Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Siri gani alionayo mwanamke kwa mwanaume?

Siri namba moja duniani aliyo nayo Mwanamke ni kumjua baba halisi wa Mtoto wake.

Hapo utakesha na kukesha wewe Mwanaume usijue hilo na unaeza lea tu mtoto.

Tumshukuru Mungu sikuhizi kuna DNA test.

Mwanamke ni kiumbe pekee anayeweza kufa na siri hiyo na hata Baba yake mzazi asijue.
kweli kabisa tunaoa tuzae na hao tunaozaa hatuna uhakika nao km ni wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake ni wavumilivu sana lakini hatupendi dharau na kejeli. Ukimfanyia mwanamke visa atakuacha hata kama kwao ni masikini na wewe una pesa kama Trump
Wale wanaopigwa na waume zao lakin hawataki kurudi kwao wanatokea sayari gani ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom