Ujinga wetu na dharau tuliyoonyeshwa sie wewe yakuumia nini?
Kweli anawashwa nini sasa. Watu wengine bana
Ujinga wetu na dharau tuliyoonyeshwa sie wewe yakuumia nini?
Lowasa akichukua nchi biashara yako ya unga na pembe za ndovu itakuwa mwisho@ faiza foxy
Ujinga wetu na dharau tuliyoonyeshwa sie wewe yakuumia nini?
CCM imeendekeza rushwa, kupindisha sheria, kuuwa watu, kusign mikataba mibovu inayoendelea kutuumiza maskini na mafisadi wachache wakineemeka, wanatorosha wanyama wetu meno Yao na pembe zao!! Kizazi kijacho kitajisifia nini? Wakati rasirimali za nchi hii zinanufaisha tumbo za mafisadi wachache?? Bora kifo kuliko CCM najua Ni mabosi Wako ndiyo maana....
lowasa yupo fiti...sio msafirisha bahasha na vipeperushi km mleta thread ili upate ujira mwisho mwa mwezi....anajiamin....na hicho ndo vijana wanampendea...mtu mwenye maamuzi magumu ndo tz ya sasa inamhitaji
hata wewe si fake id. toeni upuuzi wenu huko. mmekua kama watutsi kusingizia na kukuza mambo ili kuingia ikulu. sasa mnamtanguliza lucifer mbele ili kushinda mnadhani watanzania mafala.huyu dogo ni mshamba sana ! mtu mmoja unaleta nyuzi 100 just to attack a single person ! poor Tumainiel ( fake id )
.......Hata kama Chadema wamekosea lakini sina uhakika kama mtu kama wewe wa CCM una huruma na upendo namna hiyo wa kuwarekebisha. Haijawahi kutokea na haitatokea Shetani (Ma-CCM/FaizaFoxy) akawa na urafiki na Watu wa Mungu (UKAWA).Hivi huko anagombea ubunge? Fikiri.
Lowasa kawaonesha dharau kubwa sana chadomo na misukule wasiliona hilo, mtu wenye utu wake na asili ya utawala hawezi kununuliwa kama alivyowanunuwa Lowasa.
Siku moja, kaingia chadema, siku moja hiyo hiyo kapewa kugombea Urais, siku moja hiyo hiyo kasafishwa au kulikuwa kuna mengine nyuma ya pazia? Funguka.
Hivi huko anagombea ubunge? Fikiri.
Lowasa kawaonesha dharau kubwa sana chadomo na misukule wasiliona hilo, mtu wenye utu wake na asili ya utawala hawezi kununuliwa kama alivyowanunuwa Lowasa.
Siku moja, kaingia chadema, siku moja hiyo hiyo kapewa kugombea Urais, siku moja hiyo hiyo kasafishwa au kulikuwa kuna mengine nyuma ya pazia? Funguka.
Nani anunue wachaga....?mlijisahau sana mkajiona nyie ndio wagawa haki tz.Sasa mtaenda lima na kutoka jasho..vile vihere here kwamba eti nyie mnajua sijui mapenzi haElimumfanyi kazi madume jike sijui nini na nini...mtamaani mtoto wa jk kwa vizazi.Waliwaachia siasa hata mlipokuwala kodi zao..sasa wameingia rasmi ktk siasa...hamtokohoa na itakuwa ndio mwisho wenu ....elimu za kuunga unga ndio mwisho.Na kila mwenye kuweza onyesha viwango atafanikiwa na kusitawi vilaza na sijui mtu wa watu.sijui tulipigania uhuru huo ujinga mkalale nao au mkawekwe museums..sasa hivi ni survivala for thr fitest ni hard working,skills,real education na serious work...hiyo lazima mtembee uchi km Lipumba...mtajuta kumshika mkono kipofu.Na huu mwendo ndio nitolee hata michezo mtaona watu wenye kufanya mamabo wakichukua timu ..TZ itangaa tuu kimataifa.Hao vijana wenu wenye akili km za panzi,wanajifanya wanajua siasa kuliko michezo wanayo lilia number ndio basi tenda.
Urais ausahau huyo, kumbuka hilo.
Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.
Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.
Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.
View attachment 275467
Jee hawa ni watu wa wapi?
Hzi chuki binafsi katika jamii ya watz wakumlaumu ni raisi kikwete.
Nani hajui uchafu wa kikwete na familia yake? Nani hajui toka kujitawala,Tanzania haijawahi kuwa na kashfa nzito na rushwa za wazi,upendeleo na kujuana kama serikali ya kikwete.
Wanyama wameisha yye anacheka cheka tu. Wachina wamehukua gesi karibu na bure yye anaona sawa tu.
Jamani,mengine hatuwezi kuweka hapa ila naomba sana tufanye reasoning kidogo hata kama ya mtoto mdogo.
Kikwete hafai hafai!!! Na hakuna mtu ndani ya CCm anafaa
Chuki zenu za udini na ukanda uishiee huko huko. Sumu yenu kunyweni wenywe. Wewe ni mtz mmoja wenye kutetea uovu huku ukinyoosha vidole viwili kwa mwovu.
Hufai katika nchi wala jamii ya watz wanaotaka mabadiliko.
Hata leo mohammed mtume aje kuongoza CCM hatachaguliwa maana CCM ni najisi.
Hivi huko anagombea ubunge? Fikiri.
Lowasa kawaonesha dharau kubwa sana chadomo na misukule wasiliona hilo, mtu wenye utu wake na asili ya utawala hawezi kununuliwa kama alivyowanunuwa Lowasa.
Siku moja, kaingia chadema, siku moja hiyo hiyo kapewa kugombea Urais, siku moja hiyo hiyo kasafishwa au kulikuwa kuna mengine nyuma ya pazia? Funguka.