Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

Siri kuu kuhusu Escrow zafichuka

Huyu alikula hela ya SANDA tu...... tunataka wale waliokimbia na COFFIN ikiwa na maiti yake!

2_831_26243_421_238.jpg
Huyu alikula hela ya SANDA tu...... tunataka wale waliokimbia na COFFIN ikiwa na maiti yake!

2_831_26243_421_238.jpg

Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?

Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
 
Sheria zetu zina mapungufu mkubwa sana, mkikurupuka na kupeleka watu mahakamani tutaishia kushindwa.
Magufuli hawezi ingia kwenye mitego hiyo.
Lakini tujifunze kuthamini kazi za wenzetu, Escrow ni Billion 350, then unasema JPM ana deal na vidagaa.
Kweli TCRA over 600 Billion
TRA zaidi ya Trillio 3
MSD over Bill 100
Taratibu tutafika tunapotaka kufika
 
Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?Hii sentensi si kweli:"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.

Madhehebu mengine hasa la kwako walipata zile za kwenye sandarusi ambazo ni nyingi kuliko hizo za Wakatoliki.....BTW hata Lugumi kapeleka watu Khijja na zile zingine? Vipi wewe hukupata?
 
Umeusemea moyo wangu mkuu. Nimeshasema repeatedly kuwa JPJM ana sifa za watu waoga na wenye kutafuta kupendwa kwa nguvu kama vile anajaribu kuthibitisha kuwa hata kama hakujiandaa kuwa raisi lakini anaiweza kazi. Matokeo yake lazima aonekane kuwa anaweza na atafanya hivyo kwa kufanya mambo madogo (kukuna vipelee na kutumbua vijipu vidogo vidogo; tena hadharani) ili aonekane kuwa anafikia matarajio ya wengi ambao hawakumpigia kura huku akizuia mijadala bungeni isionekane kwa wananchi.

Mtu mwoga hawezi kuigusa skendo ya escrow na nyingine kama hizo. JPJM hataigusa skendo ya escrow isipokuwa kama atapata presha toka kwa wawakilishi wa wananchi walioko bungeni.

Kumbuka kuwa mara nyingi mtu mwoga ndiye ambaye huwa anakazana kuonekana jasiri.

Nimependa comment yako anajuta kuukwaa uraisi kumbe anatupima imani.
Haya majipu mengine yameota kwenye mfumo kutumbuliwa kwake ni kutumbua mfumo mzima nikitu kigumu sana.
 
Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!

Usisahau na baadhi ya waumini wao waliohusika mpaka wakasahau kwa kuna mungu na wakakejeli jasho la wananchi na kuliita pesa za mboga.
Hakika hukumu itakuwa juu yao wasipo tubu.
 
Kupambana na mafisadi ni lazima uwashinde mbwa wao. Bahati mbaya mbwa hao ni wengi sana, kuanzia wa kujitolea tu kwa upumbavu wao hadi wale wanaoambulia makombo. Utawafahamu wanapojadili hoja kama hii.
 
Aidha, kupatikana kwa taarifa kuwa Rugemalira alikuwa na mawasiliano ya karibu na “kindungu” na mkuu wa TAKUKURU, kumekuja wakati ambapo taasisi hiyo imeshindwa kuanika orodha ya watu walionufaika na mgawo wa fedha hizo kutoka benki ya Stanbic.

Je huu mfupa JP atauweza?
Kama yuko Serious hiyo list ya waliondoka na Pesa kwenye viroba/lumbesa sijui ndiyo aiweke hadharani na kuwashughulikia !
 
Hili bandiko utaona wazi kuwa ni pumba, pale anapomtaja Kikwete hamnukuu kabisa bali aliyeandika anaweka maneno yake mwenyewe.

Hahahaha. Upuuzi mtupu.
 
Je huu mfupa JP atauweza?
Kama yuko Serious hiyo list ya waliondoka na Pesa kwenye viroba/lumbesa sijui ndiyo aiweke hadharani na kuwashughulikia !

Kuna "mfupa" upi hapo uliouona? Nimepitia bandiko lote sijaona cha maana hata kimoja. Nnaona majungu yasiyo na kichwa wala miguu.

Yanarudiwa yale yale yaliyopotoshwa na yameongezewa chumvi nyingi. Sijakiona cha maana.

Hebu nionesheni kipya na chenye maana ni kipi?
 
ANAKAMUA NYAMA NA SI "MAJIPU" Tibaijuka!/
I will truly trust this man if he would touch ESCROW,LUGUMI.
TUSIWAFUNGE BALI WARUDISHE HIZO FEDHA.
kuzirudisha ni adhabu kubwa kuliko kifungo.
Kifungo na kurudisha NDIO ADHABU KUBWA
 
Madhehebu mengine hasa la kwako walipata zile za kwenye sandarusi ambazo ni nyingi kuliko hizo za Wakatoliki.....BTW hata Lugumi kapeleka watu Khijja na zile zingine? Vipi wewe hukupata?

Usione haya.

Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?Hii sentensi si kweli:"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.
 
Hii sentensi si kweli:
"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.

Kwanini mpotoshe na kusema "madhehebu"?

Cc BAK
336_ruge.JPG
weevipi katika kiswahili hamna kitu DHEHEBU kuna MADHEHEBU hata kama ni moja. Uwez ukasema dhehebu la kikatoliki ama dhehebu la shia iyo hamna kwenye kiswahili. Kiswahili swafi ni madhehebu ya kikatoliki madhehebu ya shia madhehebu ya kilokole madhehebu ya sunni n.k lakini siyo DHEHEBU hamna kitu kama hicho kwenye kiswahili.

Cheseya mbeba boksi wewee kwenye kiswahili. Unepatikana Leo ajuza. Salam zangu kwa kitukuu chako cha mwisho 47years😛😛😛😛
 
Maji ya shingo mapema hivi ? Zile haki ya Mungu Nitafanya hivi mniombee zimeishia wapi

Wenye busara zao walishasema Ikulu sio mahali pa kukimbilia ,
Ushatupiwa zigo komaa nalo hakuna namna tena
 
Usione haya.

Nisome tena, inakuwa ngumu kumeza?Hii sentensi si kweli:"madhehebu ya kidini", ukweli ni dhehebu moja tu tena ni la kanisa katoliki ndilo lililotumika.

Nijibu na miye basi wale waliobeba zile za kwenye sandarusi walikuwa dhehebu gani?

1.jpg
 
weevipi katika kiswahili hamna kitu DHEHEBU kuna MADHEHEBU hata kama ni moja. Uwez ukasema dhehebu la kikatoliki ama dhehebu la shia iyo hamna kwenye kiswahili. Kiswahili swafi ni madhehebu ya kikatoliki madhehebu ya shia madhehebu ya kilokole madhehebu ya sunni n.k lakini siyo DHEHEBU hamna kitu kama hicho kwenye kiswahili.

Cheseya mbeba boksi wewee kwenye kiswahili. Unepatikana Leo ajuza. Salam zangu kwa kitukuu chako cha mwisho 47years😛😛😛😛

Kwenda wewe. Hata hicho unachokitetea mbona hakikuandikwa? Kasome tena kimeandikwa nini.

Unatetea uozo?
 
mkwere sijui alikuwa anatupeleka wapi khaaaaa?
 
Nafikiri sio dhehebu au kanisani katoliki bali viongozi wa kidini wawili kutoka kanisa katoliki ndio waliotajwa kwa majina!!!
Ni viongozi 2 wa kidini kutoka kanisa katoliki ambao ni kabila 1 na ruge.
 
Walifika wapi na ile kamati yao ya uchunguzi?

Mwenye no ya Rugemalila afanye kunipa
 
Back
Top Bottom