Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari. Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litejwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM. Katika nyakati tofauti, kada wa CCM alisema, ndugu yangu ndani ya chama changu cha CCM kuna watu wana roho ngumu, baada ya kutumia mbinu ya ukanda na udini kushindwa wakahamua kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA. Kada huyo aliendelea kusema, jambo ambalo limeshitua CCM ni kwa ambavyo CHADEMA imekuwa ikikubalika hadi maeneo ambayo CCM walidhania propaganda ya udini imeingia. Kibaya zaidi, baada ya CCM kutekeleza amri ya kuua angalau mtu mmoja katika kila mkutano wa CHADEMA lakini bado watu wanalaumu serikali ya CCM na polisi na si CHADEMA kama ambavyo walitarajia, kuonesha kuwa mbinu hiyo imeshindikana. Kwa sasa viongozi wa juu wa CCM wanajadiriana kuhusu mbinu mpya au waendelee na mauaji, hali si shwari ndani ya chama
Umeona bwana Nyabhingi. Hivi uwezo wake wa kutunga uongo ndo umeishia hapo? teh teh teh. JF bwana usipowajua majuha kama haya unaweza kuumiza kichwa ile mbaya.ni wazi kufikiria hiki ndicho walichopanga na kinachowaumiza kichwa ccm...habari kutoka ndani? i doubt..haya ni mawazo tu...
We mwenye upeo mkubwa wa kufikiri na kutafakari pinga kilichoandikwa kwa hoja kama ni uongo.Haya lile kundi lenye upeo mdogo wa kufikiri na kutafakari mmeshatupiwa uongo. jadilini.
Nani atatungoza sasa? manake wote waliobaki mara utasikia wanamiliki makasino, mara utasikia wameasi kanisa na kukaa na vimada. JK kaza mwendo achana na hawa walevi na wazinziMbona Mbinu rahisi hawataki kuitumia? Wamwambie JK alihutubie taifa tu atangaze kwamba Nchi imemshinda/Imewashinda na wanawakabidhi watu wenye akili ili waiongoze ambao wanapatikana Chadema tu.
Katika kile kinachoelezwa kushindwa kwa mbinu za kuidhoofisha CHADEMA sasa viongozi wa juu wa chama wanahaha kuangalia mbinu ipi itumike baada ya kuumbuka kwa kifo cha mwandishi wa habari. Mwanachama mmoja ambaye hakutaka jina lake litejwe, anaelezea kuwa CHADEMA na mpasuko ndani ya CCM ni moja ya mambo ambayo yanawanyima usingizi viongozi wa juu wa CCM....
endelea mimi nitakuwa nakupa nguvu ili uendelee kutema pumba nilishalijua mapema ndiyo maana niliandika, niijua wewe utakuwa wa kwanza kufyatuka. Siwezi kuchangia mada ambayo imeletwa na wacheza taarabu, hayo huwa wanyaongea wanawake wanapokuwa saloon, kama wewe mmojawao endelea, tena leo weekend waweza kuwafuata huko huko mnyoshe vidole vizuri.We mwenye upeo mkubwa wa kufikiri na kutafakari pinga kilichoandikwa kwa hoja kama ni uongo.
Nakubaliana na wewe ila safari nyingine kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Ni aibu kuwa JF halafu unaandika maneno kama haya ambayo kimsingi hayako katika lugha yetu ya Kiswahili!sema unatuwakilishia mawazo yako, na sio siri nzito! sasa wewe mwenyewe ulieleta huu uzi kweli we unaona hii ni siri? kuna siri gani sasa hapa, ivi unajua maana ya siri nziti wewe? hichi ni kitu ambacho mtanzania yoyote kwa sasa anaweza kukifikiria tu hata mtoto wa darasa la saba anaweza fikiria hili.
Nakubaliana na wewe ila safari nyingine kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Ni aibu kuwa JF halafu unaandika maneno kama haya ambayo kimsingi hayako katika lugha yetu ya Kiswahili!
Mhhhhhh!!!!!!!!!!! njia ni Rahisi .Amwambie JK atimize ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania ikiwemo meli mbadala ya MV BUKOBA maana hata MV Victoria imepaki.