Siri nzito ndani ya CCM

Siri nzito ndani ya CCM

Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi

Sasa wewe nawe acha kutukana wakuu wetu maana wanaokwenda Casino na Ohio mbona ndo unataka wakazane kukamata uzi? Mi nampenda ... pamoja na kupenda kwake muziki na kuwa na akina kadogoo wengi
 
Mimi nawashauri CCM waache wizi angalau kwa kipindi hiki kifupi, yaani wafanye kama mfungo Ramadhani vile, waboreshe mazingira, fedha zilizofichwa nje zirudi, wapunguze waiba kuku jela ipatikane nafasi ya kuwajaza mafisadi ila hili ni gumu sababu hakuna asiye fisadi CCM sasa bora tu watoke ili wapate Usingizi
 
Mbinu mpya ni KUTANGAZA HALI YA HATARI KWA NCHI NZIMA.AMIRI JESHI ASEME NCHI HAIKO SALAMA.MCHEZO ATAMALIZA MAPEMA.iLA KUNA CHANGAMOTO KWA HILO KWANI iTABIDI to justify so that the world at large could understand the cause of state of emergency, vingine wataonekana matapeli wa kidunia.welcome to the show

Mbinu salama ni kwa wenye matumaini na chama chao kuondoka mapema kama wanapenda ideology yao basi waondoke nayo kwenda kujenga chama kingine na wale wenye stake kulazimisha dola kufuata demokrasia hapo hii CCM iliyo geuka enemy of the state itakufa natural death na tutaingia kwenye mwanzo mpya bila matatizo...

Mafisadi ni wachache sana kuliko wazalendo wengi so its very easy kuwa out smart kwani wana hela lakini hawana brain ya kutosha ila wengi wamekubali kutumiwa kuendeleza evil for their own state destruction..TZ ni hii hii moja na uzuri hao mafisadi wakiona moto umekuwa mkali hao wana fly nakutuacha tukichapana makonde why let them make us fight? tuwageuke wao ili turudi kwenye drawing board kuchora upya vision na mission ya nchi yetu.
 
CCM watakimbiana na mwisho watauana hadharani, i swear.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
mimi ni binadamu, alafu hivi pia tunavyotumia ni vifaa vya kutengenezwa na watu, so kukosea matumizi yake ni swala la kawaida! Washangae hao walio jf na kuleta uzi ambao hauna kichwa wala miguu, ambao hauna mashiko.

lugha si tatizo bali ujumbe ingawaje wakati mwingine waweza kuwafanya watu wasielewe ulichokusudia jamii wajue.ila ki ufupi huu ni upepo ambao hauwezi kuzuiliwa na kiganja.
Mi napita tu
 
mimi ni binadamu, alafu hivi pia tunavyotumia ni vifaa vya kutengenezwa na watu, so kukosea matumizi yake ni swala la kawaida! Washangae hao walio jf na kuleta uzi ambao hauna kichwa wala miguu, ambao hauna mashiko.

mabo hayo
 
Mbinu zinazotumiwa na WANA NYINYIEM ndo hizo hizo zinazowaumbua kila kukicha na kuwasha moto wa hasira kwa wananchi dhidi ya NYINYIEMU
 
Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinzi
Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe. hapo kwenye red pamenitisha sana, kuhusu ulevi tumuulize naibu spika, anawafahamu walevi, kuhusu usinzi hebu turejee mambo ya singida na Igunga, nadhani mnayakumbuka vizuri.
 
Na hii ndiyo inayosababisha Tanzania hatuendelei(na kibaya zaidi ni pale Bungen na katika majukwaa tunaposimama na kusema ,"Serikali ya CCM imefanya hili, Serikali ya CCM imefanya lile..badala ya Serikali ya Tanzania"
Viongozi(Nchi na si wa Chama) wako madarakani tayari lakini bado wana-struggle kwa ajili ya awamu(kwa njia za ajabu ajabu)..kama wakatimiza wajibu, na ahadi walizotoa kwa wananchi hiyo ni salama yao, lakini wajue;

-Muda wanaopoteza
-Gharama ya pesa na mali

vinavyotumika kujihakikishia ushindi ndivyo hivyo hivyo vitakavyo wabana watakapokuja kuomba kura( 2015), jambo wasililolijua ni hili Wananchi wengi hawako huko CHADEMA kwa sababu wanaipenda sana, ila kwa sababu wanaichukia CCM kutokana na mambo ya ajabu yanayotokea na kupuuzwa...
Nakubalina na wewe mkuu, unamlipa mfanyakazi Sh 170,000/= kwa mwezi, sawa na sh 5,600/=kwa siku hizi zitatosha nini kwa mtu mwenye familia ya watoto wawili? wakati mnasema 200,000/= ndio posho inayotosha mtu mmoja kwa siku, licha ya mshahara na marupurupu mengine yanayofikia 12,000,000/= itafikia wakati watu wengi sana watakata tamaa, halafu polisi wakiua mmoja waliobaki kila mmoja ataomba naye auawe, hapo polisi itabidi wakimbie waache maiti uwanjani, ni hatati sana. serikali makini inasoma alama za nyakati, hata wakoloni hawakuwatesa wanyonge kiasi hiki.
 
Kaka unaakili sana na umeonyesha upeo mkubwa katika kuchanganua mambo, huyo anaesema watu wenye akili wanapatikana CHADEMA tu anawasibitishia hata wale ambao sio wanachama wa chama chochote cha siasa, kuwa na hofu ya kukiunga mkono CHADEMA kwa hoja yake ya KIPUMBAVU kabisa isiyokuwa na MASHIKO hata kidogo. Huwezi mtu mwenye akili timamu ukatoa mchango mwepesi kama huo ndani ya JUKWAA la ma-GREAT THINKERS halafu utuaminishe kuwa CHADEMA ina watu wenye akili, SAMPLE yenyewe ndio kama wewe??? Acha CCM itawale na ijenge nchi hata kwa mwendo wa kobe lakini tufike tunapo kusudia na kufanikisha matarajio ya watanzania na kama vyama pinzania mmechemka katika uchaguzi msimtafute mchawi nani, la msingi jiulizeni kwa nini WANANCHI WAMEWAKATAA.
 
Sumu haijaribiwi kwa kuionja,pipa halijazwi kwa kisoda,na dawa ya homa ni sindano japo inauma.peopless...............power...............
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom