Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Mwanamke anajua kutunza siri mnoo.... Hicho ni kipaji walichonacho
*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*

1. *SIMU*
2. *REDIO*
3. *TV*
4. *MWANAMKE*

- *Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mwanaume anaweza kustirika na kibamia chake kwenye ndoa mpaka anapopata mchepuko ndiyo walimwengu kuyajua
*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*

1. *SIMU*
2. *REDIO*
3. *TV*
4. *MWANAMKE*

- *Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*NJIA 4 ZA KUFIKISHA HABARI HARAKA*

1. *SIMU*
2. *REDIO*
3. *TV*
4. *MWANAMKE*

- *Hiyo namba 4 ukitaka ifike haraka zaidi mwambie nimekwambia wewe usimwambie mtu mwingine*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hatutangazi vibamia vyeti?
 
Chukua soda au bia kama watumia nitalipia mkuu.
Nyongeza wapo wanawake wakiamua kujitoa kwa mwanaume wanajitoa kweli kweli maisha yao yote ila ni wachache sana.
 
Kwa zamani ilikuwa rahisi kwao kuchezea wanaume wasiojitambua kwa kuwazalia watoto si wao. Mimi wanangu wote walishalamba DNA kisiri siri na nilikuwa tayari kumtema mke wangu kama ningekuta mmoja kati ya wanangu ni mtoto wa jirani.
na vipi kama umedanganywa kuhusu majibu ya DNA?? ..Japo sikymbei iwe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua soda au bia kama watumia nitalipia mkuu.
Nyongeza wapo wanawake wakiamua kujitoa kwa mwanaume wanajitoa kweli kweli maisha yao yote ila ni wachache sana.
Sema ni hatari sana pamoja na kujitoa kwao akipata mwengine wala hajali kitu
 
Pole sana kijana wangu, Ujinga wa kwanza ni kumuamini Mwanamke even your Mother ni Mwanamke...Kwahio kikubwa ni kuishi nae kwa akili kama biblia inavyotuagiza!
 
Mkuu mpime moyo wake kwa kumwambia una mtoto nyumba ya jirani ulimpata kabla ya yeye ndio utaujua unyama wake
Mama wa kambo ana ukatili wake ila wapo ambao wanalea watoto wa nje ya ndoa tena vizur tuu.
Mkuu moyo wa mtu tuu
 
Pole sana kijana wangu, Ujinga wa kwanza ni kumuamini Mwanamke even your Mother ni Mwanamke...Kwahio kikubwa ni kuishi nae kwa akili kama biblia inavyotuagiza!
Exactly japo wengi hawatakuelewa hapa
 
nguvu ya mwanamke hutegemeana na mwanaume alienae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom