Siri aliyonayo Moyoni na madhara yake kwa taifa

Kipindi cha mgomo wa vijana wa jkt kiongozi wao baada ya kukamatwa aliulizwa maswali mawaili
1:umetumwa na lowasa
2:umetumwa na ukawa

Uzi upo humuhumu jf kwa wenye akili wanajua ni jinsi gani matajiri wanaweza kuvuruga amani ya nchi kupitia pesa zao na kuwafanya wananchi wasiwe na imani na viongozi wao na serikali yao. Mfano mzuri tumeona Libya,Iraq,Sierraleone,Liberia nk

Angalizo😛indi mtapoingia barabarani ili kuikosesha amani ya nchi hii basi tupo raia wema pia ambao tutaingia barabarani kuirudisha amani ya nchi hii.
 
Ila na nyie mmejua wa kumnunua ni Lipumba kwa hela kidogo za mboga bilioni 3 ili mvunje nguvu ya UKAWA?

Lipumba si mtu wa kucheza na nafsi yake, hanunuliki.

Babu Slaa nae kanunuliwa?

Hakuna mtu anaejijuwa akashabikia huo uozo.
 
Wewe jamaa ni wa kupuuzwa sana , unakujaga na vitaarifa vyako vya uongo uongo kama lizaboni halafu hamna lolote.
Mtatulia tu.
 
Posts zako kila siku unaelekeza kwa mtu mmoja. Kwani inakuuma sana!? Why ikuume hivyo? Ni mdogo wake JK? Kakake JK? Shemeji yake JK? AU HouseBoy wa JK? AU House Girl wa JK? Hebu tuondokee hapa!

Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.

Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.

Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.
 
Ulivyoandika kwa kulalamika ni kama vile yule mke mwenye "gubu" anamlalamikia mumewe kwa kuhamishia makazi kwa "mchepuko" wake bila hata kujiuliza swali rahisi kama hili " huyu mwanamume anakosa nini toka kwangu" hata anione Mimi si kitu, si lolote hata kutafuta mchepuko!!??

Acha kulalamika mkuu bila kuwa na data.......Mara ooh anaigombanisha serikali, oooh anatukana viongozi wa serikali,...ooh sijui Rais wa Jamhuri wa Muungano kafanya mini.....!!

Ushauri wangu kwako ni kuwa, wewe mnyime kura yako....baaaasi. That's the best option you have ahead of you!!
 
Kumbe lowasa mbaya ivo? Sasa kwa nini mna vyombo vyote vya usalama na hamjamtia gerezani? Hii ndio sanabu inayonifanya niwanyime ccm kura nimpe mnayemwogopa! October kura yangu kwa mnayemwogopa!!
 
Mh Lowasa huu ndio mpango wako tangu hapo mwanzo haujabadilika wewe ni yule yule Lowasa wakipindi kile na sasa. Nikweli kwamba unajuwa niwatu wachache wanao ujuwa mpango wako mbaya juu ya taifa hili na hao watu hawawezi kuanzisha zogo nawewe ila mim nitakwambia hukuanza leo ulijifanya mwenye viwango na spd pindi ukiwa waziri mkuu ila nyuma ya spd zako ulikuwa ukikiujumu chama na serikali ya J. K, ukajifanya unatoa michango na zawadi kumbe nyuma ya pazia ulikuwa unataka jamii ipate ushawish na wewe huku ukijuwa umasikin wetu ndio mtaji wako.

Lakini hata baada yakutoswa mzima mzima na chama chako ccm ukadhamiria haya toka moyoni kwanza kumchafuwa rais wa jamuhur ya muungano pamoja na familia yake kupitia watu uliokwisha waonjesha utamu wakuwa karibu nawe na mwisho kuhakikisha nchi híi haitotawalika ikiwemo kuanda vijana wako kwa siri kuchafuwa watu kuzusha hofu na hata machafuko, umesambaza vijana hao kuanzia mikoa mikubwa kwenda mikoa ya chini japo unajuwa huwezi kuwa rais ila pesa zako zimekudanganya unataka kuhakikisha nchi haitotawalika umejivisha nadhiri nakujiapiza nchi isitawalike ila nataka nikukumbushe ikiwa kunaraia au mwana nchi atakufa kwa risasi sababu ya mipango yako ovu basi juwa hata wewe utakufa kwa risasi ifike mahali ujuwe ipo serikali na watu makini walio apa kulinda aman na utulivu wa taifa letu.

Wewe ni nani na unajivunia nini hata ufike mahali kuwatukana watu nakuwagombanisha na viongoz wao kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki, tulia tena ukae kimya hili taifa ni letu sote na wewe hauna alama kuwa nilazima uwe rais. Umekosa kaa kimya acha kuletea wau matatizo.
Duh! Kumbuka ni wanasiasa wachache sana wanaweza kunyamaza kwa miaka saba baada ya kufanyiwa aliyofanyiwa!
 
Leo hauijuwi?
Hivi hata mimi ikitokea niende lkulu kwa ktb pendekezwa ya st huoni ni gharka? Mungu apishie mbali Ukawa waende ikulu na wapitishe ktb ya st!; huoni hatari ya walio chuma hili janga bibie? yangu macho, tukiwa hai tutakumbushana humu humu wakati mchuma janga atakavyo kula na wanawe!
 
Hatuna upuuzi huo, Kikwete anaaga sasa hivi hulijuwi hilo? wala habari hatuna, subiri mziki wetu.

ukabila umekujaa tu,eti kanunua wachagga,hata aya huoni mwanamke mwenyewe una sura kama ya kiume!toa hoja na si kushambulia kabila la mtu mwehu wewe
 
kumbuka walikuwapo watu kama wewe na leo hawapo nawala histori haiwakumbuki,
Kumbuka pia vilikuwepo vyama zaidi ya ccm hapa duniani na sasa havipo na historia haivikumbuki na haitavikumbuka. Kiko wapi UNIP cha Zambia, Kiko wapi Congress cha Malawi, Iko wapi Kanu ya Kenya (inachechemea). Je wajua chama kilichoiletea uhuru wa Marekani?
 
hahahaha

nakumbuka juzi juz ulisema mh.lowasa hapewi fomu ya kugombea Urais

ila kwa kuwa Mb ni mali yako endelea kujifurahisha

ukizid nitamwomba invisible nikutaje hadharan
 
mleta mada unajidhihirisha ulivyo skrepa lol
ungejivika hata housing mpya ukaficha aibu yako lol..
pptuuu
 
Labda atafute jeshi lake lakini kwa hili la JWTZ hawezi kuisumbua amani ya nchi yetu na akidhubutu na wafanyabiashara wenzie tutawapelekea somo wakajifunze
 
Back
Top Bottom