Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,266
- 2,449
Nimeteseka sana na maumivu ya jino aiseee nimetumia dawa za hospital na kienyeji siku mbili tatu maumivu yanarudi
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino
Siku moja niliabiwa nunua SABUNI YA B29 uwe unaswakia acha kutumia dawa ya meno tumia sabuni.
Ni mwaka na nusu sijuwi maumivu ya jino