Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

Sijaelewa ni vitu viwili tu ndo vinahitajika na je ni unga au unaweka maji na vipimo au karafu kiasi gani?
 
Asante Dr maana tatizo hili limekuwa tatizo sugu kwa watu wengi. Watu wametumia dawa nyingi mnoo.
 
So dawa kama Whitedent hazitakiwi kabisa kutumiwa na mtu mwenye changamoto hii.??
 
Sambamba na dawa hiyo mimi niliwahi kusumbuliwa na jino kwa maumivu makali nikakata tamaa na kutaka kwenda kulitoa. lakini kuna mtu akanishauri dawa nikaidharau mwanzo lakini baadae nikasema ngoja nijaribu

Niliambiwa nikiamka alfajiri ule mkojo wa kwanza ninapoenda haja ndogo ninasukutua mdomoni kwa sekunde 10 ninatema naweka tena mwingine kwa sekunde 10 na kutema
Nilifanya hivyo kwa siku tatu mpka sasa jino halijawahi kuniuma tena ni miaka minne imepita japo bado limechimbika

Nb. Usikinge kwenye chombo chochote huo mkojo tumia mkono wako kuukinga kisha weka mdomoni ila unakuwa na radha mbaya sana nadhani labda ndo mana wadudu wanakufa🤔
 
Shida yenu waganga wa kienyeji ni moja, mnajifanya kusema "leo nawapa bure au siri hadharani" dawa ya jino alafu katika hiyo siri hadharani lazima UWEKE KITU ambacho si rahisi kapatikana mtaani.

Mfano "manemane" ili tu kwamba kupitia hiyo lazima simu yako iite ili umuuzie mteja 😂 😆, yaani ni hatari.

Ila ndugu zangu kama jino linasumbua tafuna, twanga au blend karafuu kisha weka pale kwenye jino kwa dakika 1 hadi 5, alafu sukutua au piga mswaki.
 
Manemane jero tu maduka ya dawa asili. Au muombe katekista kanisani (katoliki) huwa wanachoma.
 
Back
Top Bottom