Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,084
soma ulichoandika halafu nielewesheina maana kila mtu anayeingia uislamu basi anawaona wengine kama adui???? au anaonewa au anasingiziwa???maana kauli hizi za eti chuki zimezidi,au ukiwa Mwislamu maana yake ni kuwa Mlalamikaji wa kuchukiwa na kuonewa???wake-up Bwana.
Kwa hiyo huko gym hawawezi kufanya uhalifuNikweli,ila kwa wakati tulionao wa matukio ya kigaidi na mengineo,sio mbaya ikapitishwa sheria au zuio ya kuzuia mazoezi ktk nyumba za ibada, kwa mpenda mazoezi gym mbona zipo nyingi tu, wasizuie watu kufanya mazoezi, mazoezi kiafya ni muhimu, si wengine kupita week bila kuingia gym kupiga skwati na kulift weight akili na mwili haikai sawa,,
Hujui hata ukisemacho.Halafu wewe ni wakufuatiliwa wewe, unaonesha ni mmoja wao!
Nguruwe duu, rosti na pilipiliNafikiri wanapenda mazoezi ukilinganisha wala nguruwe
'kisasi ni haki lakini kusamehe ni bora'-qur'aan,wewe ungefata nini hapo kwenye ushauri wa ALLAH(S.W)?..tatizo lenu uislam hamuujui,mnahadithiwa tu na viongoz wenu wanaotaka sadaka zenu hadi siku mnakufa..pia uchamungu sio ukondoo,upigwe,uonewe,udhulumiwe we utulie tu,huo ujuhaMkuu nivitabu ndo vinatofautiana hapo. Wakati wengine wanafundishwa kusamehe nahata wanaambiwa akupigaye shavu lakushoto mgeuzie na lakuria, wengine wanafundishwa kupambana, kuua, kupiga karate nk. Ukitafakari kwa undani hapo wala huhitaji kuwa na degree kujua anayefundisha ya Mungu niyupi na anayefundisha ya shetani pia.
Wala usisumbuke kujibizana mkuu hiyo ndo hali halisi na haikuanza leo, nikarne juu ya nyingine.
kuna maruhani mawili au matatu yanakuchanganya ndiyo maana una visa na chuki binafsi, pole sana...mfungo unakaribia, so kwa siku hizi zilizobaki Malizia ratiba zako za kuwala tigo watoto wa watu(wa kike na wa kiume),Malizia kutukana, kawalipe wadeni mabaamedi ulowakopa then kaonje kitimoto kilo moja tu kisha kaka utulie ujiandae kumpiga mawe shetani...sawa mjomba?Ww unamuabudu nani, mvaa machupi wa msalabani au Yesu
Unatoa hoja za akili yako si hoja za waislam kuhusu hilo la kuvaa suruali isiyoburuzaNnavojua mimi najisi inaanzia rohoni sio nguoni wala vazi lolote. Siwazuii kuendelea na imani yenu hiyo lakini maana kilamtu yuko huru kuabudu anachoamini. Ila wakati mwingine ukikariri tu vitu bilakutafari ndoinafikia mahala watu wanapata mihemko isiyo nakichwa wala miguu, ikiwemo hilo tukio la Mwanza.
Umetwanga viroba vingapi asubuhi hiikuna maruhani mawili au matatu yanakuchanganya ndiyo maana una visa na chuki binafsi, pole sana...mfungo unakaribia, so kwa siku hizi zilizobaki Malizia ratiba zako za kuwala tigo watoto wa watu(wa kike na wa kiume),Malizia kutukana, kawalipe wadeni mabaamedi ulowakopa then kaonje kitimoto kilo moja tu kisha kaka utulie ujiandae kumpiga mawe shetani...sawa mjomba?
Chuki ni maradhi makuu kuliko.kansaEcholima;
Acha matusi nyemelezi, ndevu zangu zakuwasha nini?? Sema maneno mengine kama huna maneno kukaa kimya nako ni mchango.
Nitazifuga ndevu zangu nipendavyo, hakuna sheria ya kunyoa au kufuga. Weye fuga kitimoto miye nafuga ndevu. Habari hapa ni kwa nini wawaue watu waliokuwa wanaswali huku wakisema wao ni wenye imani hii hii??
Subiri sasa, We jifanyaje mjuaji tu.Hujui hata ukisemacho.
Kumbe yule aliyevaa chupi ndiye masihi acha kumdhalili kumfananisha kinyago cha mpingoMkuu lakini huyo unayemuita mvaa chupi msalabani Quran inamtambua. Ila Muhammad biblia haimtamki. Simaanishi kwamba hakuwa Mtume, ila kwakuwa huyo unayemwita mvaa chupi msalabani Quran inamtabua kama mmoja wa mitume, mpe heshima yake basi.
Uislam sio uarabuHuwa najiuliza waarabu ndo wangekuwa super power wa Dunia hii mfano kama Marekani, France, Uk, German, Russia, China, Japan nk. Wangeruhusu imani nyingine kweli nje ya uislam?
Umekula sabuni Omo ngapi asubuhi ya Leo , Hilo mpovu mdada litakuua. Polisi wafanye kazi Hao waachane na miluzi ya wala kitimoto kwa mineno Hao mbofumbofu sijui wavaa njiwa Hao, wafuga ndevu, wafuga majini, wacheza judo na mengine blahblah yanayoweza kusababisha wahalifu wasikamatweSubiri sasa, We jifanyaje mjuaji tu.
Mchango pekeee wa mtu mwenye akili katika bandiko hili ubarikiweumeandika vizuri saana mkuu
Michango maviKuna haja ya kuzuia watoto wasiingie misikitini ili wasiuawe
Unalijua povu lakini?, halafu uwe na adabu usidhani kila mtu humu ni dada kama wewe.Umekula sabuni Omo ngapi asubuhi ya Leo , Hilo mpovu mdada litakuua. Polisi wafanye kazi Hao waachane na miluzi ya wala kitimoto kwa mineno Hao mbofumbofu sijui wavaa njiwa Hao, wafuga ndevu, wafuga majini, wacheza judo na mengine blahblah yanayoweza kusababisha wahalifu wasikamatwe
I'm sorry, nilifikiri Ww ni SHE, nimezoea maneno kama yako yanatoka kwa mdomo wa KEUnalijua povu lakini?, halafu uwe na adabu usidhani kila mtu humu ni dada kama wewe.
La kati mpeleke Ustadh wako.mkuu,sioni kitufe cha like,chukua dole la kati kwa komenti yako hii