Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,189
- 9,807
Mbona Mbinu rahisi hawataki kuitumia? Wamwambie JK alihutubie taifa tu atangaze kwamba Nchi imemshinda/Imewashinda na wanawakabidhi watu wenye akili ili waiongoze ambao wanapatikana Chadema tu.
Nakumbuka hotuba ya Mhe.Msigwa aliyotoa Bungeni wakati wa kuchangia hotuba ya Bajeti. Alisema kwamba tatizo tulilonalo Tanzania kwa sasa ni KURUHUSU AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA,which is very true. CCM kumejaa magalasha kama ya karata,mijitu ambayo inafikiri au inadhani kuwa ina akili kichwani kumbe kumejaza makamasi! Shame on you CCM guys!!!
Mtu yeyote anajua kabisa kunapotokea issue to be discussed sikiliza kwa makini hoja za kutoka hizi pande 2 kati ya CCM na CHADEMA,hoja ya CDM zinaonekana dhahiri kuwa na mashiko hata kwa mtu ambaye hajaenda shule. Lakini ukija kwa hawa jamaa zetu wa CCM hoja zao zimejaa ufisadi,unafiki,uongo,ushabiki,ukereketwa,ufurukutwa,sijui mikukuta,mikurabita na ujinga mwingine wowote unaoufahamu!
CCM at this material time of M4C,they have nothing to do . Lazima wakubaliane na hali halisi. Watanzania wa sasa wameshaamua kwamba enough is enough lazima waone uongozi mwingine ukikaa pale juu ili kuleta mabadiliko. Hii ndiyo maana ya Demokrasia ya Vyama vingi.
Nenda kule USA kwa Barack Obama, the most super power and economicaly stable, it's either Democratic Party this term or Republican Party next term,No fighting,No bullets and No nothing! Ni swala la kubadilishana sera tu na kuona ni nani ana sera mbadala ya kusukuma maendeleo ya Taifa na Watu wake kusonga mbele bila ya kuangalia itikadi za udini,ukabila,uanachama au ukoo! Tunataka sera mbadala. Sera za CCM tumeshaziona for all these 50+ years. Wameweza walichoweza kufanya. Tunataka sasa na wengine nao wajaribu for some time. Wakishindwa tutawatoa tu si kwa mabavu,mabunduki,mabomu wala sumu!
Sanduku la KURA ndiyo mwamuzi! We gonna use a BALLOT BOX not a LIVE BULLET. Kwa CCM kuendelea kung'ang'ania kukalia The highest office in this country ilhali mambo yamewashinda ni kutafuta balaa na majanga ambayo matokeo yake ni Mungu tu anayejua!!!