Sir Nature na familia!!!!!

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
65
nature-harusibc.jpg



cheki wanavyopendeza!!!
 
Baada ya uchaguzi utashangaa anapata UBUNGE wa kupewa. Ikishindikana basi analamba Udiwani Dodoma.......
Hapo ujuwe kawa nyama ya Afande Magwega wa Chiguru.........
Mmeshaanza!Mnataka Slaa aamie kwa Nature nini!?
 
That's so funny Sikonge Magwega wa Chiguru mhh hebu tuwaachie akina Yego watutafsirie.
 
sjui Yego Masika. Ninachokumbuka tu nilipokuwa mdogo, nikisoma cathedral na kuishi Kamunyonge tulikuwa tunaimba wimbo ambao kibwagizo chake kilikuwa nadhani ( sina uhakika) aiyawe magwega wa chiguru. Na huyo magwega sidhani kama alikuwa mtu mzuri, japo nilikuwa sijui kijita nadhani alikuwa akisutumiwa kumpa mimba mtoto wa shule na makosa mengine ya kimajinuni. Kama niekosea nisamehe. Huu wimbo niliufahamu wakati hiyo shule ya mwembeni ilikuwa bado inaitwa cathedral hivyo ni siku nyingi sana.
 
Tatizo la huyu jamaa ni pombe na kitu cha Arusha. Tunawaombea kila la heri ktk ndoa yao.........
 
Tatizo la huyu jamaa ni pombe na kitu cha Arusha. Tunawaombea kila la heri ktk ndoa yao.........

Mimi nakumbuka alioa miaka kadhaa nyuma je hiyo ni picha ya zamani au aliachana ndio anaoa tena?au ameoa mke wa pili?nilisikia mkewe anaitwa Pili je ndio huyu?
 
Back
Top Bottom