Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
Ccm mmezoea kula mali za umma mwisho wenu umefika, hii inchi ni yetu sote na El anahaki ya kuwa rais.. Mliozoe kuiba anzeni kujitoa mapema, mwaka huu ndyo wisho wa ccm inafutika kama Kanu...
CCM ikifa asilalamike mtu, maana EL alitaka kuibeba akisaidiana na mzee Kingunge WAKAMKATA!!