S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,696 Reaction score 65,332 Dec 30, 2025 #21 Wote wote mnaompinga mleta mada hoja zenu zimekosa mashiko na mantiki. Katika kumpinga kwenu hakuna hata mmoja ameeleza kinagaubaga:- Kwanini neno KAPPA likahusishwa na kukosa kitu?
Wote wote mnaompinga mleta mada hoja zenu zimekosa mashiko na mantiki. Katika kumpinga kwenu hakuna hata mmoja ameeleza kinagaubaga:- Kwanini neno KAPPA likahusishwa na kukosa kitu?
adriz de mbusii JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 16,786 Reaction score 37,826 Dec 30, 2025 #22 Hii ndio chai Bora hapa Jf 2025