Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Kwa zamani ilikuwa rahisi kwao kuchezea wanaume wasiojitambua kwa kuwazalia watoto si wao. Mimi wanangu wote walishalamba DNA kisiri siri na nilikuwa tayari kumtema mke wangu kama ningekuta mmoja kati ya wanangu ni mtoto wa jirani.
Hivi una habari kuwa majibu mengi ya DNA ambayo hayajaagizwa na mahakama huwa inabidi yatolewe kuwa mtoto ni wako ili kulinda hiyo ndoa!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Siri nyingine: mwanamke mwenye kilo 20 anaweza kumbeba dume mwenye kilo90 kitandani, Lakini dume mwenye kilo hizo akimbeba mwanamke mwenye kg ishirini kitandani, ataomba poo baada ya dk 4

17 PHD these are results
 
Na ubaya na roho mbaya na ubinafsi inadhihiri unapomuambia umeoa nyumba ndogo au umemleta mtoto wa kambo ndio huvaa ushetani wake!
 
Hiyo namba saba kuna jamaa yumo humu aliamua kuwauwa wazazi wake wote wawili ili apate papuchi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kuipata akasema tu ukweli basi mwanamke kwakuwa ni kiumbe mwenye huruma akamsamehe na maisha yanasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanamke huyo hakumuhurumia mtu mpaka kauwa ni mtihani mkubwa
 
wanaume ndio wanatufanya tuwe na roho ngumu sana. mimi nilikua na mume kwa miaka 15 nilivumilia mengi hayavumiliki. alinitesa sana psychological kidogo nibebe makopo barabarani. the moment i said enough. sijawahi kurudi nyuma. sijawahi muwazia wala kumiss. nasonga mbele na maisha yangu. mwaka wa 4 sasa sitaki hata kumuona usoni.
 
Ila siri ambayo inalinda maslahi yake tu. Mfano kutoa mimba hawezi sema ng'o...au kuchepuka na kukubambikia mtoto hata umshikie ak47 hawezi kubali kusema kweli!
Hahaha
Siku zoote kila mmoja analinda upande wake.... Kuliko kusema ni heri kufa na ukweli wako
 
wanaume ndio wanatufanya tuwe na roho ngumu sana. mimi nilikua na mume kwa miaka 15 nilivumilia mengi hayavumiliki. alinitesa sana psychological kidogo nibebe makopo barabarani. the moment i said enough. sijawahi kurudi nyuma. sijawahi muwazia wala kumiss. nasonga mbele na maisha yangu. mwaka wa 4 sasa sitaki hata kumuona usoni.
wakati ukifanya hilo huzani huku nyuma uliacha athari yeyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom