domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,588
- 1,758
Rugemalira alishiriki ktk pesa hizo kwa kupewa mgawo wa hisa zake hakuiba hizo pesa. Walio iba ni watu wa serikali na yule mhindi.
Kweli Jf imeingiliwa, huyu nae? nakumbuka kuna tangazo moja la tv kuhusu condoms kipindi cha nyuma, mtu amejikinga bonge la mvua na magazeti, jamaa akapita ana mwavuli akasema, 'Huyu? huyu hata usimuulize huyu, hata habari hana!' Sasa huyomtu ndio sawa na huyu ndugu yetu 'timbilimu', hajui hata yeye mwenyewe nini analolizungumza, kama mnabisha mtaona.