Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Mtoa mada kama wewe ni jisia 'Me' utakuwa umezijulia wapi hizo siri kama wanawake hawawezi kukueleza!!? Utakuwa umeelezwa na nani!? Unless uweke chanzo cha utafiti ndo nianze kufikiria kukubaliana.. Otherwise hizo ni hisia zako tu na wadada wa humu Jf wanakucheka pemben na hawawezi kukuambia hilo pia!
 
ni kweli kabsa
tunawafichia Siri zenu kibao hatuwezi kuwaambia kama MNA kibamia au hujanifikisha kilelen au unanuka mdomo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si kweli tena balaa walilonalo si tu kukutangaza kama una kibamia..... unaweza kupigwa na
picha kabisaaa.
 
ha ha kuna mmoja nishamuuliza wangap wamepita hapo alimind hatari coz mi naowajua saba kila ukimchunguza unazid gundua had wanafika 16
 
Back
Top Bottom