Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,191
- 9,811
Mbona Mbinu rahisi hawataki kuitumia? Wamwambie JK alihutubie taifa tu atangaze kwamba Nchi imemshinda/Imewashinda na wanawakabidhi watu wenye akili ili waiongoze ambao wanapatikana Chadema tu.
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari.
Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM. Katika nyakati tofauti, kada wa CCM alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha CCM kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA.
Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua CCM ni kwa ambavyo CHADEMA imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo CCM walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya CCM kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA lakini bado watu wanalaumu serikali ya CCM na polisi na si CHADEMA kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana.
Kwa sasa viongozi wa juu wa CCM wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama
Jibu hoja acha uvuvuzela kama bepari wako nepi.....kilaza at work.Umeona bwana Nyabhingi. Hivi uwezo wake wa kutunga uongo ndo umeishia hapo? teh teh teh. JF bwana usipowajua majuha kama haya unaweza kuumiza kichwa ile mbaya.
ni wazi kufikiria hiki ndicho walichopanga na kinachowaumiza kichwa ccm...habari kutoka ndani? i doubt..haya ni mawazo tu...
Hilo tusi ulilotumia mbona ni muafaka sana kwa magamba hasa wale wa juu kimadaraka?Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari.
Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM. Katika nyakati tofauti, kada wa CCM alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha CCM kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA.
Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua CCM ni kwa ambavyo CHADEMA imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo CCM walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya CCM kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA lakini bado watu wanalaumu serikali ya CCM na polisi na si CHADEMA kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana.
Kwa sasa viongozi wa juu wa CCM wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama
Lakini yote tisa hili la NGURI TUNDNU LISSU kudhalilisha tume ya waziri nchimbi, kumbe wizarani hakuna wanasheria wa kumshauri waziri au wapo ila ni vilaza????
Hii ngumu sana kutokea subiri tu muda wake uishe.Mbona Mbinu rahisi hawataki kuitumia? Wamwambie JK alihutubie taifa tu atangaze kwamba Nchi imemshinda/Imewashinda na wanawakabidhi watu wenye akili ili waiongoze ambao wanapatikana Chadema tu.
Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.
katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha chadema sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari.
Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litajwe, anaelezea kuwa chadema na mpasuko ndani ya ccm ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa ccm. Katika nyakati tofauti, kada wa ccm alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha ccm kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa chadema.
Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua ccm ni kwa ambavyo chadema imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo ccm walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya ccm kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa chadema lakini bado watu wanalaumu serikali ya ccm na polisi na si chadema kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana.
Kwa sasa viongozi wa juu wa ccm wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama
Tulia wewe ndio mnavuliwa nguo hvyo ngoja tuone yaliyobakiaNani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
kwa hiyo nani si mzinzi? JK? ukijibu maswali haya hutarudi na hoja ya ki "K" kama hii
J.k anawake wangapi?
vimada je?
juzijuzi yule dereva wa ikulu alipo fariki kwenye msafara wa mama salma walikuwa wanakwenda wapi? na likuwa anatoka wapi? (confidential hiyo).
na kwanini wakosane na mmewe airport on the way to arusha akarudia airport, kisha yakafuata niliyoandika hapo juu?
Sasa kama huwezi jibu hata moja hapo usije siku nyingine na hoja finyu kiasi hiki, hujui mambo ya nchi hii weye