Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

Tumaniel Unatuambia indirect Kikwete anataka kumuassasinate mwambie aendelee na mpango wake halafu majibu atayapata toka kwa wananchi
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.

Kweli tusubiri oktoba tuone kama atakuwa rais wa nchi au kiongozi wa nyumba kumi kumbuka kwenye sanduku la kura hakuna hila gubu ghiliba fitina chuki majungu.
 
Kweli tusubiri oktoba tuone kama atakuwa rais wa nchi au kiongozi wa nyumba kumi kumbuka kwenye sanduku la kura hakuna hila gubu ghiliba fitina chuki majungu.

Urais ausahau huyo, kumbuka hilo.
 
lowasa haleti presha yoyote hata alipokuwa ccm aliambiwa ukweli tu sasa nyinyi mangimeza leo mnaona anasakamwa kwa taarifa IKULU mtaisikikia na kupita pembeni kwa kuiona kwa mbali
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.
Nani anunue wachaga....?mlijisahau sana mkajiona nyie ndio wagawa haki tz.Sasa mtaenda lima na kutoka jasho..vile vihere here kwamba eti nyie mnajua sijui mapenzi hamfanyi kazi madume jike sijui nini na nini...mtamaani mtoto wa jk kwa vizazi.Waliwaachia siasa hata mlipokuwala kodi zao..sasa wameingia rasmi ktk siasa...hamtokohoa na itakuwa ndio mwisho wenu ....elimu za kuunga unga ndio mwisho.Na kila mwenye kuweza onyesha viwango atafanikiwa na kusitawi vilaza na sijui mtu wa watu.sijui tulipigania uhuru huo ujinga mkalale nao au mkawekwe museums..sasa hivi ni survivala for thr fitest ni hard working,skills,real education na serious work...hiyo lazima mtembee uchi km Lipumba...mtajuta kumshika mkono kipofu.Na huu mwendo ndio nitolee hata michezo mtaona watu wenye kufanya mamabo wakichukua timu ..TZ itangaa tuu kimataifa.Hao vijana wenu wenye akili km za panzi,wanajifanya wanajua siasa kuliko michezo wanayo lilia number ndio basi tenda.
 
Mtalia sana mwaka huu. Watanzania wote ttunamuhitaji Lowassa atufikishe kwenye kipato cha kati
 
Urais ausahau huyo, kumbuka hilo.
haha...CDM ni km honey badger nyoka humuona km yule mumuite Israili Mtoa Roho...farao na Mungu wake hawakujua wamiwtaje yule Malaika aliyekuja kwa jina la Mungu wa Israel kuwamaliza uzao wote wa kwanza....Ndivyo walivyo kinyume na Mungu wa Abrahamu wanavyomwita malaika toka kwa Huyo Mungu...ukawa wakiongozwa na CDM ni moto mwingine.....
 
Hapana, mawazo yako ni ya mtu asiye na fikra.Lowasa hakupewa kazi, Lowasa kainunuwa chadomo.
Kwa taarifa yako Lowasa ndie aliyefuata Masharti hata km ni kununua yeye ndie aliyepangiwa bei...ndipo mnapokosea.Niliwaambia tangu long time nini kitakwenda fanyika bahati Mbaya niliweka hapa na CDM wakafuata,CCM wakatuma wapuuzi hapa..sasa mmeona.Nimeweka ingine hapa mods wamtoa nashukuru ingawa mods walidhani itawasaidia ccm au kuwamaliza ila ukweli ni complication ingine na kwa uwezo wa ccm hawataweza solve,na mbaya wakijua watashtuka na kupanic zaidi kuliko kusolve,na wasipojua wanakuja kufa vibaya na kusababisha vurugu.
 
mkuu hata useme vipi hawa watu wa ukawa ni dubu
Haha.hadi january makamba juzi tuu alikuwa nawaambai watu wagomee kiwanda..leo wagosi wanampiga mkwara kwamba watakwenda Chadema hata kuitamka wanatamka kisambaa...inawauma sana CCM kwani anayekwenda CDM ni mapigo mawili..bora kafu unaweza kuwashikia ktk vikao vya usiku...
 
Tushawazoea nyie. Kazi kulalamika tu. Hata hao mnaowaona wasafi wamewafanyia nini? Bora huyu mnaemwonea fisadi kafanya mambo tumeyaona. Afu mbona mnalazimisha ufisadi wakati ukweli wa Richmond upo wazi? Ufisadi upi kafanya? Taifa hili zima ufisadi ni Richmond tu??!! Kueni kiakili na mtazamo. Kufika level ya juu ya uongozi kama uraisi ni ndoto na bidii ya mwanasiasa yoyote yule...pale anapopata chance anatumia. Ni kama wachezaji wanapoamua kuhama timu wapate playtime. Tubadilikeni sasa. Tuache kuaminishwa uongo na tukawachukia watu bure. Adui wa mwengine sio adui yako. Hao wanasiasa wanajuana wenyewe na mambo yao hayo yasikufanye wewe umchukie mtu bure bure tu.
 
Wamaingia ktk mtego km nyumbu...anayemwona simba kashiba na kujipumzisha anakwenda mnusa pua,huku akimtania wewe una bahati hujajaribu nila.CCM WAMENASA VERY SOON WATAHITAJI WAAMBIA WATZ KWANINI HAWAJAMSHIKA,SIJUI HAWANA USHAHIDI WATAULIZWA KWANINI WAMEKOSA USHAHIDI WAKATI WANA USALAMA,WANA POLISI, WANA CID ,WANA MAHAKAMA,NA UFISADI MKUBWA UMEPIGWA NA WATU WENGI NA KUSAINIWA NA WAKUU WA TAASISI ZA FEDHA KUBWA NCHINI ,MAHALI KUNA KUMBUKUMBU NA CAMERA ZA KUTOSHA,NA MAHALI PESA HUCHUKULIWA NA KUPELEKWA HADI ZINAPOFIKA HUKU ZIKIJULIKANA..SASA KM CCM WAMESHINDWA WAKIWA NA RESOURCES ZOTE HIZO JE WANA NINI CH AKUWAAMBAI WATZ KWAMBA WANASTAHILI KUENDELEA ONGOZA NCHI TENA?
 
Ccm mmezoea kula mali za umma mwisho wenu umefika, hii inchi ni yetu sote na El anahaki ya kuwa rais.. Mliozoe kuiba anzeni kujitoa mapema, mwaka huu ndyo wisho wa ccm inafutika kama Kanu...
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.
Tangu lini umeanza kumpenda mpaka kumtetea padre mzinifu Dr Slaa mkuu ?!! Tulia mama dawa ikuingie barabara. Mfa maji hata jani ukumbatia.
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.

Nyumba kumi!! Unamvunjia heshima aliyempa uwaziri mkuu!!
 
TumainiEl

DEMOKRASIA ILIKIUKWA NDANI YA CCM,
CHAMA KIKAGEUKA CHA WATU WACHACHE,TENA WAKAKIWEKA MIFUKONI BILA AIBU WAKAKIENDESHA KWA MATAKWA YAO BINAFSI
**WE WANT CHANGE NOW**
ii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom