Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Hivi kuna mwanaume anauliza ulishawahi kuwa na wanaume wangapi?
 
Kwamba alishawahi bakwa, au aliwahi toka na libabu na kupigwa mtungo

Basi usimalizie kusema.., yaani tuna shida sana sisi -me. Kuna mtu alishawahi sema huwezi rizisha sehemu ulipotoka. Wana siri nzito sana. Zamani nilidhani ukiwa na mgu wa mtoto utaweza dumu naye lakini wapi. Aaah -mamaye kabisa
 
Kwamba aliwahi kufanya kinyume na maumbile....
Kuna watu wanajieleza kweli?
 
Back
Top Bottom