Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.
Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.
Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.