Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

Hzi chuki binafsi katika jamii ya watz wakumlaumu ni raisi kikwete.

Nani hajui uchafu wa kikwete na familia yake? Nani hajui toka kujitawala,Tanzania haijawahi kuwa na kashfa nzito na rushwa za wazi,upendeleo na kujuana kama serikali ya kikwete.
Wanyama wameisha yye anacheka cheka tu. Wachina wamehukua gesi karibu na bure yye anaona sawa tu.

Jamani,mengine hatuwezi kuweka hapa ila naomba sana tufanye reasoning kidogo hata kama ya mtoto mdogo.

Kikwete hafai hafai!!! Na hakuna mtu ndani ya CCm anafaa

Chuki zenu za udini na ukanda uishiee huko huko. Sumu yenu kunyweni wenywe. Wewe ni mtz mmoja wenye kutetea uovu huku ukinyoosha vidole viwili kwa mwovu.

Hufai katika nchi wala jamii ya watz wanaotaka mabadiliko.

Hata leo mohammed mtume aje kuongoza CCM hatachaguliwa maana CCM ni najisi.
Sidhani kama umetumia busara kuweka jina la Mtume (saw) katika mchango wako. Siasa na mapenzi yako yachunge mipaka ya imani za watu. Muhammad (SAW) is a great leader, the world has never seen. Mpe heshima yake ndugu. Kwenye ukawa wako waislam na wakristo kama ilivyo kwa CCM
 
Nlichogundua wanachadema wako mitandaon tu na hli ni kosa tambuen weng wapiga kura hawako huku ccm itashinda kwa kimbunga safar hii na muda c mrefu tu mtaona anguko lenu ktk kampen wabunge mtapata ila urais c kwa mgombea huyo.
Hivi ni kweli hadi le hujawaweza badili hii cd tangu umezeshwe na CCM?Ina maana ktk vyombo vya habari husikii CDM wanavyosumbua na kufanya kazi km Mchwa?Huku JF huwa husomi vinavyotokea na kupata picture nini kinafanyika?
 
Lowasa kajuwa wa kununuwa kwanza ni wachagga wasiojitambuwa kwa pesa ndogo tu.

Huyo ni mtu ambae hafai hata kupewa kuongoza nyumba kumi.

Waliomkata kuongoza CCM ni watu makini kabisa, hilo sasa ni dhahiri.

Siku moja kawafitinisha Makatibu Wakuu waliojenga vyama vyao kwa tabu na dhiki na leo wanaonekana hawafai.

Faiza tunatakiwa kuangalia kwa mapana jambo hili. Tukubali ukweli kuwa CCM imewasaliti watanzania, kiasi kwamba baadhi ya wanasiasa wanajua nani wa kumnunua na nani wa kumuuza. Wachache waliojitambua wanaweka mabadiliko.

Jaribu kuangalia Bilal alivyonunuliwa, kutumiwa na kutupwa. Angalia aibu ya Richmond sasa inavyokivua nguo chama, hii maana yake ni kuwa watu ndani ya chama na serikali waamenunuliwa na kuuzwa.

Sijui kama kweli waliokata jina la Lowassa ni watu makini, sina uhakika ni nani hasa. Lakini baadhi naona ni mafisadi waliokifikisha chama pabaya.

Chama kwa sasa dalili ni kuwa kitashindwa. lakini kinaweza kuendelea kuongoza kwa mtindo wa Zanzibar.
 
Wishful thinking.
 
Back
Top Bottom