho wa madaraka na ufujaji wa pesa CDM ni hatari
 
CHADEMA jamani si kimekufa? Kwa nini mnahangaika na chama kilichokufa? Zito si kafukuzwa (na kwa mujibu wenu bila Zito hakuna CHADEMA, so mnataka arudi ili CHADEMA ifufuke)?
Ni mjinga tu ndie atakaeamini logic hii! Even a five year old will see how idiotic this reasoning is!
 
Back
Top Bottom