Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,640
Tuishi na mwanamke kwa akili.
Yes,
Hahah, sanaaaaa tena nakusumbua haswaNa mkishajijua ni watamu ndo mnaanza kutusumbua
Tunaangalia benefit zake kwanza kama mchepuko ukiujengea gorofa hata kama hujapitia tohara atakustiriSasa mbona wasema wanawake ni watunza siri?
We umeutoa wapi huuNae shetani akauliza, Huko duniani nitakaa wapi? Akajibiwa akaambiwa " Utakaa katika kiuno cha mwanamke "
Tabia mbaya iyo Jane, kumtesa mwenzio kisa utamu uliopewa bureHahah, sanaaaaa tena nakusumbua haswa
invest what you are willing to lose
Sawa, ninachojiuliza hao wanaoitwa watunza siri hao hao ndo watoa siri, sasa tuelewe kipi? Hii sifa tunayowapa ya utunzaji wa siri mnaistahili? Napita [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tunaangalia benefit zake kwanza kama mchepuko ukiujengea footfall hata kama hujapitia tohara atakustiri
Tunatunza siri zenye faidaSawa, ninachojiuliza hao wanaoitwa watunza siri hao hao ndo watoa siri, sasa tuelewe kipi? Hii sifa tunayowapa ya utunzaji wa siri mnaistahili? Napita [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ahaah nimekuelewa sasa.Tunatunza siri zenye faida
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimechekaaaaTabia mbaya iyo Jane, kumtesa mwenzio kisa utamu uliopewa bure
We cheka tu but siyo vizuri kutesana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimechekaaaa
invest what you are willing to lose
Na nyie mnavyotulizaga. ?We cheka tu but siyo vizuri kutesana
Hiii nayo huwa mnawapaisha tuuu,huwa hawajui,demu anweza akawa Malaya ,lakini hawezi jua baba wa mtotoSiri namba moja duniani aliyo nayo Mwanamke ni kumjua baba halisi wa Mtoto wake.
Hapo utakesha na kukesha wewe Mwanaume usijue hilo na unaeza lea tu mtoto.
Tumshukuru Mungu sikuhizi kuna DNA test.
Mwanamke ni kiumbe pekee anayeweza kufa na siri hiyo na hata Baba yake mzazi asijue.
DNA hivi kiasi gani ni sh ngapi?!!Kwa zamani ilikuwa rahisi kwao kuchezea wanaume wasiojitambua kwa kuwazalia watoto si wao. Mimi wanangu wote walishalamba DNA kisiri siri na nilikuwa tayari kumtema mke wangu kama ningekuta mmoja kati ya wanangu ni mtoto wa jirani.
Imeandikwa wapiNae shetani akauliza, Huko duniani nitakaa wapi? Akajibiwa akaambiwa " Utakaa katika kiuno cha mwanamke "
Ila siri ambayo inalinda maslahi yake tu. Mfano kutoa mimba hawezi sema ng'o...au kuchepuka na kukubambikia mtoto hata umshikie ak47 hawezi kubali kusema kweli!Mwanamke anajua kutunza siri mnoo.... Hicho ni kipaji walichonacho
Kuwaua wazazi wa mwanamkeHiyo namba saba kuna jamaa yumo humu aliamua kuwauwa wazazi wake wote wawili ili apate papuchi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baada ya kuipata akasema tu ukweli basi mwanamke kwakuwa ni kiumbe mwenye huruma akamsamehe na maisha yanasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwaliza kwenye utamu au kivingine?Na nyie mnavyotulizaga. ?
invest what you are willing to lose
Mwanamme alimwambia mdada kuwa yeye ni yatima.Kuwaua wazazi wa mwanamke