Siri iliyojificha nyuma ya logo ya "kappa"

Miguel255

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
35
Reaction score
111
kappa-logo-png_seeklogo-77230.png

Tazama kwa umakini hio picha hapo juu

Bila shaka umewahi kukutana na logo hii kwenye nguo, kofia na hata mabegi. Hii kampuni inaitwa "Kappa", ni kampuni ya mavazi iliyoanzishwa 1967 huko nchini Italia.

Kama nilivyosema hapo juu, kampuni hii inajihusisha na swala zima la mavazi; kuanzia track suits, jezi za mpira na mavazi mengine kadha wa kadha.

Watu hudhani logo ya kampuni ya "Kappa" huwakilisha usawa na ushirikiano kati ya mwanaume na mwanamke. Ila si kweli, leo ngoja nikufunulie ukweli.

Mnamo mwaka 1966 mtoto wa mmiliki na founder wa kampuni ya Kappa, bwana Abramo Vitale aliingia penzini na binti mrembo sana wa huko huko Italia. Sasa siku moja alimtoa dinner mlimbwende wake na baada ya chakula hicho cha jioni Mr Abramo alichukua chumba kwenye moja kati ya hoteli ya kifahari nchini Italia.

Yeye aliamini hakuna mwanamke anayeweza kumkataa kwani tayari alishakuwa tajiri baada ya kusimamia kampuni ya baba yake iliyoitwa MCT miaka mingi nyuma. MCT ni kampumi mama ya KAPPA.

Asichokitarajia ni kwamba bibie Violet hakuwa miongoni mwa wasichana waliobabaishwa na mali za tajiri huyo.... hivyo Mr Abramo alikaziwa usiku kucha bila kupewa nyuchi.

Yaani walishinda wamegeuziana mgongo, kuanzia walipoingia mpaka wakatoka bibie hakuruhusu Mr Abramo kuigusa achilia mbali hata kuiona mali yake. Na hapo ndipo idea au wazo la kampuni ya Kappa likapatikana.

Ukiangalia vizuri hio logo utagundua mwanamme na mwanamke wamegeuziana mgongo na wote wako uchi. Sasa ile kunyimwa usiku mzima ndo inaitwa Kappa....yaani jamaa hakuambulia kitu, alitoka kappa.

images.png

Kwahiyo ukisikia mtu anasema "Mshikaji kaingia na dem geto na ametoka kapa" ujue hilo neno lilianzia kwa bwana mdogo Abramo Vitale miaka ya 60 huko.

Neno hilo linatumika hadi leo na si kwenye tendo la ndoa tu bali sehemu mbali utasikia watu wakilitumia kumaanisha hawakuambulia kitu.

Mfano:- nimesoma sana ila nimeambulia kapa

Hadi wakati mwengine mimi Miguel255 niwatakie siku njema
 
View attachment 3522409

View attachment 3522410

AI
The Kappa logo, known as the "Omini," is one of the most recognizable symbols in sportswear. Unlike many logos that are the result of months of corporate branding research, the Omini logo was created by complete accident.

Here is the story of its origin:

### 1. The Accidental Photo Shoot (1969)
In 1969, a photography session was being held for a catalog for Beatrix, a sub-brand of the parent company Maglificio Calzificio Torinese (MCT), which specialized in swimwear and underwear.

During a break in the shoot, two models—a man and a woman—were sitting on the floor, back-to-back, resting. They were both naked, but the lighting in the studio created a stark silhouette against the backdrop.

The photographer captured the moment spontaneously. When the film was developed, the executives at MCT realized that the image of the two silhouettes leaning against each other perfectly captured the essence of what they wanted their brand to represent.

### 2. Symbolism: Equality and Support
The logo was officially adopted and named the Omini (meaning "little humans" in Italian). It was designed to represent:
  • Equality: The man and the woman are of equal size and stature.
  • Mutual Support: They are leaning on one another, symbolizing cooperation and reliability.

At the time, using a logo that featured both a man and a woman was a progressive move, signaling that the brand was intended for both sexes (unisex).

### 3. Transition to Sportswear
While the logo was created in 1969, Kappa didn’t become a "sports" brand immediately. It wasn't until 1978 that Marco Boglione (a young manager at the time) convinced the company to move into sportswear.

The Omini logo was placed on the tracksuits and jerseys of major teams, most notably Juventus in the late 70s and the U.S. Track and Field team during the 1984 Los Angeles Olympics. This cemented the logo's status as a global icon of "cool" athletic wear.

### 4. Evolution of the Brand Name
The name "Kappa" actually predates the logo. Originally, the company was a sock and underwear manufacturer called MCT. In the 1950s, a manufacturing error led to a batch of socks being faulty. To reassure customers that the new batches were perfect, they marked the new packaging with a "K" for "K-Kouture" (using the German spelling for "Klass").

The "K" (pronounced "Kappa" in Italian) became so popular with customers that they began asking for "the Kappa socks," and eventually, the company officially changed its name.

### Summary
The Kappa logo is a rare example of a candid silhouette becoming a corporate trademark. It remains unchanged today, still representing the same 1960s ideals of human connection and gender equality.
 
Translation

Logo ya Kappa, inayojulikana kama "Omini," ni moja ya alama zinazotambulika zaidi katika ulimwengu wa mavazi ya michezo. Tofauti na nembo nyingine ambazo hutengenezwa baada ya utafiti mwingi wa kimasoko, nembo ya Kappa ilizaliwa kwa bahati mbaya kabisa.

Hii hapa ndiyo historia ya asili yake:

### 1. Upigaji Picha wa Bahati Mbaya (1969)
Mnamo mwaka 1969, kulikuwa na zoezi la upigaji picha kwa ajili ya katalogi ya Beatrix, ambayo ilikuwa chapa ya kampuni ya Maglificio Calzificio Torinese (MCT). Kampuni hiyo ilikuwa ikijihusisha na mavazi ya kuogelea na nguo za ndani.

Wakati wa mapumziko katika upigaji picha huo, wanamitindo wawili—mwanamume na mwanamke—walikuwa wamekaa sakafuni, wamegeuziana migongo huku wameegemeana wakipumzika. Mwanga uliokuwa studio ulitengeneza kivuli chao (silhouette) dhidi ya mandhari ya nyuma.

Mpiga picha alipiga picha hiyo bila kupanga. Wakati picha zilipotolewa, viongozi wa kampuni waligundua kuwa picha hiyo ya wanamitindo wawili walioegemeana iliwakilisha kikamilifu kile ambacho chapa yao ilitaka kuonyesha.

### 2. Maana ya Nembo hiyo: Usawa na Kusaidiana
Nembo hiyo ilianza kutumika rasmi na kupewa jina la Omini (neno la Kiitaliano linalomaanisha "watu wadogo"). Iliundwa kuwakilisha:
  • Usawa: Mwanamume na mwanamke wana ukubwa sawa na kimo sawa.
  • Kusaidiana: Wameegemeana, kuonyesha ushirikiano na kutegemana.

Wakati huo, kutumia nembo iliyoonyesha mwanamume na mwanamke ilikuwa hatua ya kimaendeleo sana, ikionyesha kuwa bidhaa hizo zilikuwa za jinsia zote (unisex).

### 3. Kuingia Kwenye Mavazi ya Michezo
Ingawa nembo hiyo iliundwa mwaka 1969, Kappa haikuwa chapa ya "michezo" mara moja. Haikuwa hadi mwaka 1978 ambapo meneja mmoja kijana, Marco Boglione, aliishawishi kampuni hiyo kuingia kwenye mavazi ya michezo.

Nembo ya Omini iliwekwa kwenye jezi za timu kubwa, maarufu zaidi ikiwa ni klabu ya Juventus mwishoni mwa miaka ya 70 na timu ya taifa ya riadha ya Marekani wakati wa Olimpiki ya Los Angeles mwaka 1984. Hii ilifanya nembo hiyo kuwa ishara ya kimataifa ya mavazi ya michezo ya kisasa.

### 4. Asili ya Jina "Kappa"
Jina "Kappa" lilianza kabla hata ya nembo hiyo. Hapo awali, kampuni hiyo ilikuwa ikitengeneza soksi na nguo za ndani ikiitwa MCT. Katika miaka ya 1950, kosa la kiufundi lilisababisha kundi moja la soksi kuwa na kasoro. Ili kuwahakikishia wateja kuwa kundi jipya la soksi lilikuwa bora kabisa, waliweka alama ya "K" kwenye vifungashio, ikimaanisha "K-Kouture" (wakitumia tahajia ya Kijerumani ya neno "Klass").

Herufi hiyo "K" (ambayo inatamkwa kama "Kappa" kwa Kiitaliano) ilipata umaarufu sana kwa wateja kiasi kwamba walianza kuomba "soksi za Kappa," na hatimaye kampuni ilibadilisha jina lake rasmi kuwa Kappa.

### Muhtasari
Nembo ya Kappa ni mfano adimu wa jinsi picha ya kawaida ya kivuli cha binadamu ilivyoweza kuwa alama maarufu ya biashara duniani. Hadi leo, inaendelea kuwakilisha maadili ya miaka ya 1960 ya uhusiano wa kibinadamu na usawa kati ya mwanamume na mwanamke.
 
View attachment 3522409
Tazama kwa umakini hio picha hapo juu

Bila shaka umewahi kukutana na logo hii kwenye nguo, kofia na hata mabegi. Hii kampuni inaitwa "Kappa", ni kampuni ya mavazi iliyoanzishwa 1967 huko nchini Italia.

Kama nilivyosema hapo juu, kampuni hii inajihusisha na swala zima la mavazi; kuanzia track suits, jezi za mpira na mavazi mengine kadha wa kadha.

Watu hudhani logo ya kampuni ya "Kappa" huwakilisha usawa na ushirikiano kati ya mwanaume na mwanamke. Ila si kweli, leo ngoja nikufunulie ukweli.

Mnamo mwaka 1966 mtoto wa mmiliki na founder wa kampuni ya Kappa, bwana Abramo Vitale aliingia penzini na binti mrembo sana wa huko huko Italia. Sasa siku moja alimtoa dinner mlimbwende wake na baada ya chakula hicho cha jioni Mr Abramo alichukua chumba kwenye moja kati ya hoteli ya kifahari nchini Italia.

Yeye aliamini hakuna mwanamke anayeweza kumkataa kwani tayari alishakuwa tajiri baada ya kusimamia kampuni ya baba yake iliyoitwa MCT miaka mingi nyuma. MCT ni kampumi mama ya KAPPA.

Asichokitarajia ni kwamba bibie Violet hakuwa miongoni mwa wasichana waliobabaishwa na mali za tajiri huyo.... hivyo Mr Abramo alikaziwa usiku kucha bila kupewa nyuchi.

Yaani walishinda wamegeuziana mgongo, kuanzia walipoingia mpaka wakatoka bibie hakuruhusu Mr Abramo kuigusa achilia mbali hata kuiona mali yake. Na hapo ndipo idea au wazo la kampuni ya Kappa likapatikana.

Ukiangalia vizuri hio logo utagundua mwanamme na mwanamke wamegeuziana mgongo na wote wako uchi. Sasa ile kunyimwa usiku mzima ndo inaitwa Kappa....yaani jamaa hakuambulia kitu, alitoka kappa.

View attachment 3522410

Kwahiyo ukisikia mtu anasema "Mshikaji kaingia na dem geto na ametoka kapa" ujue hilo neno lilianzia kwa bwana mdogo Abramo Vitale miaka ya 60 huko.

Neno hilo linatumika hadi leo na si kwenye tendo la ndoa tu bali sehemu mbali utasikia watu wakilitumia kumaanisha hawakuambulia kitu.

Mfano:- nimesoma sana ila nimeambulia kapa

Hadi wakati mwengine mimi Miguel255 niwatakie siku njema
Duuh kumbe ndiyo maana yake ya "kutoka kapa"? hahaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom