Pharm D
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,230
- 2,938
eti anamwaga ubuyu mwanzo mwisho" hujui unqchoongea askofu Gwajima anahubir mpka masaa manne mfululizo akishusha neno la ufufuo na uzima we kwa umbea wako unaskiliza kipande cha dk20 tu na ndio unajiaminisha ibada nzima amehubiri ubuyu tu...Huyo anayejiita mchungaji watu wanaigiza kumpenda (wana mpaka mafua kwa mgongo Wa chupa).
Ila kiukweli kwa mtu ambayo ana uhitaji Wa msaada Wa kiroho hawezi kumuweka kundini huyo bwana,.
Wewe mtu ana simama madhabahuni kumwaga ubuyu Wa shilawdu mwanao mwisho afu anajiita mchungani, siptai Picha na kina pengo ,malasusa, Shekh zubery wangekuwa wanafanya ka huyo mchungaji kanjanja hali ingekuwaje.
Fuatilia mahubiri yake in full kwny channel yake YouTube utaelewa anachomaanisha mleta waya