seba choga
Member
- May 2, 2017
- 48
- 22
Wanaume haturidhikagi tuoe wengi,Kwa nn wanawake ni wengi kuliko wanaume ...
ila siku zenye uwezekano kwa mwanamke kupata mimba kwa kila mwezi ni 5, kati ya hizo Siku 4 atazaa wa kike, w kuzaa wa kiume ni siku 1 tu.
Hii inapelekea wao kuwa wengi, kubwa zaidi ni mpango wa Mungu,
siunajua wanawake wanajiringa, akiringa unamuacha unachukua mwingine.