Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

nilikuwa kimya kwa muda kutaka kuona maoni ya watanzania juu ya waziri mkuu wa zamani mh. Lowasa sasa nimegundua kuwa mzee huyu ni hatari kwa CCM na wapenzi wote wa chama hiki ninasababu za msingi toka ajivue uanachama na kuahamia chadema kila siku lazima mtu jina la lowasa ataligusa tu kwa nia njema au mbaya sasa ujue hii pia kama mtu ananyotaja jina la mungu wake huwezi kukaa siku moja bila kutaja jina la mungu wako ndiyo kama lowasa na wana jamii hiii inashilia kuwa raisi mtalajiriwa ni Lowasa.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu ibariki africa, mungu mbariki Lowasa.
 
To:Faiza Foxy, nakuomba kuwa muungwana kwa kutuomba radhi sisi wachagga kutokana na bandiko lako.Haitakugharimu chochote na siku za usoni ujisikie haya kutukana makabila ya watu.

Mkuu achana naye huyu ajuza, udini na ukabila ndiyo mlo wake.
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.

But he is made in CCM ain't it?
Anachofanya ni mbinu mluzokuwa mmejiandaa kuzitumia tu, sijui kama kuna cha kukushangaza hapo sweet heart.
 
Yaan hata mseme Lowasa ni mwizi, kibaka, fisadi au marehemu huyo huyo ndiye Nampa kura yangu na lazima awe Rais, iwe jua, mvua au vyovyote vile....
 
Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.

Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.

Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.

Mbona unalialia? Kama mlijua yote haya ni kwa nini hamjamchukulia hatua kwa kipindi chote hicho!
 
Hivi huko anagombea ubunge? Fikiri.

Lowasa kawaonesha dharau kubwa sana chadomo na misukule wasiliona hilo, mtu wenye utu wake na asili ya utawala hawezi kununuliwa kama alivyowanunuwa Lowasa.

Siku moja, kaingia chadema, siku moja hiyo hiyo kapewa kugombea Urais, siku moja hiyo hiyo kasafishwa au kulikuwa kuna mengine nyuma ya pazia? Funguka.

Angeandika mwingine tungemwelewa ila kama ni ww.. Hakuna anaeshangaa
 
hili dudu lowasa sasa tuliokuwa hatulijui ndio tumejuwa kwann jamaa kule kamati maadili walilikata, halina maadili, kitendo cha kuanza kumtusi na kumdhalilisha boss wake aliemvumilia sana pamoja na madudu yake yoote aliyokuwa akifanya. Ila Kikwete nae kazidi upole, analidekeza sana hili jamaa aisee. Please Kikwete shugulikia hili fisadi unalidekeza litakutoboa machoo shauri yako

Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.

Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.

Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.
 
Nlichogundua wanachadema wako mitandaon tu na hli ni kosa tambuen weng wapiga kura hawako huku ccm itashinda kwa kimbunga safar hii na muda c mrefu tu mtaona anguko lenu ktk kampen wabunge mtapata ila urais c kwa mgombea huyo.

Jiandae kisaikolojia
 
Kwani watz wangapi wameisha kufa kwa risasi? Mwangosi chini ya ulinzi kazungukwa na polisi kama sita bado akapigwa na bomu la machozi.... unatueleza nini wewe tumaini la ahera???
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.

Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi amekosea nini? Mengine no bla bla blaaa!
 
Ila na nyie mmejua wa kumnunua ni Lipumba kwa hela kidogo za mboga bilioni 3 ili mvunje nguvu ya UKAWA?

Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.
 
Mleta uzi Id yako TumainiEL unamaanisha tumaini edo lowasa au
 
Hali yako ya afya haitofautiani na ya mkulu. Povu jingi na vitisho, hii nchi ni yetu sote, kwa hiyo hata sisi tuna haki ya kuchagua tumpendae. Dogo naona ulikuwa na matumaini ya kuwa mtu fulani CCM ikichukua uongozi tena ila unaona Lowasa anakutibulia.
 
Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.

Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.

Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.
Mijitu kama hii isiyojua kuandika inanikera kama nini!
Maneno yasiyostahili kutenganishwa yanatenganishwa na yanayostahili kutenganishwa hayatenganishwi.Unaweka "u" na "w" pasipotakiwa yaani wewe ni mburula balaa!
 
Back
Top Bottom