Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

Siri ya Kalenga CHADEMA yafichuka

We ndo hamnazo wamuombe msamaha kwa lipi nyie ndio mnaokamata ugoni kwa wake zenu kisha unaomba radhi kisa umemkamata badala ya mkeo kukuomba wewe radhi,skia chadema ni chama na si mali ya zito kwanini mnakua na upeo mdogo wa kufikiri nyie,tunaendeshwa na katiba ya chamq na c matakwa ya zito msaliti,na kama vp basi mchukueni wana ccm manake kawafanyia kazi lakini unapozungumzia non sense kama izo ni sawa na muhindi anakula pilipili na wala halalamiki ukali ila wewe ambae uko mbali unawashwa manake nini!tubadilike watanzania....peoplez power 4life
 
ha ha ha haaaaaaaa, siipendi ccm, ila naifaamu vizuri ccm siku ilivyosemaga "hatuwezi kuachia nchi kwa makaratasi" cuf ilikuwa vizuri sana ila mwisho wa siku zikapijwa salakasi za ajabu na hapo ndipo nilipoacha na biashara ya siasa za kibongo,
ni kazi ndogo sana lakini tunatakiwa wapinzani tujipange tuunde chama kimoja chakujitegemea chenye nguvu kama nchi za wenzetu zilizofanya hivyo...
 
CCM wakati watalii wanatembea Angani weed somamia serikali iwatendee haki watanzania kwenye Maendeleo kwa ukweli tumeujua
 
Naweza kukubaliana na wewe kwenye "2", 4 na 5!
Ile 1 na 3 zina hatihati labda ukijibu:

1. Wakati Zitto akishiriki (Busanda, Kiteto) CHADEMA ilishinda?
2. Kwa nini Lema na mawazo wanafanikisha ushindi maeneo mengine kama hawana ushawishi kwa wapiga kura?
 
Na nikija kufikiri zaidi. Siku Mawazo anapata udiwani kwa mara ya kwanza Sombetini, alipigiwa kampeni na Zitto.
 
Kufikiri kuwa kushindwa kwa CDM ktk hzo chaguzi ndogo KATU HAKUTOKANI NA HAKUTAKUJA TOKANA NA 7BU ATI ZZK KAFUKUZWA, huo ni uvivu wa kufkiri na kutumia hisia(intuition)!
Nafikiri watz wasilalamike lolote kuwa maisha magum, acha waendelee kuwaamini MANJANO + MAKIJANI, akili zikija kuwarudia watajua cha kufanya!
HATA CDM ikifa Leo au kesho HAITATENGUA UKWELI KUWA Tanzania imekuwa BRANCH YA JEHANAMU, NA WATAWALA WKE WAMELAANIWA MILELE!
 
Tunanukia ushindi chalinze! hama vp chadema tuko makini..people power!!! twende kaz
 
Pesa, nguvu na hamasa zinazotumika kwenye chaguzi zetu zingetumika kwa maendeleo TZ tungekua mbali sana,ila wanasiasa/viongozi wetu wanaangalia zaidi kubaki/kupata madaraka basi,na sisi kama mazuzu tunashabikia tu ulaji wao japo wapo wanaonufaika kwa ushabiki nakujifanya viziwi na vipofu kwa jinsi maisha yetu yalivyo kwa staili hii maendeleo ya nchi tusahau.
 
CDM IKIFA TANZANIA ITAKUWA BRANCH YA JEHENAM..kina mwigulu nawatoto wao watakuwa miungu watu.nahyo dalili imeshanzaaaa!
 
chadema wamuombe msamaha zito la sivyo saccos ya mtei itakufa

Saccos ni hii inayolazimisha watu na taasisi za umma kuchangia fedha. Hamna hoja nyie,mnachangia kitoto bila hata kufanya research katika mambo ya msingi na ndio maana michango yenu inapuuzwa.
ImageUploadedByJamiiForums1395125870.865481.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
ha ha ha haaaaaaaa, siipendi ccm, ila naifaamu vizuri ccm siku ilivyosemaga "hatuwezi kuachia nchi kwa makaratasi" cuf ilikuwa vizuri sana ila mwisho wa siku zikapijwa salakasi za ajabu na hapo ndipo nilipoacha na biashara ya siasa za kibongo,
ni kazi ndogo sana lakini tunatakiwa wapinzani tujipange tuunde chama kimoja chakujitegemea chenye nguvu kama nchi za wenzetu zilizofanya hivyo...
Khaa!! Wala siyo hivyo. CUF ilikuwa na malengo yake na CDM inayo yake. CDM si chama cha siasa bali mi taasisi ya mtu binafsi yenye malengo binafsi. Kwa sababu ya choyo ndiyo maana ina maadui wengi sana... CCM, CUF, ZZK, KTL, MWGB etc. Wako radhi wabaki watatu Mtei, Mbowe na Lema kuliko kujenga chama. RIP
 
Avatar yako na sura yako na roho yako vinafanana na mawazo yako
 
Back
Top Bottom