1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,137
- 14,234
huwa wanaishiaga 4 au 5, full stop
Hii ingefaa zaidi ungeifanya kama hitimisho ktk bandiko lako mkuu.mkuu hii ni dhana kwa ujumla wake, na sio km wanawake wote wapo hivyo, isipokua walio wengi hasa wa kiafrika.
Kwamba alishawahi bakwa, au aliwahi toka na libabu na kupigwa mtungo
Hakika. Unauliza hivyo ili ugundue nini ?mwanaume uliyekamilika huwezi muuliza mwanamke kuwa umisha kuwa na wanaume wangapi huko nyuma??
Haya...
Hapo Kwenye Kubakwa Hapo, Ananikatalia Hadi KeshoKwamba alishawahi bakwa, au aliwahi toka na libabu na kupigwa mtungo
Hiyo Ina Apply Kote, Hata Nyinyi Zenu Tunawafichiani kweli kabsa
tunawafichia Siri zenu kibao hatuwezi kuwaambia kama MNA kibamia au hujanifikisha kilelen au unanuka mdomo [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi tuendelee kufichana mkuuHiyo Ina Apply Kote, Hata Nyinyi Zenu Tunawafichia